What Motivates Fans To Interrupt Matches? Pitch Invasion
Majority of fans who invade the pitch when a match is going on do so because they aren't happy with the referees decision, or their team have scored a decisive goal. others invade the pitch for no reason at all. However at the end of it, they get the attention of everyone on and off the pitch.
Hivi Inaleta Picha Gani Rais Anapokutana na Mateja Huku Akiwalinda Wauza Unga?
Mwaka 2006 rais Jakaya Kikwete bila kulazimishwa na mtu yeyote alisema kuwa ana orodha ya wauza madawa ya kulevya nchini. Sasa ni miaka saba imepita tangu atwambie ana orodha hiyo. Wengi tunajiuliza ni kwanini imechukua muda mrefu hivyo kuwashughulikia wauza unga kama kweli ana nia au anangoja awashughulikie baada ya kustaafu? Ajabu juzi Kikwete alipodhalilishwa na Rwanda alikuwa mwepesi kuwatimua wanyarwanda waliokuwa wameishi Tanzania kwa zaidi ya miongo minne. Je Kikwete ana namna anavyonufaika na mihadarati kiasi cha siku hizi kuanza kujionyesha kama mtu anayewajali vijana kwa kukutana na mateja au kumsaidia teja Ray C. Je Kikwete anatoa picha gani kwa kuwakumbatia wauza unga huku akijifanya kuwapenda na kuwajali mateja? Je ni usanii au unafiki?
Free Thinking
Tigo Imetoa Zawadi za Flat Screen Samsung LCD kwa Wateja Wake wa Facebook

Mwanafunzi wa chuo cha St. Joseph, Goodluck Msongore (23) akipokea zawadi ya Samsung LCD flat screen ya inchi 40 kutoka kwa Afisa Mtandao wa Kijamii wa Tigo Bi. Samira Bamaar katika hafla fupi iliyofanyika jana. Akishuhudia ni Meneja Chapa wa Tigo Bw. William Mpinga. Tigo imetoa flat screen hizo kama zawadi kwa washindi wa wateja wake wa Facebook waliojitokeza kushiriki mashindano ya kampuni hiyo iliyokuwa inasherekea ukarasa wake wa Facebook kufikisha zaidi ya watu 200,000 (laki 2) hivi karibuni.

Mshindi wa pili, Steven Kisaru (22) ambaye ni mfanyakazi wa bandari Dar es Salaam akipokea kwa furaha remoti ya flat screen Samsung LCD yenye inchi 40 na thamani ya shilingi milioni 2 aliyojishindia kutoka katika ukurasa wa Facebook wa Tigo. Anayemkabidhi ni Afisa Mtandao wa Kijamii kutoka Tigo Bi. Samira Bamaar, huku Meneja Chapa wa Tigo Bw. William Mpinga akishuhudia. Katika mashindano hayo wateja wengine walijishindia simu za Samsung Galaxy S4, Ascend Y300 pamoja na modem na vocha kutoka Tigo.

Afisa Mtandao wa Kijamii kutoka Tigo Bi. Samira Bamaar (kulia) akimkabidhi mshindi wa pili Marty Lyanga (25) flat screen aina ya Samsung LCD mpya kabisa yenye thamani ya shilingi milioni 2. Marty ni mwanafunzi wa Information Management katika chuo cha Tumaini, Dar es Salaam. Akishuhudia ni Meneja Chapa wa Tigo Bw. William Mpinga.

Mwanafunzi wa Bandari College, Daffd Laurent (20), akionyeshea flat screen yake mpya aina ya Samsung LCD ya inchi 40 aliyejishindia katika ukurasa wa Facebook wa Tigo. Kulia ni Afisa Mtandao wa Kijamii kutoka Tigo Bi. Samira Bamaar. Tembelea ukurasa wa Tigo Facebook uweze kupata habari na kujishindia zawadi mbali mbali pitia www.facebook.com/TigoTanzania
Thieves Have Returned Electronic Accessories They Stole From a Charity with an Apology Note..!
The group brought back six computers with hard drives, a laptop and a bag of valuables which they took from aid organisation Sexual Assault Services Centre in San Bernadino, California. Along with the goods, they left a note apologising for taking the loot.
It read: “We had no idea what we were takeing. Here your stuff back. We hope that you guys can continue to make a difference in people’s lives. GOD BLESS. (sic)”
San Bernardino Police Lt Paul Williams told NBC Los Angeles: “This is the first time in my career I have seen the return of stolen items.
“It appears the guilt of taking the property caused the return of the items.”
It read: “We had no idea what we were takeing. Here your stuff back. We hope that you guys can continue to make a difference in people’s lives. GOD BLESS. (sic)”
San Bernardino Police Lt Paul Williams told NBC Los Angeles: “This is the first time in my career I have seen the return of stolen items.
“It appears the guilt of taking the property caused the return of the items.”
Subscribe to:
Posts (Atom)