Pages

Habari za Tanzania kwa Kina Toka TBC

Waziri Mkuu Mizengo Pinda na changia kanisa. Ulinzi wa vyanzo vya maji wasisitizwa kuwa mikononi mwa wakazi wenyewe

Raia wa Ugiriki Akamatwa na Polisi Zanzibar Akisafirisha Dawa za Kulevya (Video)

Jeshi la polisi Zanzibar limefanikiwa kumkamata raia wa Kigiriki akijaribu kusafirisha madawa ya kulevya yenje thamani ya zaidi ya Shilingi milioni 200.

Say Goodbye to Texting While Driving

The ORIGOSafe™ protects your kids from texting while driving.

Chindo feat Banx & DX Noiz - AFRIKA (Audio)

PRESS PL@Y: Episode #1 (Follow @PLaY_UG) (Video)

PRESS PL@Y is a Web-series based around the day-to-day experiences of Michael "PL@Y" Matovu, as an Artist/Producer/Entrepreneur and most importantly as a person. Courtesy of PLAYTHAMUSIC and MEDIA 256, we bring you an intimate and hopefully inspiring experience. Get ready to see the best of PL@Y, both old and new.

Kitabu Kimoja (Video)

Benki ya PBZ Ltd Imeongeza Huduma kwa Watanzania wa Diaspora

PBZ Ltd 
The PBZ Managing Director, Mr Juma Amour Mohamed
Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ Ltd) ambayo ni benki pekee yenye makao makuu yake Zanzibar na ambayo inamilikiwa mia kwa mia na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imekuja na huduma mpya yenye kuwawezesha Watanzania wanaoishi nje kuleta pesa nyumbani Tanzania kwa bei nafuu kuliko wanavyolipia hivi sasa kupitia kampuni za nje za kigeni za kutuma pesa.
Katika waraka ambao blog la Zanzibar Ni Kwetu wameuona, benki hio inawataarifu wana-jumuia wa Diaspora ya Watanzania huko Canada juu ya huduma hio na wanawataka wawajulishe Watanzania wengine wote wanaoishi nje, ili na wao wapate kufaidika.
Katika kufanikisha huduma hii Benki ya Watu wa Zanzibar inashirikiana na kampuni moja maarufu kutoka Uingereza inayoitwa World Remit ambayo Benki ya Dunia inadai kuwa bei zake za kutuma pesa kutoka nchi moja kuenda nyengine zipo chini.
Kwenye waraka huo Benki ya Watu wa Zanzibar inamuandikia rasmi Communication Director wa Zanzibar-Canadian Diaspora Agency (ZACADIA) Bw. H.S. Othman wa Toronto, Canada, kuwa,..

Kala Jeremiah ft. Ben Pol - Karibu Dar {Official Video}

CAR FOR SALE!!!

Sale,Used Car
DETAILS
Year: 2003 (Imported this January, 2013), Mileage: Almost 52,000 km, Displacement (CC) 1,790 with VVT-i Engine, Body Type: Station Wagon, Color: Metallic Grey, Fuel: Gasoil/ Petrol, Gear box type: Automatic, Sitting capacity: 7, Motor vehicle license and Insurance validity: Expires January 2014, Other details: All duties paid, Good tires, New Break Pads, No mechanical problems, Serviced upon arrival, In very good shape and condition: Reason for Sale: Bought for a wife who wants 4x4. Needs 15 milion. (Tshilngs)
darslam@rocketmail.com
Sale,Used Car
Click read more for more pictures..

Mtuhumiwa Alierekodi Video ya Rwakatare Ataonja Joto la Jiwe?!!

MAGID MJENGWA
Anayedaiwa kupiga video iliyosababisha kukamatwa kwa Rwakatale pichani Ludovik Joseph anadaiwa kukamatwa mkoani Iringa kijana huyo anadaiwa ni mhitimu wa chuo kikuu
Ndugu zangu,
Usiku huu nikiwa kwenye shughuli ya shule ya watoto wangu pale Highlands Hall Iringa nilifikiwa na habari kuwa Kijana Ludovick amekamatwa na polisi kuhusiana na tuhuma za kuhusika na kuteswa mwandishi Absalom Kibanda.

Namfahamu kijana Ludovik tangu akiwa Chuo Kikuu ( DUCE). Ni mmoja wa Watanzania wengi walionifahamu kupitia kazi zangu za magazetini.
Kwangu Ludovick ni kijana mtaratibu na mpole sana, na hata niliposikia habari hizi kwa namna fulani nimeshtushwa nazo.
Ludovick ambaye amekuwa akiishi Dar ni mmoja wa vijana waliokuwa wakinisaidia kwa ...