Msanii Bob junior ambaye anajulikana zaidi kama Sharobaro president ama Rais wa wasafi jana usiku aliweza kukonga Nyoyo za mashabiki kwa shoo ya nguvu katika ukumbi disco wa club Billicanas.
Msanii huyo alipanda stejini majira ya saa tisa kasoro usiku na moja kwa moja alilishambulia jukwaa kwa mbwembwe za hali ya juu huku akiongozwa na madansa wake wasafi classic crew. Bob Junior aliimba nyimbo tatu ikiwemo nyimbo ya ‘Na nini’, ‘oyoyo’ na his latest Mega hit ‘Nichum’.
Wakati huhuo nilihisisi na kutabiri kama jamaa yuko tofauti na jamii kwa kupenda sifa za kijinga. Ndipo aliponithibitishia katika jambo moja tu ambalo lilikuwa linasubiriwa na
watu wengi na halikufanyika. Kutambulishwa kwa Yule kipenzi cha Bob Junior
ambaye kwa wiki nzima matangazo pamoja na Bob Junior mwenyewe alikuwa
akithibitisha kuwa atamtambulisha kwa..
