Pages

Uganda Cranes Yawasili Kuikabili Stars

Ofisa Habari wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Boniface WamburaTIMU ya Taifa ya Uganda (The Cranes) imewasili Dar es Salaam leo tayari kwa mechi ya kwanza ya mchujo kusaka tiketi ya Fainali za Afrika kwa Wachezaji wa Ligi ya Ndani (CHAN) kati yake na Tanzania (Taifa Stars) itakayochezwa Jumamosi Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

The Cranes inayofundishwa na Mserbia Sredojvic Micho imetua Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) saa 5.30 asubuhi kwa ndege ya Air Uganda, na imefikia hoteli ya Sapphire.

Timu hiyo Julai 11 mwaka huu itafanya mazoezi saa 9 alasiri kwenye Uwanja wa Karume, wakati kesho saa 9 alasiri itafanya mazoezi Uwanja wa Taifa, kabla ya kuipisha Taifa Stars itakayoanza mazoezi saa 10 kamili jioni.
Taifa Stars inayofundishwa na Mdenmark Kim Poulsen, na kudhaminiwa na Kilimanjaro Premium Lager, leo kwa mujibu wa program yake haitakuwa na mazoezi. Wachezaji wanaounda The Cranes ni makipa Ismail Watenga, Kimera Ali na Muwonge Hamza. Mabeki ni Guma Dennis, Kasaaga Richard, Kawooya Fahad, Kisalita Ayub, Magombe Hakim, Malinga Richard, Mukisa Yusuf, Savio Kabugo na Wadada Nicholas.

Viungo ni Ali Feni, Birungi Michael, Frank Kalanda, Hassan Wasswa, Kyeyune Said, Majwega Brian, Mpande Joseph, Muganga Ronald, Ntege Ivan, Owen Kasule, wakati washambuliaji ni Edema Patrick, Herman Wasswa na Tonny Odur.

TENGA KUZUNGUMZA NA WAANDISHI KESHO
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Leodegar Tenga atakuwa na mkutano na waandishi wa habari. Mkutano huo utafanyika kesho (Julai 12 mwaka huu) saa 4 asubuhi kwenye hoteli ya Tansoma.

Kutokana na mkutano huo, sasa mkutano kati ya makocha wa Taifa Stars na The Cranes uliokuwa ufanyike saa 5 asubuhi ofisi za TFF nao umehamishiwa hoteli ya Tansoma. Mkutano huo pia utahusisha manahodha wa timu zote mbili.

WAJUMBE MKUTANO MKUU MAALUMU KUWASILI KESHO
Wajumbe wa Mkutano Mkuu Maalumu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) utakaofanyika Jumamosi (Julai 13 mwaka huu) wanawasili jijini Dar es Salaam kesho (Julai 12 mwaka huu).
Mkutano huo wa marekebisho ya Katiba utakuwa chini ya uenyekiti wa Rais wa TFF, Leodegar Tenga na utafanyika ukumbi wa NSSF Waterfront kuanzia saa 3 kamili asubuhi. Wajumbe wote wa mkutano huo watafikia hoteli ya Travertine.

Pia mkutano huo utahudhuriwa na wageni mbalimbali waalikwa wakiwemo kutoka Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) na Chama cha Mpira wa Miguu Zanzibar (ZFA).

MECHI YA STAND, KIMONDO NAYO KUPIGWA JUMAPILI
Mechi ya marudiano ya Ligi ya Mabingwa wa Mikoa (RCL) kati ya Stand United FC ya Shinyanga na Kimondo SC ya Mbeya iliyokuwa ichezwe Jumamosi (Julai 13 mwaka huu) imesogezwa mbele kwa siku moja.

Timu hizo sasa zitacheza Jumapili (Julai 14 mwaka huu) kwenye Uwanja wa Kambarage mjini Shinyanga. Kimondo ilishinda bao 1-0 mechi ya kwanza iliyochezwa Julai 6 mwaka huu Uwanja wa Kumbukumbu ya Sokoine jijini Mbeya.

Mechi nyingine ya ligi hiyo itakuwa kati ya Friends Rangers ya Dar es Salaam na Polisi Jamii ya Mara, na itafanyika kwenye Uwanja wa Azam ulioko Chamazi nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam. Mwamuzi wa mechi hiyo ni Hans Mabena kutoka Tanga.

~Imeandaliwa na Ofisa Habari wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Boniface Wambura

PICHA za MSIBANI NYUMBANI KWA PROF JAY

Prof Jay ,Black Rhino
Prof Jay ,Black Rhino  LISA 
Huyu ni mtoto wa Prof Jay anaitwa LISA ndio ameingia nyumbani hapa kwenye msiba wa bibi yake kipenziHali ilivyo asubuhi hii hapa nyumbani kwa Prof Jay ambapo ndipo ulipo msiba wa mama yetu.. kwa wanaotaka kuja msiba upo Mbezi mwisho baada ya stendi mpya ya mabasi basi mbele kidogo mkono wako wa kushoto utaingia utaona nyumba kumba ipo kwa chini na magari mengi basi ndio hapo hapo. Kwa wanaokuja na daladala baada yakupita hiyo stendi mpya utamwambia konda akushushe kwa Prof Jay maana ndio kituo hicho. Prof Jay ,Black Rhino  
Pichani ni wasanii wa bongo fleva wakiacha kumbukumbu katika kitabu cha maombolezo. Kushoto ni Dullayo pamoja na mdogo wake Prof Jay anaitwa Black Rhino mwenye tshirt ya kijan.
 RIP MAMA MAJANJALA

Mishemishe Kipimo Zifike Machinjioni Kabla Hazijafa

Mishemishe

Native Deen -- Ramadan is Here (Official video ) Lyrics


LYRICS
[Chorus]
Ramadan is Here (4x)
Yo they sighted the moon, its Ramadan! Now I gotta plan, before it's come and gone
Getting close to Allah, spend a lot of time. Check the condition of my heart, like a sonogram
Uh… Everybody knows that we gotta fast. But does everybody know how the time is passed?
Is it sleeping all day and the night's a blast? And forgetting the reward of the month is vast?
I know you gonna wake-up, right. Drinking water maybe bean-pie, praying at sunrise....
Fast in the day, keeping that deen tight. Breaking fast with some dates, taraweeh at night
Alright... it’s a blessed month. It doesn’t mean at iftar, that you can’t have fun,
But strive in your heart, for your Lord the one… And be blessed by Allah, when the month is done.

[Chorus]
Four minutes left, Mom busts in the door, like… Get yourself up, you about to miss Suhur
Turkey bacon on the plate but I’m beefing. I'm up here sleeping, when they’re down here eating.
Scenes like this, it makes me reminisce what it meant growing up with Ramadan as a kid.
My homie's buying up the corner store. Now or later, quarter waters,
We break at eight but its quarter to four.
They got jokes, like oh yeah he’s fasting. Something about blessings, heaven everlasting
Asking like the Feds up on me, “But dude, let me ask you for real, is you hungry?”
A hunger for the day when the sins on my slate be as empty as the food on my plate.
And if you got jokes, man here is a taste. Take a little fasters breath to the face.

[Chorus]
Ramadan vibrations, more donations. Dinner invitations, many supplications
Good behavior means better reputations. Don’t start nothing, no provocations
No fighting no argumentation. From the fitna and the drama, take a vacation
Mosque is packed with a huge congregation. Some just come as an annual visitation
Some just come for the hum of the recitation. Memorization of revelation,
Less temptation, with more contemplation. Getting ready for the Eid celebration
Shake a lot of hands giving salutations, Salaam Alaykums, peace upon the nation
The world is one, forget the segregation. Another Ramadan congratulations!!

Interpol Yamtia Mbaroni Alex Massawe Dubai

Alex Massawe DubaiDar es Salaam. Mfanyabiashara maarufu nchini, Alex Massawe ambaye alikuwa anatafutwa na Polisi wa Tanzania kwa muda mrefu, amekatwa Dubai, Falme za Kiarabu (UAE).

Mkuu wa la Shirika la Polisi la Kimataifa (Interpol), Tawi la Tanzania, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP), Gustav Babile aliliambia gazeti hili jana kwamba Massawe alikamatwa kati ya Juni 20 na 25 mwaka huu kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Dubai akitokea Afrika Kusini.
Babile alisema hivi sasa walikuwa wanaandaa taratibu za kumrudisha nchini ambako amekuwa akisakwa kwa muda mrefu.
“Ombi la kuleta mhalifu nchini kutoka nje ya nchi (extradition request), lina hatua ndefu. Unajua kuna mlolongo wa taratibu za kutekeleza ili Massawe aletwe. Kwanza lazima Polisi wa Tanzania watoe tangazo kwa Interpol kuhusu kumsaka mtu huyo ili aletwe,” alisema Babile.
Alisema Massawe alikamatwa wakati akifanya taratibu za ukaguzi baada ya kuwasili UAE.

Habari zilizofikia gazeti hili mapema kutoka Dubai zilieleza kuwa Massawe alikamatwa na maofisa wa usalama wa UAE kutokana na alama zake za vidole na kuonyesha kuwa alikuwamo kwenye orodha ya watu waliokuwa wanasakwa na Interpol.

Massawe ambaye anamiliki majumba na biashara ya utalii katika Miji ya Arusha, Dar es Salaam na Moshi, inadaiwa kwamba alikutwa na pasi tatu bandia za kusafiria zilizokuwa na majina tofauti wakati alama zake za vidole zilionyesha anaitwa Alex Massawe.

“Maofisa wa Usalama wa uwanja wa ndege walimuuliza kuwa wewe ndiye Alex Massawe? Alikana lakini alielezwa kuwa alama za vidole vinaonyesha anaitwa hivyo,” kilidokeza chanzo cha habari hizi kwa simu kutoka Dubai. Hata hivyo, Babile alisema hakuwa na taarifa za Massawe kukutwa na pasi bandia za kusafiria.

Uvumi wa Aprili

Mapema Aprili 27, mwaka huu kulikuwa na habari kwamba Massawe amekamatwa katika mji mmojawapo ulioko katika Pwani ya Afrika Kusini.

Habari hizo za kukamatwa kwa Massawe, ambaye pia hufadhili masuala ya kisiasa na michezo, zilisambaa kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii ya Facebook, Twitter na Jamii Forum. Kulikuwa kuna mkanganyiko wa taarifa huku wengine wakidai alinaswa akiwa ndani ya boti huko Afrika Kusini, wengine wakidai alikamatwa wakati akijaribu kuingia Msumbiji akitokea Malawi.

Akizungumzia hilo Babile alisema huo ulikuwa ni uzushi na baada ya kuzisikia taarifa hizo walifuatilia katika maeneo aliyohusishwa kukamatwa na kubaini kwamba hapakuwa na ukweli wowote.

Kwa nini Massawe anatafutwa
Aprili 4 mwaka huu, mfanyabiashara huyo alitajwa mahakamani katika kesi ya mauaji ya mfanyabiashara Onesphory Kituly ambaye aliuawa katika mazingira ya kutatanisha Novemba 6, 2011 akiwa nyumbani kwake Magomeni, Dar es Salaam.

Katika kesi hiyo ambayo mshtakiwa wa kwanza ni mfanyabiashara maarufu, Abubakar Marijani ‘Papaa Msofe’ na mshtakiwa mwingine, Makongoro Joseph Nyerere alitoa malalamiko mbele ya Hakimu Mkazi, Agnes Mchome baada ya Wakili wa Serikali, Mwanaisha Kombo kudai upelelezi wa kesi hiyo bado haujakamilika na kuomba tarehe mpya ya kuitaja. Mshtakiwa huyo, aliomba jalada la kesi yao lipelekwe mahakamani hapo kwa ajili ya kulifanyia kazi na kutuhumu kuwa ndugu wa marehemu Kituly hawataki maendeleo ya kesi yao hadi Massawe akamatwe.
Mwananchi

KaKobe

KaKobe

MBUNGE LEMA ASOMEWA MASHTAKA

Arusha Mjini, Godbless Lema (CHADEMA) MBUNGE wa Arusha Mjini, Godbless Lema (CHADEMA), jana alisomewa maelezo ya awali kwenye kesi ya uchochezi inayomkabili, anayodaiwa kutoa kauli kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Magesa Mulongo, alikwenda kwenye Chuo cha Uhasibu Arusha kama anakwenda kwenye sherehe za kuaga mtoto wa kike ‘send off’.
Akisoma maelezo, Wakili wa Serikali, Elianenyi Njiro, mbele ya Hakimu Mkazi, Devotha Msofe, anayesikiliza shauri hilo, alidai wanatarajia kupeleka mashahidi tisa akiwamo Mkuu wa Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA), John Nanyaro na Mkuu wa Jeshi la Polisi wilayani Arusha (OCD), Gillis Mroto.
Aliwataja mashahidi wengine kuwa ni maofisa wa Jeshi la Polisi akiwamo Mkaguzi Bernard Nyambanya na mwenzake aliyetajwa kwa jina moja la Jane, PC Godfrey, Joachim Mahanyu na wengine kutoka Chuo cha Uhasibu, ambao ni Faraji Mnepe, Benjamin Simkanga na Naibu Hamidu.
Awali akisoma maelezo hayo, Wakili Njiro aliieleza mahakama hiyo kuwa Aprili 24, mwaka huu, Lema akiwa eneo la Freedom Square ndani ya Chuo cha Uhasibu, alitoa maneno ya uchochezi yaliyosababisha uvunjifu wa amani.
Alisema kuwa maneno hayo yanayodaiwa kutamkwa ni kinyume cha kifungu cha 390 sura ya 35 cha sheria ya kanuni ya adhabu marejeo ya mwaka 2002.
“RC anakuja (Chuo cha Uhasibu), kama anakwenda kwenye sendoff, hajui chuo kilipo wala mauaji ya mwanafunzi wa chuo hicho … (RC), ameshindwa hata kuwapa (wanafunzi) pole kwa kufiwa na amesema hawezi kuongea na wanafunzi wasio na nidhamu,” alinukuu baadhi ya maneno aliyodai kuwa yalitamkwa na Lema siku ya tukio.
Wakili Njiro alidai mahakamani hapo kuwa kauli hizo zilipandisha hasira za wanafunzi ambao walianza kumrushia mawe na chupa Mkuu wa Mkoa, Mulongo, alipokuwa akiwahutubia kuhusiana na tukio la kifo cha mwanafunzi, Henry Koga, kilichotokea Aprili 23, mwaka huu.
Lema kupitia kwa wakili wake, Method Kimomogoro, alikanusha madai hayo huku akikubali maelezo kuhusu jina lake, anwani, makazi na wadhifa wake, ambapo shauri hilo limepangwa kuanza kusikilizwa kwa siku tatu mfululizo kuanzia Agosti 20-22, mwaka huu.

Mgahawa wa Hassan Futari ya Kumwaga

Mgahawa wa Hassan

Wasanii Wanavyotumiwa Kwenye Madawa ya Kulevya -Orijino Komedi Video

Rapper 50 Cent has Removed His Son From His Will..!!

Rapper 50 Cent
 Marquise
Fiddy, as he is known by his fans, sent volatile text messages to his 16-year-old son Marquise in November last year, saying he planned to cut the boy and his mother off.

According to the Daily Mail, the texts came to light a day after the rapper was also shown to have sent abusive texts to his son in January this year, calling the kid a “s**t head”, “motherf***er” and “f***ing stupid”. In his January tirade, 50 Cent also demands a paternity test and tell his son to delete his number, saying “f*** you stop texting me”.

The rapper’s angry outburst allegedly stemmed from a poorly co-ordinated custody visitation. 50 Cent claims he went to see his son, but was left standing outside the house as no one answered the door. The rapper insisted that Marquise knew he was waiting outside and that he had spotted him peering at his father through the blinds.

“I don't have a son anymore,” tweeted the rapper after the incident.

This family feud, however, has been a long time in the making. In November, 2012, Fiddy wrote to his son: “If I died today would it matter to you? I’m changing my will. It’s a simple question.”

Marquise’s response highlighted the breakdown in the relationship between father and son.

“And this is coming from someone that didn't wish me a happy birthday.”

When Fiddy responded with his threat to remove Marquise and his mother from his will, the teenager replied: “I don't care about money, that's my last concern, of course we all like nice things but it's not everything.”
In his defence, 50 Cent claims that Marquise’s mother was the one texting back, and not his son.
 Marquise
Meanwhile, the rapper also has legal issues to deal with. He has been charged with one count of misdemeanour domestic violence and four counts of vandalism after he allegedly kicked a woman and destroyed $7000 worth of property at her condominium in Los Angeles last month.
According to Los Angeles City Attorney Frank Mateljan, 50 Cent kicked in a door and destroyed a piece of furniture, a chandelier and a television set.
“The altercation apparently started from an allegation of infidelity on her part,” Mateljan said.

The rapper faces a maximum penalty of five years in jail and $46 000 in fines if he is convicted.