Pages

Kad-Go Bonus

Usiku wa X-Mass Dar Live ktk Picha

X-Mass Dar Live
Wasanii mahiri wa muziki wa kizazi kipya nchini Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na Omary Nyembo ‘Ommy Dimpoz’ usiku wa kuamkia leo wameweka historia kwa kufanya shoo ya aina yake ndani ya ukumbi wa kisasa wa Dar Live uliopo Mbagala Zakhem jijini Dar es Salaam. Wasanii hao walisindikizwa na mkali Juma Nature na kundi lake la Wanaume Halisi, Msanii mkongwe Ally Baucha pamoja na Bendi ya Extra Bongo. Shoo hii imeletwa kwenu kwa hisani
X-Mass Dar Live
X-Mass Dar Live
Watu weweee: Kila mmoja akiwa na shauku ya ...

Scam Series#1

Scam
Hello Dear,
Please permit me to introduce myself, my name is Maureen Kipkalya Kones, 24yrs old female (single) and i'm from Kenya in East Africa. I appeal to you to exercise a little patience and read through my letter because i feel quite safe dealing with you in person, for that, I'm writing this mail to you with due respect, trust and humanity and with pains, tears and sorrow from my heart, strongly believing in Al-Mighty God/Allah that you will consider my letter and help me and also benefit from me. Although, we have neither met in person nor by communication. But i believe, it is one day you get to know someone, either by physical or through correspondence. Honestly, i wish to contact you personally for a long term business relationship and investment assistance in your country.

My Father (Hon. Kipkalya Kones) was the former Kenyan road Minister. He and the assistant minister of home affairs (Mr.Lorna Laboso) were on board when the plane crashed on ..

Let me be the one - Documentary

Rihanna Donates Million Dollars in Honour of her Grandmother!!

Elizabeth Hospital in Bridgetown, Barbados,
Rihanna poses with her mother Monica Fenty and grandfather Lionel Braithwaite on a visit to the Queen Elizabeth Hospital in Bridgetown, Barbados, to which she has donated $1.75m

Elizabeth Hospital in Bridgetown, Barbados,
Benefactor! Rihanna poses with her ...

Diamond - Nataka Kulewa Remix

Julio - Cheers

Q Chief - Butterfly

Q Chief

Young Killer ft Belle 9 - Dear Gambe

Young Killer ft Belle 9

JWTZ Linamsaka Askari Aliyepiga Picha na CHADEMA

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania limeshitushwa na kusikitishwa kuona taarifa ya mtu aliyejitambulisha kuwa askari wa JWTZ wa Kambi ya Monduli, Arusha, iliyochapishwa katika gazeti la Mwananchi la Desemba 24, 2012 akiwa amevaa sare za JWTZ.
Baada ya kuona habari hii JWTZ linafanya uchunguzi wa kina ili kutambua kama mtu huyo ni askari wa kweli au la.
Kimsingi, JWTZ linafanya uchunguzi wa kumtambua mtu huyo kama kweli ni askari wake kwa sababu zifuatazo; kwanza Jina la mtu huyo halijaandikwa, pili kikosi halisi cha mtu huyo hakijaandikwa kwani eneo la Monduli lina vikosi vingi na hakuna kikosi kiitwacho Monduli.
Lakini pia inatia shaka kuwa mavazi yale siyo yale yanayotumika kwa wanajeshi wa JWTZ hivi sasa, kuna tofauti kati ya jampa (jacket) na suruali kama ilivyooneshwa katika picha hiyo.

Aidha, jampa la sare hiyo pia lina tofauti katika sehemu za mikono, jambo ambalo linatia shaka kama ni sare halisi ya JWTZ. Ilikuwa rahisi kumtambua mtu huyo kwa kuangalia uso, lakini mtu huyo anayedaiwa kuwa ni askari alifunika paji la uso ili asitambulike.
Pamoja na hali hiyo ilivyojitokeza, JWTZ linashughulika kumtambua mtu huyo kwa kutumia mbinu mbalimbali.
JWTZ litakapobaini ukweli huo, hatua za kinidhamu zitachukuliwa kutokana na Kanuni za Majeshi ya Ulinzi kwani, Sheria nambari nne (4) ya mabadiliko ya nane (8) katika Katiba ya Nchi ya mwaka 1992 ibara ya 147(3), mwanajeshi yeyote hatakiwi kujihusisha katika masuala ya kisiasa.
Kama ilivyoelezwa hapo juu, Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania limesikitishwa kuchapishwa kwa picha hiyo kwani hakuna tija wala faida kwa wananchi wa Tanzania zaidi ya kuwatia hofu kuwa Vyombo vya Ulinzi navyo vinashabikia mambo ya siasa, wakati Katiba ya nchi imekataza jambo hilo.
JWTZ linawaomba wananchi waliangalie jambo hili kwa makini, kwa usalama wa nchi yetu.