Askari Polisi Wazuia Raia Wasipate Elimu ya Ukimwi

Katika hali ya isiyo ya kawaida askari polisi zaidi ya watatu waliokuwa katika doria katika maeneo ya kata ya Makorongoni mjini Iringa jana usiku walizuia tamasha la elimu ya UKIMWI lililokuwa likiendelea nje ya vibanda vya UV CCM mjini Iringa
Askari hao ambao walikuwa na silaha walifika eneo hilo na kuwataka waandaaji wa tamasha hilo ambalo tayari lilikuwa limeanza kusitisha tamasha hilo na kuondoka eneo hilo kwa madai kuwa..
Askari hao ambao walikuwa na silaha walifika eneo hilo na kuwataka waandaaji wa tamasha hilo ambalo tayari lilikuwa limeanza kusitisha tamasha hilo na kuondoka eneo hilo kwa madai kuwa..
Making of Underwater Nightclub NYC
The Underwater Nightclub was created by Thinkmodo for TechnoMarine. The video was filmed inside a pool at Survival Systems in Groton, CT. The bar and the set were custom built by Mystic Scenic Studios and the set was put together underwater by divers. The custom diving helmets were provided by Sea Trek and the video was shot on a RED Epic by Air Sea Land Productions. The entire production took 3 days.
Swahili Hip-Hop Summit
Swahili hiphop summit is in progress at the Alliance Francaise, Upanga Dar es Salaam. Wasanii kadhaa nchini waliomo katika sanaa ya Hiphop wamo katika kikao chao ambacho pamoja na mengine kinaongelea matatizo , mafanikio na muelekeo wa Hiphop nchini
Baada ya Lord Eyes Kurudi ktk Jamii, Adondokea Bongo Records!

Baada ya misuko suko ya hapa na pale na hatimae kurudi uraiani, msanii kutoka A city Lord eyes, anaonekana kurudi na kuitengeneza upya image yake kwa..
Mwanamke Afumwa Live Akiwanga Chumbani!!

MWANAMKE mmoja ambaye jina lake halikupatikana mara moja (pichani) amepata aibu nzito baada ya kukutwa chumbani akidaiwa kukiwangia kivulana, Hamis Abdallah ,9, maeneo ya Tegeta Kibaoni, Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Tukio hilo la aina yake lililopachikwa jina la..
Tukio hilo la aina yake lililopachikwa jina la..
Subscribe to:
Posts (Atom)