TAZAMA HII VIDEO YA MIKAKATI YA CHADEMA KUFANYA MAUAJI KWA WANAHABARI!!
VIDEO; MIKAKATI YA MATESO YA KIBANDA NA MWANDISHI MWANDAMIZI WA GAZETI LA MWANANCHI; MHUSIKA MKUU HUYU HAPA...
KWA MUDA SASA HAPA TANZANIA KUMEKUWEPO NA MATUKIO YA KUSIKITISHA YA KUTEKA NA KUTESA WANAHARAKATI WA HAKI ZA BINADAMU AKINA MWANGOSI, ULIMBOKA NA WENGINE.. SISI WAZALENDO NA WAPENDA AMANI YA TANZANIA TUNASEMA TUMECHOKA NA SASA BASI TUNAWEKA WAZI KILA KITU ILI UMMA UJUE KINACHOENDELEA..KWELI DAIMA ITAKUWEKA HURU...VIDEO HII INAONYESHA SEHEMU TU YA MATUKIO YALIYOKWISHATEKELEZWA NA CHADEMA , MPANGO MZIMA UKIRATIBIWA NA MKURUGENZI WA ULINZI NA USALAMA WA CHAMA WILLIFRED LWAKATARE KWA MAELEKEZO YA MWENYEKITI MH. MBOWE NA KATIBU MKUU DR SLAA. KATIKA VIDEO HII LWAKATARE ANATOA MAELEKEZO KWA KIJANA WAKE KWENDA KUTEKELEZA UTEKAJI WA MWANDISHI WA KAMPUNI YA MWANANCHI HUKU AKITOLEA MFANO WA MATUKIO AMBAYO CHAMA KILIYATEKELEZA KAMA LILE LA IGUNGA AMBAPO MUSSA TESHA ALIMWAGIWA TINDIKALI NA LILE LA MOROGORO AMBAPO KIJANA MMOJA ALIFARIKI KATIKA VURUGU ZA MAANDAMANO YA CHADEMA AMBAPO POLISI WALITOA TAARIFA KUWA KIJANA HUYO AMEANGUKIWA NA KITU KIZITO. HII VIDEO NI SEHEMU TU YA VIDEO ZINGINE AMBAZO TUTAZITOA WAKATI MUAFAKA UKIFIKA..
Sorce: YouTube

Top Gear is Now Credited on the River Nile Wikipedia Page

In the Africa Special Part 2 episode of Series 19 of the BBC television programme Top Gear, the three presenters (Jeremy Clarkson, Richard Hammond and James May) held a race where the first to find the source would be thought of as the discoverer of the source of the River Nile. The location of the supposed source is suggested to be south west of Lake Victoria, in the Serengeti on a tributary named the Grummeti, on the opposide side of Lake Victoria to where Dr. Burkhart Waldecker (Burundi) and where Joanna Lumley (Rwanda) thought the source was.
However, this has not been proven, though evidence suggests that this is highly likely by taking into account that the mouth of a river has to flow into a tidal area. The Nile mouth is said to be at Alexandria however this leads out into the Mediterranean Sea which is not tidal meaning that the actual mouth of the Nile is at the Strait of Gibraltar between Spain and Morocco flowing into the Atlantic Ocean.
Geographically, the source of a river should also be as far away from the mouth as possible. This evidence suggests that the theorem of Dr. Burkhart Waldecker and Joanna Lumley are incorrect and the theory of BBC Top Gear is correct. Though these theorem could all be incorrect as the Top Gear theory has not been proven as the source is the River Nile is still disputed to the present day.
BBC Top Gear
BBC Top Gear
Polisi Zanzibar Imetoa Taswira ya Mchoro wa Muuaji wa Padri Evarist Mushi
Jeshi la polisi Zanzibar limetoa mchoro wa taswira ambayo inasadikiwa kuwa ndiye sura ya muuaji wa padri Evarist Mushi wa kanisa katoliki Zanzibar aliyeuwawa mwezi uliopita akiwa njiani kuelekea kanisani kwa ajili ya kuongoza ibada.
Mtoto Simoni Mlope Bado Hajapata Msaada, Tafadhali Mchangie
Mtoto Simoni Mlope mwenye umri wa miaka 11 mkazi wa eneo la Mahenge katika manispaa ya Songea mkoani Ruvuma amelazimika kukatisha masomo yake ya shule ya msingi akiwa darasa kwanza kutokana na kusumbuliwa na ugonjwa wa moyo.
Awali tulitoa habari za mtoto huyu akiomba msaada lakini hadi sasa bado hajapata msaada wowote ule wa kuweza kuokoa maisha yake. Nahivi sasa hali ya mtoto huyu inazidi kuwa mbaya kiafya.
Mtoto simon Mlope alikumbwa na ugonjwa moyo tangu mwaka 2001 mara baada ya kuzaliwa na kugundulika kuwa moyo wake una tundu hali ambayo inasababisha kuvuta pumzi kwa shida.
Mama wa mtoto aitwaye AMINA ALLY anaomba Watanzania mumsaidie fedha za matibabu kulinganan na ushauri wa madaktari kuwa mwanaye anatakiwa kwenda nchini India kutibiwa. Alipata rufaa kutoka hospitali ya Muhimbili mwaka 2006 lakini imeshindikana kwenda India tokea wakati huo kwa kuwa huku familia yake haina uwezo.
Amina anasema anajishughulisha na kazi za ndani ambapo hujipatia ujira wa shilingi 30,000/= kwa mwezi.
Baba wa mtoto huyo anayejulikana kwa jina la SIMON MLOPE ameondoka nyumbani hapo tangu mwaka 2011 na hajulikani aliko kwa sasa, ingawa mwanzoni alisema yuko nchini Msumbiji.
Kwa anayeguswa na tatizo hili na anataka kumsaidia SIMONI MLOPE atumie simu namba+255 752732290
Awali tulitoa habari za mtoto huyu akiomba msaada lakini hadi sasa bado hajapata msaada wowote ule wa kuweza kuokoa maisha yake. Nahivi sasa hali ya mtoto huyu inazidi kuwa mbaya kiafya.
Mtoto simon Mlope alikumbwa na ugonjwa moyo tangu mwaka 2001 mara baada ya kuzaliwa na kugundulika kuwa moyo wake una tundu hali ambayo inasababisha kuvuta pumzi kwa shida.
Mama wa mtoto aitwaye AMINA ALLY anaomba Watanzania mumsaidie fedha za matibabu kulinganan na ushauri wa madaktari kuwa mwanaye anatakiwa kwenda nchini India kutibiwa. Alipata rufaa kutoka hospitali ya Muhimbili mwaka 2006 lakini imeshindikana kwenda India tokea wakati huo kwa kuwa huku familia yake haina uwezo.
Amina anasema anajishughulisha na kazi za ndani ambapo hujipatia ujira wa shilingi 30,000/= kwa mwezi.
Baba wa mtoto huyo anayejulikana kwa jina la SIMON MLOPE ameondoka nyumbani hapo tangu mwaka 2011 na hajulikani aliko kwa sasa, ingawa mwanzoni alisema yuko nchini Msumbiji.
Kwa anayeguswa na tatizo hili na anataka kumsaidia SIMONI MLOPE atumie simu namba
Texas Woman Nearly Dies on Botched Treasure Hunt Rumored to Be Worth $2 Million (Video)
A Texas woman, 33, was looking for millions in gold and jewels in New Mexico's mountains.
Jay-Z And Beyonce In Celebrity Finances Leak
A website has posted what appears to be private financial information about stars, including rapper Jay-Z and his wife Beyonce, and government officials.
Mel Gibson, Ashton Kutcher, Kim Kardashian and Paris Hilton were among the 11 well-known names whose financial details were released.
The officials who were targeted included FBI Director Robert Mueller and Los Angeles Police Chief Charlie Beck, whose social security numbers and credit reports were published.
Pages posted on US Vice President Joe Biden and the former Secretary of State Hillary Clinton did not include credit reports, but did reveal addresses and other sensitive information.
While government officials often have to disclose details on their finances – and celebrity divorces sometimes feature public financial data – the information posted online exceeds those disclosures.
Social security numbers are..
Subscribe to:
Posts (Atom)