-NDUGU WAOMBA ULINZI!
Stori: Mwandishi Wetu
HUWEZI kuamini lakini ukweli ni kwamba Erick Kabendera ambaye ni mwandishi wa habari wa hapa nchini ana wasiwasi na maisha yake baada ya kwenda kutoa ushahidi uliomwangamiza mfanyabiashara maarufu Reginald Mengi ambaye sasa anatakiwa kumlipa Sarah Hermitage, raia wa Uingereza aliyekuwa amemshitaki mahakamani.
Sarah alimshitaki Mengi akidai kukashifiwa na magazeti yake na katika kesi hiyo iliyokuwa ikisikilizwa Mahakama Kuu ya London, Uingereza, jaji alimhukumu kumlipa mama huyo paundi za Uingereza milioni 1.2 (ambazo ni sawa na Shilingi Bilioni 2.9 za Kitanzania) baada ya hapo vituko vya kuisumbua familia ya Kabendera mkoani Kagera vikaanza.
Kwa mujibu wa taarifa ya Chama cha Waandishi wa Habari za Uchunguzi kiitwacho Forum for African Investigative Reporters (FAIR), familia ya Kabendera, imekuwa ikisumbuliwa na maofisa wa..