Find out more about his Projects with real stuff at hasansalaammusic.com
Baba Mzazi wa Lulu aelezea uhusiano wa Kanumba, aomba haki itendeke!
Baba mzazi wa Muigizaji wa kike wa filami nchini maarufu kama
Lulu, ambaye anahusishwa na kifo cha marehemu Steven Charles Kanumba,
ameibuka na kueleza kushtushwa sana na taarifa za kifo hicho pamoja
na habari kuwa bintiye alikuwa na mahusiano ya kimapenzi na muigizaji
huyo nguli na kuwa anahusika na kifo chake. Baba Lulu, ambaye
alijitambulisha kwa jina la Michael Edward Kimemeta(49) mzaliwa wa
Wilaya ya Rombo, Mkoani Kilimanjaro, kaiambia Globu ya Jamii leo huko
Moshi kuwa alimtambua Steven Kanumba kama mwalimu wa mtoto wake
Lulu,lakini hakuamini masikio yake baada ya kupata taarifa za kifo
hicho, huku bintiye, anayedaiwa alikuwa na mahusiano ya kimapenzi na
marehemu, anahusika.Lulu alifikishwa mahakamani
jana April 11, 2012 akikabiriwa na mashtaka ya mauaji ya Marehemu
Steven Kanumba, ikiwa ni siku nne baada ya kifo cha msanii huyo.
Alisema kuwa Elizabeth ama Lulu alizaliwa tarehe April 17,1995 katika
hospitali ya..
Another part of Tanzania and Uganda History!
Pata fursa ya kushuhudia mfululizo wa videos zinazokuonyesha matukio yaliyo tokea katika VITA VYA KAGERA (KAGERA WAR) Iddi Amin v/s Julius Nyerere!! shocking images..!
Kama hukuwepo enzi hizoo niwakati wako kushuhudia na sio kusimuliwa tu, ili kuendalea na matukio yaliyofatia bofya hapo chini neno Read more..!
R.I.P Steven Kanumba
Taarifa zilizothibitishwa na mmoja wa ndugu za Marehemu, zinasema kuwa Marehemu Steven Kanumba alifariki majira ya saa nane usiku, muda mfupi baada ya kutokea mzozo kati yake yake na rafiki yake wa kike ambaye ni msanii mwenzake wa filamu.
Taarifa zinasema marehemu alisukumwa na kuanguka na kugonga kichwa chini upande wa Nyuma na kusababisha kifo chake.Polisi mkoani Dar es Salaam imethibitisha kuwa
inamshikilia kwa mahojiano msanii huyo wa kike kutokana na kuhusika na
kifo cha Kanumba,
AFANDE SELE AFUNGUKA KUHUSIANA NA KUKAMATWA KWAKE NA POLICE,KUTUPWA SELO!! a.k.a BABA TUNDA!
Ndugu zangu ambao ni mashabiki wangu!!
Juzi wakati nimerejea kutoka Tanga, majira ya jioni ndugu zangu Ballet Wallet(mtupori) , Adam Lumbe na Twenty Percent (20%) walitoka na gari yangu, kwa bahati nzuri au mbaya wakapita maeneo ya NMB hapa Morogoro, wakapaki gari kwa haraka kwa kuwa Adam Lumbe alimuona kijana ambae alimtapeli katika mauziano ya pikipiki,
Juzi wakati nimerejea kutoka Tanga, majira ya jioni ndugu zangu Ballet Wallet(mtupori) , Adam Lumbe na Twenty Percent (20%) walitoka na gari yangu, kwa bahati nzuri au mbaya wakapita maeneo ya NMB hapa Morogoro, wakapaki gari kwa haraka kwa kuwa Adam Lumbe alimuona kijana ambae alimtapeli katika mauziano ya pikipiki,
likatokea zogo!! Polisi waliokuwa Lindo pale Bank wakaja kuizuia gari na pia wakawaweka chini ya Ulinzi Ballet Wallet na Adam Lumbe, licha ya maelezo waliyowapa hawakuwaelewa
Unadhani Dully Sykes amekua..? au bado yaleyale..!
Tokea enzi zile za Lang'ata FM Club na Talent show hadi deiwaka! show love!
Subscribe to:
Posts (Atom)