Pages

Wiz Khalifa is a Proud Father!!! Fatherhood Official

Hatimaye rapper Wiz Khalifa na mchumba wake Amber Rose wamekuwa wazazi rasmi kwa kupata mtoto wa kiume waliyemuita Sebastian Taylor Thomaz.
Wiz Khalifa ambaye jina lake ni Cameron Jibril Thomaz alitangaza habari hiyo kupitia Twitter baada ya – Amber Rose kujifungua mtoto wao wa kwanza.


 Snoop alitupia picha akiwa na Wiz Khalifa, ikiwa na caption ya kuwapongeza Wiz na Amber Rose kwa kupata mtoto wao huyo...

Ja Rule Realesed from Prison

Ja Rule
Rapper Ja Rule was released from prison today, but he’s not exactly a free man.MyFox NY reports that “Ja Rule left an upstate New York prison Thursday morning after serving most of his two-year sentence for illegal gun possession and headed straight into federal custody in a tax case.
When the prison gates clanged shut behind him after serving a two-year sentence for illegal gun possession, U.S. Marshals were waiting to escort Ja Rule to his next destination.
The “Put It On Me” rapper reported to prison in June 2011.

Angalia Suma Lee Afunguka Kuhusu Maisha Yake; Exclusive Interview With Sporah

Pcha za Harusi ya JCB na Diana Jorgensen

JCB na Diana Jorgensen
JCB afunga ndoa na girlfriend wake wa kitambo,Diana
Jorgensen ambae kwa sasa wanamtoto mmoja pamoja, huko jijini Arusha
JCB na Diana Jorgensen
Bofya read more kwa picha zaidi...

London Fashion Week, Tanzania 1O Bora


London Fashion Week,





Nje ya Jumba la Somerset- Samson Soboye (Mpangaji wa maonyesho), Jacqueline Kibacha ("Heart 365"), Mama Balozi Joyce Kallaghe, Anna Lukindo ("Anna Luks") na Rose Kiondo (Mratibu wa maonyesho) London Fashion Week,
Wanamitindo wa Kitanzania kwenye London Fashion Week 2013. Anna Lukindo, Christine Mhando, Jacquiline Kibacha-pic by Urban Pulse" Jumapili mchana wilaya ya Westminster jijini London ilikuwa na mashindano ya ubunifu na urembo katika maonyesho ya kimataifa ya London Fashion Week. Mashindano haya yalifanyika jumba la Somerset lililosimama imara kwenye upembe wa kaskazi ya mto Thames. toka tarehe 14 hadi tarehe 28. Wiki hizi mbili nzima zitakutanisha kila mtu anaye husika na biashara ya mavazi na urembo. Magwiji na mapapa wa mitindo, wabunifu, walimbwende, watafuta vipaji, wafanya biashara, wazalishaji mali ghafi na wamiliki viwanda. Wote hukutana katika maonyesho haya. Hapa si vipaji tu vinavyojionyesha, bali pia watu wa biashara. Siku hii Tanzania ilikuwa moja ya nchi mbili tu za Kiafrika zilizochaguliwa na British Council na "London Fashion Week" kushiriki mashindano ya kutafuta vipaji chipukizi kwenye tasnia ya ubunifu wa mavazi na urembo. Watanzania Anna Lukindo, Jacqueline Kibacha na Christine Mhando ndio wasanii waliobeba bendera ya taifa letu na kutuwakilisha katika mashindano haya ya kimataifa yanayofanyika kila mwaka kwa zaidi ya miaka 2

Kama Unataarifa za Uhalifu, Hii Ndio Email ya Kamanda Kova

Suleiman Kova
KAMANDA wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam Suleiman Kova ametoa anwani yake ya barua pepe kwa ajili ya Watanzania waliopo ndani na nje ya nchi kusaidia kutoa taarifa za siri za kufanikisha kukamata wahalifu.

Anwani hiyo ni: kova. suleiman@yahoo.com
Kova ametaka kuwasilishiwa kwa taarifa mbalimbali juu ya vitendo vya uhalifu kupitia anuani hiyo ili kukabiliana na hujuma na tishio la usalama wa viongozi wa dini au siasa.
Alisema kutokana na vitisho dhidi ya viongozi wa dini, kushambuliwa na kuuawa Polisi imeweka mtandao utakaoshirikiana kwa karibu na viongozi wa ngazi mbalimbali ili kuhakikisha kwamba maisha, mali pamoja na taasisi zao zinakuwa katika hali ya usalama.
Chanzo: wavuti

Sports Pictures Taken ON the Right Moment

Scam Series #11

Scam
Dear,
I'm contacting you in emergency for an investment proposal.
We have a sum of US$ 90 millions that we have to invest very quickly.
If you have a good project and if you can receive the funds in your country to invest
it
in your country, that would be perfect.
In this case, you will have 20% benefit from the total amount for your hekp.
After removing our part too, we will invest the remaining as a loan during 5 years
without any interest.
I can ensure you that this is a legal transaction, the money is clean and the business
is
risk free.
The person I'm looking for must be a
responsible and reliable one in order to conduct this
transaction as soon as possible.
Send me your name, address and telephone number, I
will call to introduce you the owner of the
funds, then we will sign a contract and start
the transfer and investment quickly.
I want a quick answer because the owner of
Funds want to conclude this matter as soon as possible.
May God bless you and your family
Mohamed Omar                                              - Scam -

Siri ya Mtungi Sehemu ya 5

Maisha yanazidi kumwendea ovyo Cheche pale anapoahidi kuwa mume mwema kwa kumsindikiza Cheusi kwenye kliniki ya uzazi. Wajibu wake kwa familia unaingia dosari hasa pale shangingi Lulu anapofika studio akitegemea zaidi toka kwa mpiga picha wake binafsi.
Stephen anakuwa hashikiki tena pale anaporudi na msichana kwenye banda la kaka yake, Duma.
Posa ya ndoa ya Mzee Kizito kwa Nusura ni ya dhati. Lakini

Daredevil Chicherit's Full MINI Backflip

Guerlain Chicherit makes a bold and complete John Cooper Works leap of faith, this time in the frigid snowscape of Tignes, France.