Pages

Ja Rule Realesed from Prison

Ja Rule
Rapper Ja Rule was released from prison today, but he’s not exactly a free man.MyFox NY reports that “Ja Rule left an upstate New York prison Thursday morning after serving most of his two-year sentence for illegal gun possession and headed straight into federal custody in a tax case.
When the prison gates clanged shut behind him after serving a two-year sentence for illegal gun possession, U.S. Marshals were waiting to escort Ja Rule to his next destination.
The “Put It On Me” rapper reported to prison in June 2011.

Taarifa ya Habari 9-02-2013

Siri Ya Mtungi Sehemu ya 6

Cheche anakwenda kufanya kazi ya binafsi ya kupiga picha akiambatana na Lulu, bila ya msaidizi wake, Shoti. Safari ya kikazi ya Cheche inaishia kwenye nyumba ya ufukweni ya Lulu. Cheusi, akihisi kuzidi kutengwa na mumewe, anamgeukia mama yake Mwanaidi kwa ushauri juu ya ndoa na familia.
Mtanziko wa Nusura unazidi kuwa mbaya. Shogake mpenzi, Julietta anamshauri, lakini Nusura ana mambo mengi maishani mwake ambayo

7 Wameuawa Wakitoka Kusali Msikitini Kenya

Kenya,
Watu saba wameuawa kwa kupigwa risasi katika shambulizi karibu na msikiti Kaskazini Mashariki mwa Kenya, karibu na mpaka na Somalia.
Wanakijiji waliambia BBC kuwa watu kumi waliokuwa wamejihami waliwashambulia kwa bunduki watu hao wakati walipokuwa wanaondoka msikitini mapema asubuhi.
Mwanzo wanaume watano waliuawa na kisha wanawake wawili waliosikia milio ya risasi walipofika kuchunguza, nao pia wakauawa.

Shambulio linafanyika chini ya wiki mbili kabla ya uchaguzi kufanyika katika eneo mojawapo ambapo usalama ni tatizo kubwa.Wenyeji wa kijiji cha Malaley wanasema kuwa hakuna kilichoibiwa kwani washambuliaji walitoroka punde baada ya shambulizi.Kijiji hicho kiko umbali wa kilomita 45 kutoka kambi ya wakimbizi ya Dadaab ambayo ni makao kwa wakimbizi zaidi ya laki tano, waliotoroka vita nchini Somalia.
Katika mwaka mmoja uliopita, eneo hilo limekumbwa na mashambulizi ambayo yamelaumiwa kwa kundi la wapiganaji wa kiisilamu Al Shabaab.Al-Shabab iliahidi kulipiza kisasi wakati wanajeshi wa Kenya walipokwenda Somalia kupambana nao, mwezi Oktoba mwaka 2011 kama juhudi za kusaidia wanajeshi wa muungano wa Afrika.

Kutana na Mwanamke Mweusi Mwenye Nywele Ndefu Duniani!


Asha amezungumzia jinsi alivyokua addicted na nywele zake ambapo anaonekana kuzipenda kuliko kitu chochote duniani... Akiongea kwenye kipindi cha My Strange Addiction cha TLC Amesema anatumia masaa matano kila siku kuziweka tu sawa nywele hizo na chupa 24 za shampoo kila mwezi.

Asha pia anaweza kuzitumia nywele hizi kama mtu endapo atajisikia kujipumzisha sehemu yoyote ile.


anadai anasikia raha sana watu wakimshangaa nywele zake na kumuulizauliza maswali


Wiz Khalifa is a Proud Father!!! Fatherhood Official

Hatimaye rapper Wiz Khalifa na mchumba wake Amber Rose wamekuwa wazazi rasmi kwa kupata mtoto wa kiume waliyemuita Sebastian Taylor Thomaz.
Wiz Khalifa ambaye jina lake ni Cameron Jibril Thomaz alitangaza habari hiyo kupitia Twitter baada ya – Amber Rose kujifungua mtoto wao wa kwanza.


 Snoop alitupia picha akiwa na Wiz Khalifa, ikiwa na caption ya kuwapongeza Wiz na Amber Rose kwa kupata mtoto wao huyo...

Ja Rule Realesed from Prison

Ja Rule
Rapper Ja Rule was released from prison today, but he’s not exactly a free man.MyFox NY reports that “Ja Rule left an upstate New York prison Thursday morning after serving most of his two-year sentence for illegal gun possession and headed straight into federal custody in a tax case.
When the prison gates clanged shut behind him after serving a two-year sentence for illegal gun possession, U.S. Marshals were waiting to escort Ja Rule to his next destination.
The “Put It On Me” rapper reported to prison in June 2011.

Angalia Suma Lee Afunguka Kuhusu Maisha Yake; Exclusive Interview With Sporah

Pcha za Harusi ya JCB na Diana Jorgensen

JCB na Diana Jorgensen
JCB afunga ndoa na girlfriend wake wa kitambo,Diana
Jorgensen ambae kwa sasa wanamtoto mmoja pamoja, huko jijini Arusha
JCB na Diana Jorgensen
Bofya read more kwa picha zaidi...

London Fashion Week, Tanzania 1O Bora


London Fashion Week,





Nje ya Jumba la Somerset- Samson Soboye (Mpangaji wa maonyesho), Jacqueline Kibacha ("Heart 365"), Mama Balozi Joyce Kallaghe, Anna Lukindo ("Anna Luks") na Rose Kiondo (Mratibu wa maonyesho) London Fashion Week,
Wanamitindo wa Kitanzania kwenye London Fashion Week 2013. Anna Lukindo, Christine Mhando, Jacquiline Kibacha-pic by Urban Pulse" Jumapili mchana wilaya ya Westminster jijini London ilikuwa na mashindano ya ubunifu na urembo katika maonyesho ya kimataifa ya London Fashion Week. Mashindano haya yalifanyika jumba la Somerset lililosimama imara kwenye upembe wa kaskazi ya mto Thames. toka tarehe 14 hadi tarehe 28. Wiki hizi mbili nzima zitakutanisha kila mtu anaye husika na biashara ya mavazi na urembo. Magwiji na mapapa wa mitindo, wabunifu, walimbwende, watafuta vipaji, wafanya biashara, wazalishaji mali ghafi na wamiliki viwanda. Wote hukutana katika maonyesho haya. Hapa si vipaji tu vinavyojionyesha, bali pia watu wa biashara. Siku hii Tanzania ilikuwa moja ya nchi mbili tu za Kiafrika zilizochaguliwa na British Council na "London Fashion Week" kushiriki mashindano ya kutafuta vipaji chipukizi kwenye tasnia ya ubunifu wa mavazi na urembo. Watanzania Anna Lukindo, Jacqueline Kibacha na Christine Mhando ndio wasanii waliobeba bendera ya taifa letu na kutuwakilisha katika mashindano haya ya kimataifa yanayofanyika kila mwaka kwa zaidi ya miaka 2