Pages

Docta D-one & Easy-one ft Nahreel - Revolution (Audio)

Docta D-one & Easy-one ft Nahreel

Criss Wamarya - Rudi (Audio) by Maneky

Criss Wamarya

Watu Wawili Wauawa Kikatili Mkoani Mara

Watu wawili wamefariki dunia na mmoja kujeruhiwa vibaya kwa kuchomwa visu huku mmoja ambaye ni mtoto yatima na mfanyakazi wa ndani akiuawa kikatili kwa kunyongwa na ndugu wa mwenye nyumba katika mtaa wa Kawawa katika manispaa ya Musoma mkoani Mara.

Matokeo Kidato cha Nne ‘Feki’ Mkurugenzi Green Acres Afichua Siri Nzito

WAKATI mjadala wa matokeo mabaya ya kidato cha nne ukiendelea kulitikisa taifa, kashfa mpya ya matokeo hayo imeibuliwa. Kashfa hiyo mpya imeibuliwa na Mkurugenzi wa Shule ya Green Acres, Julian Bujugo, kwamba matokeo ya baadhi ya shule nchini ikiwamo yake yamechakachuliwa.

Akizungumza na gazeti hili jana, Bujugo alisema kuwa baadhi ya wanafunzi kwenye shule yake hawakufanya mitihani ya kidato cha nne, lakini matokeo yanaonesha wamefaulu kwa kupata alama za juu.
Alitaja mfano wa mwanafunzi, Humphrey Sanga, mwenye namba 01197/148, ambaye hakufanya mitihani hiyo lakini matokeo yanaonesha amefaulu kwa kupata alama nzuri.
“Huyu mwanafunzi tulimsimamisha na hakufanya mitihani, lakini matokeo yake yanaonekana amepata hivi; Civics D, Historia D, Jiografia C, Kiswahili D, English C, Physics D, Chemistry C, Biology C, Basic Mathematics D, ambapo amepata daraja la tatu pointi 24,” alisema Bujugo.

Alimtaja mwanafunzi mwingine, Martin Rushaigwa, namba 01197/0173, ambaye alifanya masomo ya ‘Arts’.
Alisema matokeo ya mwanafunzi huyo yanaonesha kuwa ameongezewa alama za masomo ya biashara ya Bookeeping na Commerce, ambayo hakuyafanya kabisa.

Alimtaja mwanafunzi mwingine aliyefanya mtihani huo lakini matokeo yake yanaonesha...

PSY Wa Gangnam Style Akanusha Kupiga Show Dubai

PSY Wa Gangnam Style
Mwanamuziki mwenye asili ya Japan ambae amejizolea umaarufu mkubwa kupitia wimbo wake wa Gangnam Style, PSY amekanusha uzushi kuwa atapiga show Dubai hivi karibuni.
PSY Wa Gangnam StylePSY amekanusha uvumi ulioenea kuwa atapiga show Dubai Alhamis ya Tarehe 28 March mwaka huu. PSY amekanusha uvumi huo kupitia ukurasa wake wa Twitter mapema leo asubuhi kwa kuandika

King Kapita ft. Godzilla - Kuna Tatizo Kwani (Audio)

S.U.A Event: ROAD TO OKOA MTAA SEASON 01 EPISODE 1

S.U.A

Petty ft. Godzilla na Steve RnB - Naumia Moyo (Official Video)

Funeral photos of Reeva Steenkamp, Pistorius’ Slain Girlfriend

Reeva Steenkamp, Pistorius 
 The funeral of 30 year old model and law-school graduate Reeva Steenkamp, held in South Africa yesterday.
A memorial service was conducted at a chapel in her home town of Port Elizabeth, before her body was cremated at a private ceremony attended by more than 100 relatives and friends. Amid the grief, mourners at the funeral demanded punishment for her boyfriend, Oscar Pistorius who shot her several times leading to her death.
Reeva Steenkamp, Pistorius

Reeva Steenkamp, Pistorius
R.I.P Reeva

Fundi wa Tanesco Amekufa kwa Sababu za Kizembe za Ofisi

Iringa, Selemani Mbuma
Fundi wa Shirika la Umeme Tanesco mkoani Iringa, Selemani Mbuma akiwa amenaswa na umeme na kufariki hapo hapo baada ya wenzake kuwasha umeme kimakosa wakati akiendelea na matengenezo katika eneo la Mlandege mkoani humo