Kala Jeremiah, Roma, Fid Q na Izzo Bizness Wanapoijadili Siasa..!
Ni mara chache kujua wasanii wana msimamo gani linapokuja suala la muziki na siasa. Wakiwa Kigoma katika Kili Music Tour, wakali wa Hip Hop Kala Jeremiah, Roma, Fid Q na Izzo Bizness walipata nafasi ya kujadili wanavyoichukulia siasa na muziki wa Hip Hop hasa tofauti ya mwanaharakati na mwanasiasa.
CNN has Obtained Videos from Inside the Westgate Mall
Footage obtained exclusively by CNN show the moment attackers entered the Westgate mall in Nairobi. Nima Elbagir reports.
Subscribe to:
Posts (Atom)