Pages

WHAT IS FISTULA (OBSTETRIC FISTULA)

The Sporah Show highlighting the plight of women suffering from a condition known as OBSTETRIC FISTULA. Among the guests are the CEO of AMREF, an international organisation with 54 years experience working with women and children in Africa. Other guests, Sherry from GHANA, Eva from UGANDA, Delvine from ZIMBABWE and Lisette from CONGO also discuss how the condition affects women in their home countries. Plus a few words from the TANZANIAN High Commissioner's wife and Managing director of Rich Vision Ms. Mavis Amankwah.

Picha ya Diamond Akitumbuiza Jukwaani Akiwa na Washabiki 50 tu!

* Diamond Show, Golden Creast Hotel Mwanza * *Picha hii inasambaa mtandaoni, Kutoka Golden Creast Hotel Mwanza ambapo Diamond alikuwa na show juzi kati kwaajili ya sikukuu ya wapendanao na kiingilio kinatajwa kuwa kulikuwa ni shilingi 20,000/- za kitanzania.*
Diamond
Vitukovyamtaa blog

Nahreel na Aika -Usinibwage (Video)

Usinibwage is a love song that shows the importance of trust in relationship, AIKA (Twitter:@Aikamarealle)and Nahreel have released Usinibwage as their first swahili song after the Pah One group Projects.

Kibonzo ITV

Watatu Mbaroni kwa Mauaji ya Padre Zanzibar

Padre

Pope Delivers One of His Final Messages to Huge Crowd

Pope Benedict XVI.
Pope Benedict XVI led tens of thousands in a prayer for strength Sunday and thanked followers for their support during his second-to-last Angelus prayer as pontiff.
"Today we contemplate Christ in the desert, fasting, praying, and being tempted," the pope said to an unusually large crowd at St. Peter's Square in Vatican City.
"As we begin our Lenten journey, we join him and we ask him to give us strength to fight our weaknesses. Let me also thank you for the prayers and support you have shown me in these days. May God bless all of you!"

Benedict, 85, shocked millions across the world last week when he announced his intention to stand down at the end of the month, citing the frailty of old age.
The decision makes him the first pope to step down in nearly 600 years.
Referring Sunday to a Bible passage, the pope said, "During the decisive moments of our lives, and in fact at every moment, we are in front of a crossroads: Do we want to follow the I or God? The individual interest or the true good, that which really is the good?"
The crowd appeared to have about 100,000 people
He also tweeted a message to followers worldwide, calling on them to "rediscover faith" as a foundation.
Cardinals may meet before March 15 to choose the next pope if they are all in Rome, a Vatican spokesman said Saturday. The conclave will bring together the 117 cardinals of the Roman Catholic Church.
                              CNN

Mume wa Goldie Amuonya Prezzo Akae Mbali na Familia Yake!!

Goldie Harvey 
Mume wa aliyekuwa star wa muziki Nigeria Goldie Harvey, Bwana Steve Harvey amempa Live star wa muziki kutoka Kenya Prezzo kukaa mbali na familia yao coz ameshasababisha maumivu ya kutosha baada ya kuwa na mahusiano na mke wake.
Goldie Harvey


Steve Harvey
Like that wasn't enough
Kupitia Ukurasa wake wa Facebook, Steve Harvey ameandika maneno yanayoonyesha wazi kumlenga Prezzo akiambatanisha picha za harusi alizopiga na marehemu Goldie.

Meteorite Explosion - Russia Chelyabinsk 2/15/2013 - Asteroid Expected to Pass Close by Earth

The Russian Urals region has been stricken by a sudden cosmic attack. Unidentified flying objects exploded over several major cities, including Chelyabinsk, where the blast waves blew out windows and disrupted mobile connections.
The Emergency Ministry said the incident was caused by a shower of meteorite debris. Unconfirmed reports suggested that a meteorite was shot down by Russian air defenses. Multiple dashboard videos appeared online, showing huge fireballs flying over buildings and exploding with a strong blast. A local zinc factory was the worst-hit, with some of its walls collapsed.

Fireball explosion wreaks havoc across region.
'Shock and frustration': Locals report on meteorite crash in Russian Urals (VIDEO)
A man identifying himself as Viktor poses for a photograph after receiving treatment for injuries sustained from a shock wave that followed after a falling object was sighted in the sky in the Urals region, at an emergency room in a hospital in Chelyabinsk February 15, 2013.(Reuters / Andrei Kuzmin)
­9:07 GMT: "The object could be about a meter in diameter and weigh a few tons," said Valeriy Shuvalov of the Institute of Geosphere Dynamics. "As it entered the atmosphere, it broke into a cloud of pieces that flew on, creating a blast wave and emitting light. That's where the flashes came from, as well as broken windows. Most of the object's material evaporated, the remaining pieces slowed down and fell. It was most likely of iron nature as it penetrated so far through the atmosphere. However, we still don't have the exact data on the debris."

­8:56 GMT: The Chelyabinsk regional governor reported that...

Tusiruhusu Bangi za Akina Kashillillah Bungeni!!

Taarifa kuwa katibu wa Bunge Dk Thomas Kashillillah alipendekeza kuwa vikao vya Bunge visitangazwe moja kwa moja ni upuuzi. Kuna haja ya kuwafahamisha akina Kashillillah wote wa wazi na waliojificha kuwa hili Bunge ni la watanzania wala si lao, wabunge wala mama zao. Bunge lipo si kwa utashi wa CCM au Spika, naibu wake wala wabunge bali watanzania. Linaendeshwa kwa pesa ya mlipa kodi na linafanya kazi za wananchi na si vinginevyo.
BungeniKuna haja ya kuwafahamisha akina Kashililah kuwa zama za genge la watu wachache kuuburuza umma zimepita kitambo. Wafahamu kuwa ufisadi wa kiakili na kimfumo utaendelea kutawala huku wajinga wachache wakijihadaa kuwa wataliburuza taifa milele. Wasihadaike na ufisadi wanaofanya bila kuchukuliwa hatua wakadhani kila kitu kitaendelea kuwa kama wanavyotaka. Ni ajabu kwa mtu anayeitwa Daktari sijui wa nini kufikiria acha kutenda vitu kama hivi. Je Kashililah ni kati ya wale madaktari feki wa kughushi waliotamalaki kwenye baraza la mawairi? Inakuwaje udaktari wake hamsaidii kuona jambo jepesi kama hili? Tanzania ni nchi ya kidemokrasia ambapo madaraka yote ni ya umma na si ya watawala. Hata wakati wa udikteta wa chama kimoja, hakuna aliyefikia kutenda wala kufikiria kufuru kama hii. Hata kama ni ulevi wa madaraka, huu sasa umevuka mipaka na dawa yake ni kwa umma kuhakikisha hizi bangi za akina Kashililah zinakomeshwa mara moja.

Kumekuwa na lawama nyingi kuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimefanya jambo baya kuweka wazi namba za simu ya spika wa Bunge Anna Makinda. CHADEMA si wendawazimu wala wapumbavu---wanajua wanachofanya na walichofanya ni sahihi na ni kwa ajili ya maslahi ya watanzania.

Ni bahati mbaya kuwa watetezi wa upuuzi huu hawaji na hoja zaidi ya kuokoteza vijisababu uchwara. Mfano, kuna mtu mmoja ameandika kwenye blog kuwa kitendo cha kufichua namba za spika kitamdhalilisha kijinsia. Ebo, mbona alipoteuliwa kugombea uspika kwa sifa moja tu ya ujinsia hakudhalilishwa? Kwani namba za watendaji wa umma zinazojulikana kama vile wakuu wa polisi wa mikoa ambao ni wanawake zinawadhalilisha? Hoja za ujinsia na kudhalilishwa ni chovu na hovyo. Ni hoja zilizojaa 'ukashilila' mtupu.

Kiongozi yoyote kama anafanya kazi kwa misingi ya utawala bora hana haja ya kuficha namba zake za simu. Inakuwaje simu hizi zilipiwe kwa pesa ya umma lakini bado ziendeleee kuwa siri? Wanachoficha ni nini kama wanawajibika? Nadhani kinachowasumbua wale wote wanaoamini katika... endelea kusoma kwa  Free thinking blog

Siri ya Mtungi Sehemu ya 4

Fikra pekee inayomsumbua Kizito ni jinsi atakavyoweza kumwoa Nusura, binti mrembo wa mmiliki wa mabanda, Masharubu. Mjomba Mawazo ana wakati mgumu wa kujadiliana na Masharubu mwenye tamaa ambaye yuko tayari kumwozesha binti yake kwa mahari kubwa mno.
Cheche bado inamuwia vigumu kuweka uwiano kati ya biashara yake na familia, na muda wa Cheusi unapotezwa kwa kuwaangalia watoto wake wawili watundu na mimba yake. Cheche anapata faraja kwa Tula kwenye Kigrosari chake, huku baadae studio yake 'ikisambaratishwa' na shangingi linalojiita Lulu linapovamia toka kusikojulikana na kudai apatiwe huduma!