Bongo 5
PICHA ZA RAIS KIKWETE ALIPOKUTANA NA KAGAME KAMPALA LEO

Rais Jakaya Kikwete leo amefanya mazungumzo na Rais Paul Kagame wa Rwanda katika mkutano wa saba wa kimataifa wa nchi za maziwa makuu, unaofanyika Kampala, Uganda.
Haijafahamika mara moja walichozungumza, hizi ni picha za mkutano wao.

Marais hao wamekutana wakati ambapo uhusiano kati ya nchi hizo mbili unaendelea kuzorota.
Haijafahamika mara moja walichozungumza, hizi ni picha za mkutano wao.
Marais hao wamekutana wakati ambapo uhusiano kati ya nchi hizo mbili unaendelea kuzorota.
How 12 of The World’s Biggest Websites Looked Like at the Beginning
Even the greatest among us had humble beginnings. This is just as true for websites, however, as it is for people.
Google.com (1998)
Even online giants like Amazon, YouTube, Facebook and Twitter were once itty-bitty websites with monochrome homepages, poorly-thought-out logos and boring or stark turn-of-the-century designs.
Facebook.com (2004)
Youtube.com (2005)

Yahoo.com (1995)
Twitter.com (2006)

Amazon.com (1995)
Wikipedia.org (2001)
MySpace.com (2003)
Apple.com (1996) 
Microsoft.com
Even online giants like Amazon, YouTube, Facebook and Twitter were once itty-bitty websites with monochrome homepages, poorly-thought-out logos and boring or stark turn-of-the-century designs.
Yahoo.com (1995)
Amazon.com (1995)
FACEBOOK YAJIPANGA KUWASAIDIA WATU MASIKINI WASIO MUDU GHARAMA ZA INTERNET
Mpango wa kuhakikisha internet inawafikia watu wengine bilioni 5 waliosalia duniani umeanzishwa na mwanzilishi wa Facebook , Mark Zuckerberg.Mtandao huo wa kijamii umeungana na makampuni ya Ericsson, MediaTek, Nokia, Opera, Qualcomm na Samsung, na mengine kupunguza gharama za data.
Kundi hilo limesema linataka watu kwenye nchi zinazoendelea wawe sehemu ya jumuiya ya internet. Zuckerberg alisema lengo ni kuwafikishia internet watu ambao hawawezi kumudu gharama za internet.
Mpaka sasa ni watu bilioni 2.7 tu ndo wenye uwezo wa kupata internet ambayo ni sawa na theluthi ya idadi ya watu duniani.
Correspondents Wanted..!!
Job Ref: HR-CORR-08-2013
Young, Know the ‘Hood’ and Want to Write?
You could be just the person we are looking for Nairobi’s newest, newsiest and most exciting newspaper is looking for correspondents to cover their own neighbourhood.
Apart from reporting for the paper, you should be able to:
Take still pictures
Shoot short videos
Report breaking stories via SMS, Whatsapp or any other digital means
And, if you have the talent and can prove it, we’re happy to enlist you as our correspondent
Interested and itching to start?
Send your CV and application to http://careers.nationmedia.com before 2nd September, 2013 with details of your education, your career to date, why you think this is just the job for you and which neighbourhood you will be covering.

Mwanamke Wa Miaka 64 Amevunja Rekodi Kwa Kuogelea Kutoka Cuba Mpaka Florida, Amefanikiwa Kutumia Masaa 52 Baada ya Kujaribu Mara 35

Mwogeleaji mwenye umri wa miaka 64 kutoka Marekani, Diana Nyad ameweka rekodi mpya ya dunia katika kuogelea baada ya kufanikiwa kuogelea kutoka Havanna Cuba mpaka huko Florida Marekani.
Ikiwa hii ni mara ya 35 mfululizo kufanya jaribio kama hili na kwa jumla ya hesabu, ameweza kukaa ndani ya bahari kwa masaa 52, dakika 54, na sekunde 18.6, na aliweza kutoka mwenyewe mpaka beach kabla ya kuishiwa nguvu kabisa.
Safari ya mwanamama huyu imekuwa na umbali wa jumla ya maili 110 sawa na kilometa 180.Safari zote ambazo mwanamama huyu amekuwa akijaribu kuvuka bahari amekuwa akipata changamoto kama vile kushambuliwa na samaki wakali wa baharini na mambo mengi ya kufanana na hayo lakini hakukata tamaa kujaribu tena na tena na safari hii amefanikiwa bila kutumia vifaa vya kujikinga.
Mwanamama huyu amesema kuwa amejifunza kuwa katika safari ka kufuatilia kutimiza ndoto zako, usikate tamaa hata siku moja, na hakuna swala la kizuizi cha umri katika kufuatilia ndoto zako.
Subscribe to:
Comments (Atom)