Stive Nyerere Amzawadia Mama Maria Nyerere Filamu ya Mwl. Nyerere
SabaSaba Imeanza Kupamba Moto,Furaha Kwa Vidokozi
Kijana
mmoja ambaye jina lake halikuweza kujulikana mara moja akiwa
amekamatwa na vijana wa skauti mara baada ya..
Mtanzania Akamatwa na Madawa ya Kulevya, Houston, Texas
Polisi wa uwanja wa ndege wa kimataifa wa George Bush, Houton, Texas
Vipipi vya madawa ya kulevya vyenye uzito wa karibu pound 5, vilivyokamatwa mwezi March, Dulles International Airport Virginia kutoka kwa mwanamke Mnigeria.
Hii ndio Houston Northwest Medical Center alipoletwa Bryan Mukama
Hans kumalizia kutoa vipipi 78 vingine vilivyokua vimebaki tumboni.
Bryan Mukama Hans, 30, Mtanzania aliyekua amekuja Marekani na VISA ya
kutembea kwenye Family Re-Union alijikuta kwenye wakati mgumu baada ya
kushikiliwa na Polisi wa Uwanja wandege wa kimataifa wa George Bush,
Houston, Texas baada ya kupatikana amemeza vipipi vya madaya ya kulevya
vifikavyo 100 vyenye uzito karibia pound 3.
Bryan Mukama Hans alikamatwa Mwezi uliopita baada ya..
Bryan Mukama Hans alikamatwa Mwezi uliopita baada ya..
Bolt can run 100m in 9.4 Seconds!
American great Michael Johnson believes Usain
Bolt can lower his 100m world record from 9.58 to 9.4 seconds and has
also suggested two years is not a long enough ban for drug cheats.
"If Usain was to be really focused and committed on
cleaning up his technique he could probably run 9.4 seconds but he would
have to do some major training and adjustments in the way that he
runs," Johnson said in an interview with Laureus.
"I think he can do whatever he wants to do. If he gets to the
starting line healthy, at his best, everyone else at their best, he wins
every time ... he's that good."Johnson, who holds the world and Olympic records over 400m, was impressed by Yohan Blake's two victories over Bolt in last weekend's Jamaican trials and believes the..
Subscribe to:
Posts (Atom)