Illusionist Dynamo wows tourists in Westminster after appearing to levitate on the side of a double decker bus. Report by Sophie Foster.
Tigo Mini Kabaang Ilikua Hapatoshi Jijini Mwanza You Know..?!
Mshindi wa simu ya mkononi kutoka Tigo Bw. Faraji Ismail (kushoto) akipungia simu aliyoshinda na kuzawadiwa na mwakilishi wa Tigo kanda ya ziwa Bw. Eliud Mjuni (kulia). Katikati ni MC Nambiles Msimbe, .
Msanii Madee akitoa burudani.
Msanii bora wa mwaka Naseeb Abdul aka Diamond au Rais wa Wasafi akitoa burudani pamoja na kundi lake la Wasafi.
Msanii Recho juu ya stage akiwapagawisha mashabiki wa Mwanza.
Meneja Mawasiliano wa Tigo Amani Nkurlu (kulia) akimhoji msanii chipukizi wa hip-hop, Rasco (15), baada ya kuibuka mshindi wa free-style katika tamasha la Tigo Mini-Kabaang Mwanza.
Umati wa mashabiki wa Mwanza waliofika katika tamasha la Tigo Mini Kabaang katika viwanja vya CCM Kirumba.
Nje ya Mwanza wanamfahamu kama Fid Q lakini kwao jijini Mwanza washamzoea kama Farid Kubanda. Hapa alikuwa aki-rock city ya Mwanza ndani ya tamasha la Tigo Mini Kabaang.
Kikundi cha Jackson 5 kutoka Mwanza wakipafomu nyimbo yao ‘Maishani’ inayotamba jijini humo.
Msanii Ney wa Mitego (katikati) akishuka kutoka kwenye gari la Tigo tayari kwa kuwaburudisha mashabiki wa Mini Kabaang jijini Mwanza.
‘Kidole cha mwisho juu’ hiyo ndiyo ilikuwa sauti ya umati mzima pale msanii Roma Mkatoliki alivyopanda jukwaani kuwaburudisha maelfu ya mashabiki waliofurika katika tamasha la Tigo Mini Kabaang viwanja vya CCM Kirumba.
Rich Mavoko akipafomu nyimbo ya ‘Mapenzi Sukari’ katika tamasha la Tigo Mini Kabaang.
CHATU MLAFI ASHINDWA KUTEMBEA BAADA YA KUMEZA MBUZI.


BARACK OBAMA RAIS WA TANZANIA, YaleYaleee..!

Moja ya kituo cha luninga kikiwa kimeandika kuwa Rais wa Mareni Barack Obama ni Rais wa Tanzania, kosa hilo lilifanyika wakati Obama akiongea na waandishi wa habari Ikulu jijini Dar es salaam (Tazama picha kwa umakini hapo juu) baada ya kuwasili nchini kitokea Afrika ya Kussini katika ziara ya nchi tatu za afrika ikiwemo Senegal, Afrika ya Kusini na Tanzania ambapo leo amejerea nchini Marekani.
OBAMA AMFUNIKA KIKWETE ktk Soka Danadana Agalia Picha
Rais Kikwete akimwangalia Obama wakati akipiga mpira danadana.
OBAMA akionyesha uwezo wa kumiliki mpira kwa kupiga kichwa bila kutua chini wakati alipotembelea mit
ambo ya kuvua umeme Ubungo jijini Dar es salaam muda mfupi kabla ya kuondoka nchini.

ambo ya kuvua umeme Ubungo jijini Dar es salaam muda mfupi kabla ya kuondoka nchini.

Hapa akipiga danadana huku akishuhudiwa na Rais wa Tanzania Jakaya Kikwete
Mizengo Pinda Amsindikiza Mfalme Mswati wa Swaziland Baada ya Kufungua Maonyesho ya Biashara ya Kimataifa Kwenye Uwanja wa Mwalimu Nyerere Julai 1

Mfalme Mswati wa Swaziland akisindikizwa na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipoondoka kwenye uwanja wa ndege wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam kurejea nyumbani baada ya kufungua maonyesho ya Biashara ya Kimataifa kwenye uwanja wa Mwalimu Nyerere Julai 1,2013.

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiagana na mfalme Mswati wa Swaziland ambaye aliondoka nchini baada ya kufungua maonyesho ya Kiataifa ya Biashara kwenye uwanja wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam Julai 1, 2013. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
Rais Wa Marekani Barack Obama na Rais Kikwete Watembelea Mradi wa Umeme wa Symbion Ubungo Jijini Dar es Salaam

Rais Barrack Obama wa Marekani na Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete wakizungumza na watendaji wa kuu wa sekta ya umeme nchini.Kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Mr.Maswi,mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Sadik Meck Sadik na watatu kushoto ni Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo wakati kiongozi huyo wa Marekani alipotembelea mradi wa kuzalisha umeme unaofanywa na kampuni ya Symbion power ya Marekani huko Ubungo jijini Dar es Salaam leo



Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete pamoja na mwenyeji wake Rais Barrack Obama wa Marekani wakipata maelezo juu ya kituo cha uzalishaji wa Umeme Ubungo kinachoendeshwa na kampuni ya symbion power wakati viongozi hao walipofanya ziara katika kituo hicho leo asubuhi.Watatu kushoto ni Mkurugenzi mkuu wa Kampuni ya Symbion Power Bwana Paul Hinks.
Picha na IKULU
Subscribe to:
Posts (Atom)