Pages

Akili The Brain - Nakuogopa (VIdeo)

Taifa Sasa Hatarini Kuingia Gizani,Tanesco

bwawa la Mtera  
Taifa lipo katika uwezekano mkubwa wa kuingia tena gizani kutokana na kina cha maji katika bwawa la Mtera lililoko katikati ya mikoa ya Dodoma na Iringa kushuka na uzalishaji wa umeme kufanyika kwenye kina cha hatari. Kwa mujibu wa Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), Felchesmi Mramba(pichani), kina cha juu cha maji katika bwawa hilo kinachotakiwa kuzalisha umeme ni mita za ujazo 698.5. Lakini alisema kufikia jana, kina hicho kilikuwa kimeshuka hadi kufikia mita za ujazo 688.68.

Kutokana na hali hiyo, Mramba alisema kuanzia jana walianza ratiba ya kulifunga bwawa hilo nyakati za asubuhi ili kuruhusu maji kuingia na kuanza uzalishaji nyakati za jioni.
Mramba alitoa taarifa hiyo jana mbele ya Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini, iliyotembelea miradi mbalimbali ya Tanesco, ikiwamo chumba cha udhibiti wa umeme Ubungo jijini Dar es Salaam baada ya wajumbe wa kamati hiyo kutaka kujua hali ya uzalishaji umeme kwa kila kituo.
Mramba alisema kutokana na hali hiyo, wameomba kibali Wizara ya..

TOTO Day ni Jumamosi, Mbalamwezi Beach

TOTO Day ni Jmamosi, Mbalamwezi Beach

Reinfeldt Defends Migrant Deportation Push

Reva project, 
Prime Minister Fredrik Reinfeldt on Sunday defended recent efforts by police to identify and deport immigrants who remain in Sweden illegally.

"Those who have been denied entry or received deportation orders should leave the country," Reinfeldt told Svergies Television (SVT) on Sunday.
"Should people be allowed to stay simply because they go into hiding for a few weeks? That would be a very strange society."

The prime minister's comments come in response to an ongoing debate in Sweden about law enforcement's approach to carrying out deportation orders.
Critics have accused police in Stockholm of racial profiling in asking "non-Swedish looking" commuters for identification. Others have questioned whether...

Rwakatare Asomewa Mashtaka ya Ugaidi

Rwakatare
Rwakatare akionesha alama ya vidole viwili wakati akipelekwa kizimbani.
Rwakatare
Wakili wa Rwakatare, Tundu Lisu (kulia) akimuelekeza jambo Mbuge wa Arusha Mjini, Godbless Lema wakati wakijaribu kuandaa mipango ya dhamana.
Rwakatare
Wakili Peter Kibatara akiweka mambo sawa kabla ya..

Picha ya Mchoro Aliokua Akiuchora Rwakatare!!

Scam Series #15

Education
Dear Friend,
I know that this mail will come to you as a surprise as we have never met before, but need not to worry as I am contacting you independently of my investigation and no one is informed of this communication. I need your urgent assistance in transferring the sum of $15,million immediately to your private account.The money has been here in our Bank lying dormant for years now without anybody coming for the claim of it.
I want to release the money to you as his business partner, to our deceased customer (the account owner) who died a long with his supposed NEXT OF KIN since 31 January 2007. The Banking laws here does not allow such money to stay more than 13 years,because the money will be recalled to the Bank treasury account as unclaimed fund.
By indicating your interest I will send you the full details on how the business will be executed.
Please respond urgently and delete if you are not interested
Regards,
Mr Hasib Fatah                                -Scam-

Peter Msechu ft Joh Makini - Kumbe (Audio)

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjjwEQ90OtDj7dOt5hEWEQpNV5Pk07jPmK5GI38OByr7pCB7hrd4bjuItWL6YYZ2cDP6I25U4n78ykRdE3-Pc10FPaJEpdGsapshgKixCX3Elg0DN0wWo5TSNzRPL7p9zuGwhx-qKNPdlA/s1600/Peter+Msechu.JPG

Video ya Mbwiga na Ally Hassan Mwinyi Stadium

Anyofolewa Nyama Mkononi Kimiujiza Akiwa Usingizini

Mbarali Ahadi Mwandeko
MWALIMU wa Shule ya msingi Motomoto iliyoko katika kijiji cha Motomoto kata ya Ruiwa wilaya ya Mbarali Mkoani Mbeya , Ahadi Mwandeko (22) amenyofolewa nyama mkononi akiwa usingizini.

Mwalimu huyo ambaye alikutwa na jeraha katika mkono wake wa kulia asubuhi baada ya kutoka kuamka alisema hajia ni kitu gani kilichomzuru hadi kufikia kuwa na jeraha kubwa mkononi.


Akizungumzia mkasa huo alipotembelewa na waandishi wa habari shuleni kwake Mwalimu Mwandeko alisema akiwa usingizini aliota kama anaugomvi na mwanamke ambaye hakuitambua sura yake, lakini baada ya kuamka asubuhi alijikuta akiwa na jeraha huku likivuja damu nyingi.

Alisema baada ya kukuta hali hiyo alienda kwa Mwalimu mkuuwa shule hiyo Lyidia Mdowe kwa ajili ya kumpa taarifa ya jambo lililomkuta ambapo alishauriwa kwenda Hospitali kwa ajili ya matibabu.

Aliongeza kuwa baada ya kufika katika Zahanati ya Ruiwa alipatiwa matibabu na kurejea shuleni ambapo Mwalimu mkuu alitoa taarifa kwenye Serikali ya kijiji ambapo Mwenyekiti wa Kijiji hicho Kassim Mwagalla aliitisha mkutano wa hadhara.

Mwalimu Mkuu Mdowe alisema hali hiyo imezua hofu kwa walimu wengine ambao ni wageni kiasi kwamba hata ari ya ufundishaji imepungua baada ya...