Pages

Ommy G ft. Salu B - Mola nisamehe (Audio)

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiZPDAb6hekEBscw9spB2v6-mz2JPkVfENbcAFdg9RtLFLPVS8M2etm5z5vIAGgUIPc5Zkwn4VDqjR2STzC7bjMWk3StpiZRqpuvDxaSMVi64rXHDdW886SI9Fy7g6MrbOtG-p6am6i3mmf/s640/Ommy+G.JPG

Usiku wa Maadhimisho ya Sherehe za Muungano Luton – Uingereza Ulivyofana.

Luton
Luton
Twende kazi sebene limekolea…
Luton
Mduara ulihusika pia.

USIKU WA KUAMKIA LEO, LUTON TANZANIA COMMUNITY (EAST AFRICAN CONNECTION) KWA KUSHIRIKIANA NA TRIPPLE EM FOODS & DJ DOUBLE T. TUMEJUMUIKA KWA PAMOJA NA KUSHEHEREKEA SIKUKUU YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR ULIOUNDA JAMHURI YA MUUGANO WA TANZANIA. SHEREHE HIZO ZA KWANZA HAPA UK ZILIFANYIKA PALEPALE KWENYE KIOTA MAARUFU KWA NYAMA CHOMA, UGALI, KIENYEJI, SUKUMA WIKI, MIHOGO NK,
PAMOJA TUNAWEZA.
ABRAHAM SANGIWA
KATIBU – JUMUIYA YA WATANZANIA – LUTON – UINGEREZA

Bomb Suspect is Conscious and Answering FBI Questions in Writing After 'Shooting Himself Through Mouth on Boat'

Bomb suspect
-Dzhokhar Tsarnaev is responding sporadically in writing to questions from investigators regarding other cell members and other unexploded bombs
-Teenager may have had no intention of being taken alive
-Dzhokhar and his older brother Tamerlan may have had suicide pact to prevent them from being put on trial, police sources tell MailOnline
-Condition downgraded to 'critical but stable' from initial reports that he was 'serious'
-Tsarnaev had lost large amounts of blood by the time he was captured
-Suffered a gunshot to the throat and a wound to his leg
-Massachusetts Governor reveals video shows Tsarnaev planting second bomb at marathon
-Police commissioner says suspects were planning another bomb attack when they were caught
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjaSYXKTEqSLqDKh_p9y-BGDchnQkdGI9PnaoTVhbIL1UPBXoJp72wucBq50Jw_9I8VLlK3DS5QD0JYBRnroqNWMyfV5a9yDPRGNJkPt5eK9taI-HdSJRW0KoGisF_glBz18qIxHmi3zXE/s640/x.jpg
Suspects: Tamerlan Tsarnaev, 26, left, was reportedly run over by his accomplice and younger brother Dzhokhar Tsarnaev, 19. Alleged Boston Marathon bomber, Dzhokhar Tsarnaev, is awake and responding to questions in his hospital bed.
The 19-year-old is responding sporadically in writing to questions from investigators regarding other cell members and other unexploded bombs, law enforcement officials said.

Agents are quizzing Tsarnaev about whether he had any accomplices who helped him carry out his attacks.
The news comes as it is revealed Tsarnaev, who is badly wounded in the throat, meekly pulled up his..

Wiz Khalifa $1 Million Lawsuit Up In Smoke!!

Wiz Khalifa
Wiz Khalifa sued for $1 mil bucks over a cancelled concert ... and that would have bought him 100,000 joints ... which would have been AWESOME ... except for the fact that he got thrown out of court.

TMZ broke the story ... Wiz sued It's My Party, Inc. -- a concert promotion company - for cancelling his gig at George Mason University. Wiz claimed he was promised $85k plus a cut of the profits, BUT he sued for $1 million claiming the botched show severely damaged his reputation.
It's My Party fired back ... the deal was never real since Wiz never signed on the dotted line.

A judge agreed -- No contract = no deal. It just was not doobie.
TMZ reports

AMUUA BABA YAKE KWA KUMTUHUMU KUWA NI MSHIRIKINA...!

JESHI la Polisi mkoani Rukwa
JESHI la Polisi mkoani Rukwa linamsaka Richard Jecap (30) mkazi wa kitongoji cha Matai A kwa tuhuma za kumuua baba yake kwa kumpiga mpini kichwani akimtuhumu kuwa ni mshirikina.
Tukio hilo lilitokea Aprili 18 saa 4.50 asubuhi wakati baba huyo akiwa amekaa nyumbani kwake akiota jua.
Akizungumza na gazeti hili, mwenyekiti wa kijiji hicho, Emmanuel Mwakibinga alisema kuwa mtuhumiwa alifanya mauaji hayo baada ya watoto wake kufariki ambapo mtoto wa kwanza mwenye umri wa miaka minne alifariki Januari mwaka huu na alikuwa akidai baba yake huyo ndiye aliyemloga.
Alisema kuwa Aprili 16 mtoto wake wa pili mwenye umri wa miaka miwili alifariki na alidai kuwa baba yake ndiye aliyemloga kwani amekuwa akiloga watoto wake hao na siku ya mazishi aliahidi kumfanyia kitu kibaya baba yake huyo licha ya kuwa hakueleza ni kitu gani.
Mwenyekiti huyo alisema siku ya tukio hilo alikuwa akipita karibu na nyumba hiyo akasikia kishindo kikubwa kutoka eneo la nyumba hiyo na kisha kufuatia vilio vya watu na aliposogea alikuta mtuhumiwa huyo amekwishampiga mpini kichwani baba yake huyo na kisha kuanguka na kupoteza fahamu.
Baada ya kuona hivyo, walisaidiana pamoja na wanafamilia wengine kumwahisha hospitali na alitundikiwa maji sambamba na kushonwa katika jeraha kubwa alilolipata kichwani na usoni na kisha kulazwa ili kuendelea kupata matibabu.
Mwakibinga alisema kuwa wakati akiendelea kupatiwa matibabu alifariki dunia kutokana na kuvuja damu nyingi na maumivu makali aliyokuwa nayo katika jeraha alilolipata baada ya kupigwa na mpini wa shoka kichwani.

Kipanya Leo

Kipanya

Mungu sio Ruge wala Kusaga - Lady JayDee


kupitia kurasa yake ya Twitter.

Angalia Jinsi Hackers Walivyoifanya Mbaya Website ya Makamu wa Rais!

Katika hali isiyo kuwa ya kawaida hackers wameendelea kusumbua na sasa ni zamu ya tovuti ya serikali ya makamu wa rais kilicho andikwa nimatusi kwa maandishi na kuna muziki wa hiphop wa mitusi.. Kuna mtu anajiita Govt Attacker. Mr. Spam ..! Eti ni Mmoroco.

Ndoa za Jinsia Moja Ufaransa Wazua Kizazaa Mjini Paris!

Ufaransa
Siku mbili kabla ya bunge la Ufaransa kuidhinisha sheria inayohalalisha ndoa za jinsia moja kumetokea maandamano ya dakika za mwisho mwisho mjini Paris.
Watu wanaopinga sheria hiyo wamekusanyika katika eneo la Montparnasse la mji mkuu katika juhudi za mwisho za kuizuia sheria hiyo, huku maandamano mengine ya kundi hasimu pia yaliandaliwa kuiunga mkono sheria hiyo. Zaidi ya watu 100 wamekamatwa katika kipindi cha wiki moja iliyopita katika maandamano mengine ya kupinga ndoa za jinsia moja.
Makundi ya kutetea haki za binadamu pia yameripoti ongezeko la matusi na mashambulizi ya kimwili dhidi ya jamii ya mashoga na wasagaji nchini Ufaransa.

Ufaransa inatarajiwa kuwa nchi ya 14 kuhalalisha ndoa za jinsia moja, kufuatia kuidhinishwa sheria hiyo nchini New Zealand wiki iliyopita.

Wabunge wa Uganda Wakamatwa India

Uganda Wakamatwa India
Kampala. Polisi wa India wanawahoji wabunge wa Uganda kwa kujaribu kujipatia kiasi cha fedha 50 bilioni za udanganyifu kutoka kwa wakurugenzi wanne wa Videocon na makao makuu ya kampuni ya kuzalisha umeme nchini humo.

Vigogo hao wa Serikali waliokumbwa na kashfa hiyo ni pamoja na Mbunge wa zamani wa Buzaya ,ambaye pia alikuwa waziri wa Mambo ya Mikoa Issac Musumba.
Wengine ni mbunge wa Igara Kata ya Mashariki Michael Mawanda, na mfanyabiashara mkubwa nchini Uganda Yakuba Mathai. Akidhibitisha kutokea kwa tukio hilo Katibu mkuu wa Mambo ya Nje James Mugume alisema kwamba viongozi hao walikamatwa katika mji wa Mumbai nchini India wakituhumiwa kujipatia kiasi hicho cha pesa.
Alisema kiasi hicho ambacho ni , $ 20,000,000 (Shs50 bilioni) ni kutoka katika kampuni ya Videocon na makao makuu ya kampuni ya kuzalisha Umeme nchini humo.
Alisema hiyo ni kazi ya kipolisi hivyo wanawaachia wafanye kazi yao na pia wataendelea kuleta taarifa zaidi kwa wananchi nini kinachoendelea huko. “ Siwezi kutoa maelezo mengi kwa sasa kwa sababu sisi pia hatuna ukweli wowote tulioupata kuhusu tukio hilo “alisema

Taarifa zilisema kwamba Musumba na Mawanda ni wamiliki wa hati za kusafiria za kidiplomasia lakini kwa mujibu wa polisi wa Mumbai wakati wakihojiwa ilibainika kwamba walikuja kwa lengo la kutoa ushauri wa kisheria kwa mfanya biashara Muthai.
Mwananchi