Msichana huyo alitiririka kuwa alikuwa akichati mara kwa mara na mwanadada huyo akijua ni Jokate hadi wakawa wanapigiana simu huku akimwambia kuwa yuko Sauzi akiwaandaa wanamitindo aliowapeleka kwa ajili ya onesho lililokuwa likifanyika nchini humo.
Aliendelea kutambaa na mistari kuwa baadaye mwanamke huyo alimwambia amemuachia maagizo Martin Kadinda ambaye angemuona na kumpima nguo kwa ajili ya kwenda nazo kwenye ..





