Pages

Forever Young

MRC ft Raila and Kibaki

Mambo Jambo Summer Jam

DarSlamMambo Jambo Summer Jam,Concert itayofanyika siku ya Iddi Mosi pale Sheikh Amri Abeid Stadium Arusha from Saa sita mchana hadi jioni na round hii A City is in tha houseeee!!! Bounako, StopaRhymez, Fidovato, WEUSI, TaigaRaiz, Badtaito, J4c, MayC, Veejay, Gfaya, Meccacheka, EffectZero, Gentriez, YungOmega na MirryCandle juu ya stage la kibabe, sound ya kibabe so kama vp jichange buku mbili siku iyo tewnde sawa kibabeeeeeee!!!!endelea kuskiza radio yako inayoaminika..93.0 Mambo Jambo Radio..

Cameroon Athletes,Boxing Team,Swimmer and A Footballer Go Missing -2012 London Olympic Games

Mr Ojong said in a message sent to the Ministry of Sports and Physical Education in Yaounde.“What began as rumour has finally turned out to be true. Seven Cameroonian athletes who participated at the 2012 London Olympic Games have disappeared from the Olympic Village,”
 Olympics
Seven athletes from Cameroon have gone missing from the athletes' village, officials have said.
 The five boxers, swimmer and a footballer have all disappeared from the athletes' village at the Olympic Park in Stratford, east London, David Ojong, the head of mission for Team Cameroon, told reporters.
 Olympics
The missing athletes include all five of the team's boxers - Thomas Essomba, who competed in the 49kg category, Christian Donfack Adjoufack in..

Mitabo ya Kutengenezea CD Feki

MSAMA PROMOTION yakamata mitambo na kazi feki za wasanii mjini dodoma.
DarSlam Productions
Mkurungezi wa kampuni ya MSAMA PROMOTION ,Bwa.Alex Msama pichani akifafanua jambo kwa Wanahabari (hawapo pichani),kuhusiana na tukio zima la kama kamata ya wezi wa kazi za wasanii iliofanyika mjini Dodoma.
DarSlam Productions
Mkurungezi wa kampuni ya MSAMA PROMOTION ,Bwa.Alex Msama pichani mwenye fulana ya mistari akiwaonesha waandishi wa habari (hawapo pichani) Cd za video na Audio Cd za Muziki wa aina mbalimbali pamoja na Kompyuta za kudurufu kazi za wasanii kwa njia ya wizi kwenye kituo kikuu cha Polisi mkoani Dodoma,mara baada ya kukamilisha zoezi la kusaka na kuwakamata wezi wa kazi za wasanii,ambapo jumla ya Cd na Computer zenye thamani ya shilingi milioni Sitini na saba zilikamatwa kwa msaada wa Jeshi la Polisi mkoani humo.(PICHA ZOTE NA DIRA MEDIA).

Wrong Spelling Signs Never Noticed

DarSlam Productions
Even School?
DarSlam Productions
Dont't drink and drive?
DarSlam Productions
Don't drink and drive!

DarSlam Productions
 No comment

Wanring. Warning

It should be "photostat" actually. 

DarSlam Productions
STOP
 DarSlam Productions

Changamoto ya Leo

DaSlam ProductionsDaSlam Productions

Olympic Weightlifter Matthias Steiner Drops 432pound Barbell on His Head

 DarSlam Productions
Olympic Weightlifter Drops 400 Pounds On His Head Defending weightlifting gold medalist Matthias Steiner walked away from a terrifying incident Tuesday when he dropped a barbell weighing 432 pounds on his neck during the Olympic 105+ kg competition.
DarSlam Productions
 The German was attempting to snatch 196 kg when his knees and arms buckled, causing the massive weight to fall on top of his head. Steiner collapsed under the barbell and instantaneously flopped while its mass bent his neck and head.
 DarSlam Productions
He was immediately tended to by medical officials and somehow got to his feet, saluted the crowd and walked off under his own power.
He didn't return to the competition. The Associated Press reports Steiner went to the hospital for precautionary X-rays.

Ujumbe Kutoka kwa Mdau

Inawezekana kwamba diamond ana hasira na babake lakini ukweli ni kwamba pengine anajua usichokijua ambacho mzazi wako wa kike anakifahamu endapo utamuuliza,lakini siku zote msamaha ni jambo muhimu hata mbele ya mwenyezi mungu,kurudia kosa ndio kosa,jihadhari asije akakulaani ikawa,,,,,,,,,,,,,,ALIE JUU MNGOJE CHINI. nina imani umenielewa,       Ujumbe huu watoka kwangu ZAITUNI AHMED  kutoka kenya-mombasani. ningependa kujua uamuzi wako kulingana na swala hili,,SAUM MAKBUL.

It's Him Again

                                     Baby Bean
 Baby Bean