Pages

Love Chocolate?

DarSlam 
 Check out these 5 pics..
DarSlam
DarSlamDarSlam
DarSlam
DarSlam

Nafasi Ya Kazi

Ninahitaji msaada wa kuwaanda wafanyabishara wadogo wadogo  katika mahojiano (research interviews). Yafuatayo ni maelezo ya ziada juu ya msaada huu:
·         Muhusika atakuwa anajishughulisha na kuwapigia simu washiriki (participants) na pia kupanga ratiba ya mahojiano.
·         Kazi hii inaweza kufanyikia nyumbani.

·         Itahusisha wahusika toka katika wilaya zote za mkoa wa Dar es Salaam (yaani; Ilala, Kinondoni, na Temeke).

·         Mahojiano haya yanatarajiwa kuwa ya mwezi moja kuanzaia wiki lijalo.

·         Malipo ni maelewano.

·         Utafiti huu ni wa kiwango cha PhD.

·         Washiriki ni wamiliki au mmaafisa wa biashara ndogo ndogo na za kati (owners of small and medium-size enterprises).

Sifa za muombaji

·         Muombaji awe na elimu ya kidato cha nne au zaidi.

·         Awe anaelewa maeneo mbalimbali ya jiji la DSM kwaajili ya kupanga mahali pa kufanyia mahojiano.

·         Awe na uwezo wa kuandika na kuonge lugha ya kiingereza kama itahitajika.

·         Awe na uwezo wa kufanya kazi bila ya kusimamiwa (being able to work independently).

·         Awe na uwezo mkubwa wa kuwashawishi washiriki (convincing power).

Kama unaona unazo sifa na uwezo wa kazi hii, basi wasiliana nami kwa kutumia email ifuatayo: johnson@eabazaar.com

Sincere,
Johnson

Anaomba Msaada Akatibiwe Muhimbili

DarSlam
Bi. Arafa Issa Namaji (Pichani) mwenye umri wa miaka 39 mkazi wa kijiji cha Narung’ombe wilayani Ruangwa Mkoani Lindi anaomba msaada wa haraka utakaomuwezesha kupata matibabu ya uvimbe ulio katika paji la uso.
Tatizo lilianza tangu February 2012, alianza kwa kuumwa na kichwa kwa maumivu makali sana na kipele kidogo kikatokea kwenye paji la uso, hivyo kadri kilipopungua maumivu ndipo kipele kiliendelea kuwa kikubwa hadi kuathiri macho na sehemu ya pua.
Baada ya kuona hali inazidi kuwa mbaya majirani na marafiki walimshauri kwenda hospitali ya wilaya, alipofika daktari alimpa rufaa ya kwenda hospitali ya Ndanda, hata hivyo Ndanda pia wakampa rufaa kwenda Hospitali ya Taifa Muhimbili, Dar es Salaam.
Kutokana na kuwa katika hali duni na hana mtu yeyote wa kumsaidia Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa wameichangishana kupata nauli pamoja na hela kidogo ya kujikimu kwa siku mbili, lakini bado anahitaji msaada zaidi wa pesa kwa sababu atahitaji kuishi zaidi Dar es Salaam, wakati akiwa katika hospital ya Muhimbili kwa ajili ya uchunguzi pamoja na matibabu yake.
Kwa aliye tayari kumsaidia anaweza kuwasiliana na Mwenyekiti wa Klabu ya Waandishi wa Habari mkoa wa Lindi ambae pia ni mwakilishi wa Channel Ten, Abdulaziz Ahmeid kwa namba za simu 0787176221 au 0756696048

Jonii wa XXL

DarSlam
Msikilize Jonii na makeke yake hadi wizarani..

Rose Muhando Awatapeli Kakonko,Kigoma

DarSlam

Jamani Inasikitisha!! Rose Muhando kwa mara nyingine tena KUWADANGANYA WANA-KAKONKO na majirani kuwa anakuja kwenye uzinduzi halafu hafiki kweli huo ni ukristo? haoni kama ni usumbufu kwa kuwahapotezea pesa bila sababu kwakuwa walio wengi hutokea mbali? mi staki kuhukumu wapendwa lkn hata leo hajafika KAKONKO tena mara kadhaa kapigiwa simu bila kupokelewa. Haya jamani labda ni mapenzi Yake Mola
                   Wadau kutoka facebook
Mwili NyumbaKakonko 4 Life
ROSE MUHANDO ACHUKUA MILION TATU SOKO LIMEFUNGWA WATU WAMELIPIA TIKETI WA2 WAMEACHA KAZI ZAO HALAFU HAJATOKEA JAMANI HUU SIO WIZI?
Like · · about an hour ago ·

Wakazi - Abacus

DarSlam
 New Single from Wakazi latest EP titled Abacus. Produced by Bano Stylez. Video was Shot by MannyReel (Creatv Media) and Edited by Hefemistudios (Hefemi Productions) Check ot Official Video HD..

Ay ft Sauti Sol - I Dont Wanna be Alone

DarSlam
Official Video HD...

Juma Nature ft Baby Madaha - Narudi Kijijini

DarSlam
Bongo RecordsShow Bizdefined
Dir:Mike Tee
Show Biz Defined Video..

Tuzo za Channel O

DarSlam

Most Gifted African South Video of the Year
           -Cashtime Fam – Shut it down (Stundee)
Most Gifted Group or Featuring of the year
           -Psquare ft. May D & Akon – Chop My Money
Most Gifted Reggae Dance/Hall
           -Buffalo Souljah ft Cabo Snoop – Styra Inonyengesa
Most Gifted African East
          -AY feat Sauti Soul – I Don’t Want to Be Alone
Most Gifted kwaito
           -Ees feat Mandoza – Ayoba
Most Gifted African West Music video
           -D-Black ft Mo’Cheddah – Falling
Most Gifted R&B Music Video of the year
           -Flavour ft. Tiwa Savage – Oyi [Remix]
Most Gifted AfroPop
           -BrymO – ARA
Most Gifted Hip Hop Video of the Year
           -Ice Prince Zamani- Superstar
Most Gifted Dance Music Video of the Year
           -DJ Cleo – Facebook
Most Gifted New Comer of the Year
           -Davido – Dami duro
Most Gifted Female Video of the Year
           -Zahara – Loliwe
Most Gifted Male Video of the Year
           -D’Banj – Oliver Twist

Kutana na Bob Kinyozi

DarSlam 
Ni kinyozi pekee anaetumia kisu kama zana ya kunyolea!