Makamu wa rais dakta Mohammed Gharib Bilal ameongoza mamia wa Watanzania kuuaga mwili wa mtangazaji mkongwe Julius Nyaisanga katika viwanja vya Leaders club jijini Dar es Salaam.
Jicho Pevu: Zilizala La Westgate na Mohammed Ali..!
Hayawi hayawi.. hatimaye yamekuwa, zimekuwa siku nyingi za kubashiri, na siku nyingi za kunongonezana kuhusu kilichojiri wakati taifa lilitekwa nyara na magaidi kwa siku nne mtawalia. Wakenya zaidi ya sitini walipoteza maisha yao katika jumba la Westgate lakini hadi sasa Wakenya hawajajua ukweli kuhusu yaliyojiri katika jumba la Westgate. Je ni kweli kuna waliokuwa wametekwa nyara na magaidi na kuzuiliwa katika jumba hilo? Je ni kweli kuna magaidi waliouawa na wanajeshi? Meza ya upekuzi ya Jicho Pevu na Inside Story usiku na mchana wamekuwa wakidurusu kila ukurasa na, kufanya mahojiano na kupitia hatua kwa hatua video za cctv kutoka jumba la Westgate na sasa wako tayari kukusimulia kilichojiri bila kuficha lolote. Meza hii ilifanikiwa picha za pekee kuhusu matukio ya Westgate. Usiambiwe tena tizama makala haya yatakayokujia katika muda usiokuwa mrefu ukiwanaye mwanahabari mpekuzi Mohammed Ali.
Jay Z Explains Start of Roc A Fella (Throwback)
Back in the day, Jay Z sat down with Rugged Entertainment filmmaker Peter Spirer, where he spoke about how he started Roc-A-Fella Records with Dame Dash. They both explain the motivation behind starting the label and the foundation they built into the company.
Documentari ya #Wilfred Moshi na Mlima Everest {Sehemu ya 1 na 2}
Wilfred Moshi na Mlima Everest ni Documentari inayozungumzia safari ya kusisimua na kutisha ya Kijana shujaa wa Kitanzania anayefanya kazi ya upagazi kwa kuwahudumia watalii wanaopanda mlima Kilimanjaro nchini. Wilfred alieweka maisha yake rehani kwa ajili kuweka rekodi mpya ya kuwa Mtanzania wa kwanza kupanda Mlima Everest ambao ni mlima mrefu kuliko yote duniani na kuiletea Tanzania sifa kubwa Kimataifa.
Sehemu ya pili ya "Wilfred Moshi na Mlima Everest" inaendelea kueleza kisa cha kusisimua na kutisha cha kijana aliyekuwa Mwafrika wa tatu na Mtanzania wa kwanza kupanda mlima mrefu kuliko yote duniani.
Je ilikuwaje? Nini hasa maana ya safari hii iliyotupa sifa Watanzania duniani? Je ushujaa wake Wilfred Moshi unahusu nini hasa?
Urban Pulse Creative Media, Freddy Macha wakishirikiana na Ubalozi wetu Uingereza wanakuletea habari hii ya kusisimua kwa majuma matano mfufulizo ili tuone na kujifunza kutokana safari yake ya hatari.
Sehemu ya pili ya "Wilfred Moshi na Mlima Everest" inaendelea kueleza kisa cha kusisimua na kutisha cha kijana aliyekuwa Mwafrika wa tatu na Mtanzania wa kwanza kupanda mlima mrefu kuliko yote duniani.
Je ilikuwaje? Nini hasa maana ya safari hii iliyotupa sifa Watanzania duniani? Je ushujaa wake Wilfred Moshi unahusu nini hasa?
Urban Pulse Creative Media, Freddy Macha wakishirikiana na Ubalozi wetu Uingereza wanakuletea habari hii ya kusisimua kwa majuma matano mfufulizo ili tuone na kujifunza kutokana safari yake ya hatari.
DMX - The Great Depression [FULL ALBUM]
The Great Depression is the fourth solo studio album released by American rapper DMX. Released October 23, 2001, it was DMX's fourth consecutive album to debut at number one on the Billboard 200 chart. 439,000 copies were sold within the first week of the album's release,[citation needed] and it was certified Platinum in December of that year. The album demonstrated his continually strong allegiance with the Ruff Ryders with singles such as "Who We Be" and "We Right Here". Despite eventually selling nearly three million copies worldwide, The Great Depression lacked the staying power of his previous releases.[citation needed] It was credited by critics as the most mediocre release in DMX's catalogue.
Subscribe to:
Posts (Atom)