Pages

Close Your Facebook Account..!!!

Watch this video and you will say goodbye to your facebook friends

Bakhresa Ameshika Namba 30 Kati ya Matajiri 40 wa Afrika -Forbes

DarSlam
Jarida la Forbes ambalo mara nyingi limekua likitoa ripoti za matajiri wa dunia na utajiri wao limesema tajiri wa Tanzania Said Salim Bakhresa ambae ameshika namba 30 kati ya matajiri 40 wa Afrika aliacha shule akiwa na umri wa miaka 14 na kuanza kuuza potato mix baada ya hapo akafungua restaurant ndogo lakini leo ameajiri zaidi ya watu elfu mbili kwenye kampuni yake.
Kampuni hii ndio kampuni inayoongoza kwa kutengeneza unga wa ngano Afrika Mashariki na kati ambapo kwa siku inatoa tani 3,200.

10 Facts You Didn't Know About Facebook

Watch this Battery Trick They Don't Want You to Know!

Askari Polisi Wazuia Raia Wasipate Elimu ya Ukimwi

DarSlam 
  Katika hali ya isiyo ya kawaida askari polisi zaidi ya watatu waliokuwa katika doria katika maeneo ya kata ya Makorongoni mjini Iringa jana usiku walizuia tamasha la elimu ya UKIMWI lililokuwa likiendelea nje ya vibanda vya UV CCM mjini Iringa
Askari hao ambao walikuwa na silaha walifika eneo hilo na kuwataka waandaaji wa tamasha hilo ambalo tayari lilikuwa limeanza kusitisha tamasha hilo na kuondoka eneo hilo kwa madai kuwa..

Afande Sele ft Koba - Amani na Upendo

DarSlam

Making of Underwater Nightclub NYC

The Underwater Nightclub was created by Thinkmodo for TechnoMarine. The video was filmed inside a pool at Survival Systems in Groton, CT. The bar and the set were custom built by Mystic Scenic Studios and the set was put together underwater by divers. The custom diving helmets were provided by Sea Trek and the video was shot on a RED Epic by Air Sea Land Productions. The entire production took 3 days.

Swahili Hip-Hop Summit

DarSlam
Swahili hiphop summit is in progress at the Alliance Francaise, Upanga Dar es Salaam. Wasanii kadhaa nchini waliomo katika sanaa ya Hiphop wamo katika kikao chao ambacho pamoja na mengine kinaongelea matatizo , mafanikio na muelekeo wa Hiphop nchini
Swahili hiphop summitSwahili hiphop summit
Swahili hiphop summit
Swahili hiphop summit