Pages

Wearing Tight-fittin (Skinny Jeans) Clothing Over Prolonged Period of Time Can Lead to Urinary Tract Infections!

Jeans zinazobana maarufu kama Skinny Jeans zimetajwa kuwa sababu ya kuwafanya vijana wengi kupatwa na matatizo ya uzazi kwa sasa.
Dr. Hillary Jones ndiye aliyeelezea kwa kina matatizo hayo yanayowamaliza uzazi vijana wengi sasa wakati akizungumza na Mtandao wa Global Grid.
Dr. Hillary amesema Jeans hizo zinazobana zinasababisha matatizo ya Kende kupinda ambapo kitaalam ni Twisted Testcles), Bladder weakness na maambukizi kwenye njia ya mkojo yaani Urinary Tract infections.
Matatizo mengine aliyoyataja ni pamoja na Kupungua kwa Manii (low sperm count) na maambukizi ya fangasi ambayo yote husababishwa na Jeansi hizo ambazo ndo zinaonekana kama Fassion kwa sasa na kupata umaarufu wa Majina likiwemo la kitaani ambapo zinaitwa Minyonyo.
Haya ni baadhi ya Maneno kutoka kwa Dr. Hillary
“I have seen several cases of Men who have twisted their Testicles due to wearing jeans that are far too tight. My advice would be make sure you leave plenty of room around the groin area and that your pants and trousers feel confortable so you’re not being restricted  in any way. Wearing tight-fittin clothing over a prolonged period of time can lead to urinary tract infections leading to over-activity of the bladder-a type of Bladder weakness as well as low Sperm count and Fungal Infections. Please don’t put style before health.”
Wafuatao ni badhi ya wasanii wa East Africa Wanaova Jeans za Kubana. 
www.darslamproductions.blogspot.com
Barnaba Boy
www.darslamproductions.blogspot.com
Cpwaa
www.darslamproductions.blogspot.com
Diamond
www.darslamproductions.blogspot.com
Bob Junior..... "angalia ilivyombana





www.darslamproductions.blogspot.com
Tuff Dizzo..... "Kutoka Mombasa Kenya"
Kazi Kwenu Bongo Fleva

Unimaginable Amazing Buildings.

When architects are inspired can create buildings that resemble science fiction. Here we see some buildings that are manufactured or produced in the world.
www.darslamproductions.blogspot.com
www.darslamproductions.blogspot.com
www.darslamproductions.blogspot.com
www.darslamproductions.blogspot.com
www.darslamproductions.blogspot.com
www.darslamproductions.blogspot.com
www.darslamproductions.blogspot.com


www.darslamproductions.blogspot.com

Kazi Kwako!!

www.darslamproductions.blogspot.com

Woman Rolls down Escalator in Motorised Wheelchair.

Watch a video of a woman who has narrowly escaped serious injury after rolling down an escalator in her motorized wheelchair in Boston.

50 Cent On His Money,Drops Cash from Sixth Floor Balcony!

Watch how 50Cent play with money

World Record Money Seizure!!

http://www.narcoticnews.com/images/Efectivo-Mexico.jpgRecently DEA agents raided a home of Meth dealers in suburban Mexico and discovered $207 million cash piled in a back bedroom. It was the largest seizure in history and is really amazing to see.

Nipe Gunia la Mahindi Nikupe SMG - Tabora

www.darslamproductions.blobspot.com
WAKATI vitendo vya uhalifu vikizidi kuongezeka sehemu mbalimbali nchini, sasa silaha kutoka nchi jirani zinadaiwa kuingia kwa wingi na kuuzwa mitaani na baadhi yake kubadilishwa na mahindi, Mwananchi Jumapili limegundua.
Uchunguzi uliofanywa unaonyesha kuwa, kutokana na kushamiri kwa biashara hiyo ya silaha nchini, bunduki moja aina ya Short Machine Gun (SMG) sasa inauzwa kati ya Sh300,000 hadi..

Wachina Wamefumwa Wakichimba Madini Katavi National Park!

MKUU wa mkoa wa Katavi, Dr Rajabu Rutengwe amewataka wawekezaji wanaokwenda kuwekeza katika sekta ya madini katika mkoa wa Katavi wawasiliane na ofisi za serikali mkoani humo kabla ya kuingia katika mikataba ya uendeshaji wa shughuli za uzalishaji katika maeneo husika
www.darslamproductions.blobspot.com
Mwandishi wa habari hii kutoka Katavi Willy Sumia anaripoti kuwa wito huo umetolewa na mkuu kufuatia utapeli waliofanyiwa wawekezaji wa kutoka nchi ya China na kampuni yao ya Red Ore Mining Co. Ltd ya DSM na kupelekwa eneo la pori la akiba la Luafi mpakani na hifadhi ya Taifa ya Katavi kwa ajili ya kuendesha shughuli za uchimbaji wa madini ya chuma na shaba.
www.darslamproductions.blobspot.com
Taarifa zinasema kuwa kampuni hiyo yenye makao yake jijini DSM inayoendeshwa na Raia wa nchi ya China ilianza shughuli katika eneo hilo katika kipindi cha..

Msama on The Hunt For Fake CDs.

www.darslamproductions.blobspot.com
KAMPUNI ya Msama Promotions, imekamata watu watatu wakiwatuhumu kuuza kazi za wasanii kinyume na taratibu.
Akizungumza na Dira ya Mtanzania, Mkurugenzi wa Msama Promotions,  Alex  Msama (pichani),  alisema vijana hao walikamatwa katika eneo la Ubungo jijini Dar es Salaam.
Waliokamatwa katika tuklio hilo ni Malik Sultan, Ally Msangi, Edward Michael na  Sijali Andrew ambao walikuwa na CD feki 322 za wanamuziki mbalimbali na wasanii wengine.  
Msama alisema zoezi la kukamata wezi wa kazi za wasanii linaendelea kwa kufanya uchunguzi katika maeneo sugu ambako hatua inayofuata ni kwa wale wanauza kazi hizo mikononi.
Aidha Msama analishukuru  Jeshi la Polisi kwa ushirikiano wanaoendelea kuutoa kwa timu ya vijana wake wanaosaka wezi wa kazi za wasanii.