Waziri Mwakyembe Akizindua Usafiri wa Treni
Usafiri wa Treni katika jiji la Dar Es Salaam umeanza rasmi ikiwa ni lengo la kupunguza msongamano wa magari ambapo waziri wa Uchukuzi Dr Harison Mwakyembe amewataka wananchi kutumia vizuri usafiri huo bila kufanya uharibifu.
Hurricane Sandy Katika Picha
Crane ikivunjika kutokana na upepo mkali kwenye jengo lililokua linajengwa Mtaa wa West 57th Manhattan, New York. Mpaka sasa hizi ni watu 16, wameipoteza maisha wengi wao kuangukiwa na miti kutokana na Hurricane Sandy na watu milioni 7 hawana umeme
Jiji la Manhattan likiwa limegubikwa na wingu zito la Hurricane Sandy na huku likiwa kwenye kiza kinene
Holland Tunnel New York City, New York ikiwa imefungwa, Holland Tunnel ni daraja linalopita chini ya maji ya mto Hudson unaotenganisha New York na New Jersey
Maji ya bahari yakifurika mitaani katika mji wa Atlantic City, New Jersey
Mitaa ya Atlantic City ikiwa..
Love Alcohol? - Chapombe
Chukua sekunde zako kadhaa kuangalia video hii, uone jinsi ulevi ulivyo noumer
Treni ya Abiria Yaanza kazi leo Dar es Salaam
Treni ya abiria iliyoanza kazi leo Dar es Salaam ikiwa kituo cha Ubungo Maziwa
Baadhi ya abiria wakipanda kwenye treni kituo cha Ubungo Maziwa kabla ya kuanza safari kuelekea katikati ya jiji.
Baadhi ya abiria wakikata tiketi za treni muda mfupi kabla ya kuondoka kuelekea katikati ya jiji la Dar es Salaam.
Baadhi ya wafanyakazi wa TRC wakiendelea..
Facts About Money!!

- The word millionaire was first used by Benjamin Disraeli in his 1826 novel Vivian Grey.
- If you stack one million US$1 bills, it would be 110m (361 ft) high and weight exactly 1 ton.
- A million dollars' worth of $100 bills weighs only 10 kg (22 lb).
- One million dollars' worth of once-cent coins (100 million coins) weigh 246 tons.
- TIP is the acronym for "To Insure Promptness."
- Nessie, the Loch Ness monster is protected by the 1912 Protection of Animals Acts of Scotland. With good reason - Nessie is worth $40 million annually to Scottish tourism.
- Of the more than $50 billion worth of diet products sold every year, almost $20 billion are spent on..
Subscribe to:
Posts (Atom)