Pages

MR BLUE na NAJ on THE SPORAH SHOW..!




Sporah with Mr Blue and Naj on set, and apparently the interview's gonna be very interesting.

Magician Dynamo 'levitates' on The Side of a London Double Decker Bus (Video)

Illusionist Dynamo wows tourists in Westminster after appearing to levitate on the side of a double decker bus. Report by Sophie Foster.

Tigo Mini Kabaang Ilikua Hapatoshi Jijini Mwanza You Know..?!

Tigo Mini Kabaang
Mshindi wa simu ya mkononi kutoka Tigo Bw. Faraji Ismail (kushoto) akipungia simu aliyoshinda na kuzawadiwa na mwakilishi wa Tigo kanda ya ziwa Bw. Eliud Mjuni (kulia). Katikati ni MC Nambiles Msimbe, .

Msanii Madee akitoa burudani.
Tigo Mini Kabaang
Msanii bora wa mwaka Naseeb Abdul aka Diamond au Rais wa Wasafi akitoa burudani pamoja na kundi lake la Wasafi.
Tigo Mini Kabaang
Msanii Recho juu ya stage akiwapagawisha mashabiki wa Mwanza.

Meneja Mawasiliano wa Tigo Amani Nkurlu (kulia) akimhoji msanii chipukizi wa hip-hop, Rasco (15), baada ya kuibuka mshindi wa free-style katika tamasha la Tigo Mini-Kabaang Mwanza.
Tigo Mini Kabaang
Umati wa mashabiki wa Mwanza waliofika katika tamasha la Tigo Mini Kabaang katika viwanja vya CCM Kirumba.
Tigo Mini Kabaang
Nje ya Mwanza wanamfahamu kama Fid Q lakini kwao jijini Mwanza washamzoea kama Farid Kubanda. Hapa alikuwa aki-rock city ya Mwanza ndani ya tamasha la Tigo Mini Kabaang.
Tigo Mini Kabaang
Kikundi cha Jackson 5 kutoka Mwanza wakipafomu nyimbo yao ‘Maishani’ inayotamba jijini humo.
Tigo Mini Kabaang
Msanii Ney wa Mitego (katikati) akishuka kutoka kwenye gari la Tigo tayari kwa kuwaburudisha mashabiki wa Mini Kabaang jijini Mwanza.
Tigo Mini Kabaang
‘Kidole cha mwisho juu’ hiyo ndiyo ilikuwa sauti ya umati mzima pale msanii Roma Mkatoliki alivyopanda jukwaani kuwaburudisha maelfu ya mashabiki waliofurika katika tamasha la Tigo Mini Kabaang viwanja vya CCM Kirumba.
Rich Mavoko
Rich Mavoko akipafomu nyimbo ya ‘Mapenzi Sukari’ katika tamasha la Tigo Mini Kabaang.

Snoop Lion feat. Rita Ora - Torn Apart (Official Audio HD)

CHATU MLAFI ASHINDWA KUTEMBEA BAADA YA KUMEZA MBUZI.

 CHATUNYOKA aina ya chatu akiwa ameshindwa kutembea baada ya kumeza mbuzi ambapo desturi ya nyoka huyo pindi anapomeza mnyama mkubwa huwa na kawaida ya kukaa eneo hilo la tukio kwa zaidi ya wiki moja na kuendelea mpaka mnyama huyo aliyemmeza aanze kuyeyuka katika tumbo lake, huyo ndiye chatu. CHATU

BARACK OBAMA RAIS WA TANZANIA, YaleYaleee..!

 BARACK OBAMA RAIS WA TANZANIA
Moja ya kituo cha luninga kikiwa kimeandika kuwa Rais wa Mareni Barack Obama ni Rais wa Tanzania, kosa hilo lilifanyika wakati Obama akiongea na waandishi wa habari Ikulu jijini Dar es salaam (Tazama picha kwa umakini hapo juu) baada ya kuwasili nchini kitokea Afrika ya Kussini katika ziara ya nchi tatu za afrika ikiwemo Senegal, Afrika ya Kusini na Tanzania ambapo leo amejerea nchini Marekani.

OBAMA AMFUNIKA KIKWETE ktk Soka Danadana Agalia Picha

OBAMA AMFUNIKA KIKWETE 
Rais Kikwete akimwangalia Obama wakati akipiga mpira danadana.UBUNGO OBAMA akionyesha uwezo wa kumiliki mpira kwa kupiga kichwa bila kutua chini wakati alipotembelea mit
ambo ya kuvua umeme Ubungo jijini Dar es salaam muda mfupi kabla ya kuondoka nchini. Rais Kikwete  
Hapa akipiga danadana huku akishuhudiwa na Rais wa Tanzania Jakaya Kikwete

TANZANIAN TRADITIONAL NGOMA TREAT FOR BARACK & MICHELLE OBAMA IN DAR ES SALAAM (Video)

Mizengo Pinda Amsindikiza Mfalme Mswati wa Swaziland Baada ya Kufungua Maonyesho ya Biashara ya Kimataifa Kwenye Uwanja wa Mwalimu Nyerere Julai 1


Mfalme Mswati wa Swaziland akisindikizwa na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipoondoka kwenye uwanja wa ndege wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam kurejea nyumbani baada ya kufungua maonyesho ya Biashara ya Kimataifa kwenye uwanja wa Mwalimu Nyerere Julai 1,2013.

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiagana na mfalme Mswati wa Swaziland
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiagana na mfalme Mswati wa Swaziland ambaye aliondoka nchini baada ya kufungua maonyesho ya Kiataifa ya Biashara kwenye uwanja wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam Julai 1, 2013. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

Rais Wa Marekani Barack Obama na Rais Kikwete Watembelea Mradi wa Umeme wa Symbion Ubungo Jijini Dar es Salaam

 Obama wa Marekani na Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete
Rais Barrack Obama wa Marekani na Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete wakizungumza na watendaji wa kuu wa sekta ya umeme nchini.Kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Mr.Maswi,mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Sadik Meck Sadik na watatu kushoto ni Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo wakati kiongozi huyo wa Marekani alipotembelea mradi wa kuzalisha umeme unaofanywa na kampuni ya Symbion power ya Marekani huko Ubungo jijini Dar es Salaam leo
Mradi wa Umeme wa Symbion Ubungo
Mradi wa Umeme wa Symbion Ubungo
Mradi wa Umeme wa Symbion Ubungo
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete pamoja na mwenyeji wake Rais Barrack Obama wa Marekani wakipata maelezo juu ya kituo cha uzalishaji wa Umeme Ubungo kinachoendeshwa na kampuni ya symbion power wakati viongozi hao walipofanya ziara katika kituo hicho leo asubuhi.Watatu kushoto ni Mkurugenzi mkuu wa Kampuni ya Symbion Power Bwana Paul Hinks.
Picha na IKULU