Pages

Different Faces of 2pac A to Z

DarSlam 

Another Scam

FROM DR RHAMA ADAMS.
MANAGER BILL AND EXCHANGE DEPT
AFRICAN DEVELOPMENT BANK (ADB)
OUAGADOUGOU BURKINA FASO.

DEAR FRIEND,

This message might come to you as a surprise. However, it all just my urgent need for a foreign partner that made me to contact you for this business transaction. I got your contact from yahoo tourist search while I was searching for a foreign partner. I assured of your capability and reliability to champion this business opportunity when I prayed to God or Allah about you. I am a banker by profession in Burkina Faso West Africa and currently holding the post of assistant foreign remittance director in our bank.

I have the opportunity of transferring the left over funds ($15 million dollars) of one of my bank clients who died along with his entire family on Monday 31st July (2004) in a plane crash. Hence I am inviting you for a business deal where this money can be shared between us in the ratio of 60%40 if you agree to my business proposal. Further details of the transfer will be forwarded to you as soon as I receive your return mail immediately you receive this letter. Please indicate your willingness by sending the below information for more clarification and easy communication.

              (1) Your full name............................
              (2) Your contact address..................
              (3) Your Tel and Fax number...........
              (4) Your age......................................
              (5)  Your occupation........................

Trusting to hear from you immediately,
Thanks & best regards
Dr Rhama Adams.

Song of The Day

Kesi ya Mauaji Inayomkabili Papa Msofe Yakwama!!!

DarSlam
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, jana imeshindwa kusikiliza kesi inayomkabili mfanyabiashara maarufu jijini hapa, Bw. Marijani Msofe (50), maarufu 'Papa Msofe', kwa sababu mshtakiwa anaumwa.
Wakili wa Serikali Bi. Mwanaisha Komba, mbele ya Hakimu Agness Mchome, alidai shuari hilo lilikuja mahakamani hapo kwa ajili ya kutajwa na upepelezi haujakamilika.
Baada ya Bi. Komba kutoa maelezo hayo, Ofisa mmoja wa Jeshi la Magereza alidai mshtakiwa Bw. Msofe anasumbuliwa na malaria pamoja na kuonesha cheti chake cha hospitali.
Hakimu Mchome aliahirisha kesi hiyo hadi Septemba 4-5 mwaka huu na itasikilizwa mfululizo. Awali wakili wa Serikali Bi. Tumaini Kweka, alidai mshtakiwa ambaye ni mkazi wa Mikocheni, anakabiliwa na kosa moja la mauaji.
Bi. Kweka alidai kuwa, Novemba 6,2011, huko Magomeni Mapipa, mshtakiwa ambaye anatetewa na wakili wa kujitegemea, Bw. Majura Magafu, alimuua Bw. Onesphory Kitoli, upelelezi wa kesi hiyo bado haujakamilika.

Omba Omba Mzee Matonya Aiaga Dunia!!

Ni mmoja kati ya watu maarufu sana hapa nchini. Jina lake limetajwa sana, picha zake zimejitokeza mara nyingi kwenye vyombo vya habari na mitandao ya intaneti. Wakati Yussuf Makamba akiwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, mzee huyu alipata umaarufu kutokana na mchuano wao, anatajwa na Prof. Jay kwenye wimbo wake bongo Dar es Salaam. Huyu ni mzee Anthon Matonya a.k.a Rais wa Dodoma, taarifa nilizopata ni kwamba mzee huyu hatunaye tena. R.I.P Mzee Matonya.
DarSlam
Source: Iddy Harnaa Mkwama

Jahazi Literary and Jazz Festival 2012!

You’re invited to a scintillating weekend of open-air jazz concerts, poetry readings, story telling, great debate, cultural walks and talks, VIP dinners with the stars, and the very best aft
er-parties in town!
Join us for a long and lazy weekend of literary and jazz delights. Enjoy close encounters with some of the world’s most talented writers and musicians. Put your feet up, kick back, and enjoy island-life.
If you can muster up the energy, get lost in our World Heritage site’s - Stone Town - maze-like streets, sail a dhow out to the surrounding islands, dive into the Indian Ocean, and enjoy wiggling your toes in the sand.
You can even join this year’s hot debate - ‘The current global economic state, its origin and relevance to Africa, and where should we go from here?’ It is not to be missed!
Maru Maru's fabulous rooftop and Livingstone's beachfront provide the ideal setting for festival-goers to enjoy open-air jazz concerts, while 236 Hurumzi Hotel, A Novel Idea bookstore and Maru Maru's courtyard offer intimate settings for literary events. Dhow Countries Music Academy will once again kindly host to music workshops.
Whatever you choose to do this weekend, it has to be at Jahazi Literary & Jazz Festival!

Mzee wa Commercial at The Closing Ceremony of The U17 Afracan Pan-African Champions!

Famous African musician from DRC Papa Wemba, 2 Face Idibia from Nigeria, Tanzanian rapper Ambwene Yessaya ‘AY’ and Daddy Owen from Kenya are set to perform at the closing ceremony of the U17 African Pan-African champions – Airtel Rising Stars at the Nyayo National Stadium, Nairobi on Saturday.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhwxURYMm-vIE3gsHvQFKHguad2xgKWhrjkf9QL_W5aXX6SZtFc6rARAw8C66UwVFaDzRQx47QwjZZtTVyf8prskvqylEauQd9vAvxZHVkU3gUTDDIqZezbyGHpjTz9GBN0_CquxtbldfNo/s320/A.Ycrop
According to a statement released by the coordinators of the tournament, the musicians will start perfo
rming at noon whereby each artist will perform most preferred songs like..

TUTAENDELEA KUSAFIRISHA MCHANGA WA DHAHABU NNJE YA NCHI

Profesa Sospeter Muhongo WAZIRI wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, amesema Serikali itaendelea kusafirisha mchanga ya madini nje ya nchi ili ukafanyiwe uchunguzi kutokana na ukosefu wa maabara zenye uwezo wa kubaini aina mbalimbali za madini nchini.
 
Alisema kusafirishwa kwa mchanga huo, si wizi bali hali hiyo inachangiwa na ukosefu wa vifaa vya kisasa vyenye uwezo wa kuchambua aina tofauti za madini.
Prof. Muhongo aliyasema hayo juzi wakati akihitimisha ziara yake katika Wilaya ya Bunda, mkoani Mara waakati akijibu swali la mkazi wa Kijiji cha Mwibara, Bw. Qudra Maalim.
Bw. Maalim alitaka kujua sababu ya mchanga ya dhahabu kutoka migodi mbalimbali kusafirishwa kwa ndege kwenda nchi za nje ambapo Prof. Muhongo alisisitiza kuwa, si Tanzania pekee inayofanywa bali nchi nyingi zinasafirisha mchanga huo.
“Serikali itaendelea kusafirisha mchanga huu wakati ikiendelea kutafuta njia mbadala, katika migodi mingi ya dhahabu yapo madini mengine kama shaba, fedha na kopa.
“Madini haya unaweza kuyakuta katika michanga ya dhahabu na suluhisho pekee la kutopeleka michanga nje ni kujengwa maabara za kisasa zenye uwezo wa kufanya uchambuzi,” alisema.
Aliongeza kuwa, maabara zilizopo zina uwezo wa kubainisha dhahabu katika miamba ya madini kwa asilimilia 40 hivyo ili kufiki asilimia 100 ya uchambuzi huo, asilimia 60 ya michanga itokanayo na miamba hupelekwa nje kuchambuliwa kwenye maabara za kisasa.
Alizitaja baadhi ya nchi zenye maabara za kisasa kuwa ni Ujerumani na Marekani ambapo pamoja na kufanya kazi ya madini nchini, hajawahi kutumia maabara kuchunguza miamba ya madini kwa sababu uwezo wake ni mdogo.
“Niseme ukweli kwamba, mimi nilisoma katika nchi zenye maabara ya hali za juu kama Ujerumani, pamoja na kufanya shughuli za nishati na madini, sijawahi kutumia vipimo vya mahabara zilizopo nchini kwetu, huu ndio ukweli,” alisema Prof. Muhongo.