Pages

Kipanya Leo

Kipanya

Obama's Alien BodyGuard (Video)

MWALIKO WA KUHUDHURIA MIUJIZA YA QUR'AN

Sheikh wa Mkoa wa Dar-es-Salaam Sheikh Alhad Mussa Salum,
Sheikh wa Mkoa wa Dar-es-Salaam Sheikh Alhad Mussa Salum, akishirikiana na Shia Ithnaashar Jamaat, wanapenda kuwaalika wote, katika kushuhudia Miujiza ya Qur’an ya kijana HAFIZ MOHAMMED TAQI KHAN toka Pakistan, aliehifadhi Qur’an kwa njia 51 tofauti za ajabu na
za kuvutia, pia ana uwezo wa kuhusisha Aya na maudhui mbalimbali za kisiasa na kijamii, pia ana uwezo wa kuisoma sura kuanzia chini kuja
juu n.k.
Ni siku ya Jumamosi tar 6 Julai,2013
Viwanja vya Mwembeyanga, Tandika
Saa 9.00 Alasiri mpaka saa 12.00 Jioni
“KARIBUNI SANA”

Check Out JUSTINE BIEBER's Little Boy Muscles 'CashWise

JUSTINE BIEBER
HII NDIO JEURI YA FEDHA ANAYOIYONYESHA KWA SASA
Kwa mara nyingine tene Mwanamuziki Justin Bieber amekuwa gumzo kwenye vyombo vya habari, This tym round, ikiwa ni kutokana na kitendo chake cha kuamua kutoa kiasi cha paundi 125,000, ambazo ni zaidi ya shilingi 309,000,000 kwaajili ya kubadilisha rangi ya gari yake.
JUSTINE BIEBER
Bieber ameamua kuliweka gari hili rangi sawasawa na na muonekano wa chui, na habari za uhakika kutoka ndani ya team ya msanii huyu zinasema kuwa, Staa huyu aliamua kufanya mchongo huu ili kuwezesha gari yake ku-match na mtoko wake wa 'kichui-chui' aliokuwa amejipanga kushine nao
kwa siku moja.
JUSTINE BIEBER
Hivi ndio gari ya staa huyu inavyoonekana baada ya kufanyiwa mabadiliko.
JUSTINE BIEBER
JUSTINE BIEBER
JUSTINE BIEBER

Nyandu Tozi ft. Young Dee, Young Killa & Belle 9 – Kwa Mafans (Audio)

Nyandu Tozi ft. Young Dee, Young Killa & Belle 9 – Kwa Mafans

Hipoz Men - Nazisaka(official video)

MR BLUE na NAJ on THE SPORAH SHOW..!




Sporah with Mr Blue and Naj on set, and apparently the interview's gonna be very interesting.

Magician Dynamo 'levitates' on The Side of a London Double Decker Bus (Video)

Illusionist Dynamo wows tourists in Westminster after appearing to levitate on the side of a double decker bus. Report by Sophie Foster.

Tigo Mini Kabaang Ilikua Hapatoshi Jijini Mwanza You Know..?!

Tigo Mini Kabaang
Mshindi wa simu ya mkononi kutoka Tigo Bw. Faraji Ismail (kushoto) akipungia simu aliyoshinda na kuzawadiwa na mwakilishi wa Tigo kanda ya ziwa Bw. Eliud Mjuni (kulia). Katikati ni MC Nambiles Msimbe, .

Msanii Madee akitoa burudani.
Tigo Mini Kabaang
Msanii bora wa mwaka Naseeb Abdul aka Diamond au Rais wa Wasafi akitoa burudani pamoja na kundi lake la Wasafi.
Tigo Mini Kabaang
Msanii Recho juu ya stage akiwapagawisha mashabiki wa Mwanza.

Meneja Mawasiliano wa Tigo Amani Nkurlu (kulia) akimhoji msanii chipukizi wa hip-hop, Rasco (15), baada ya kuibuka mshindi wa free-style katika tamasha la Tigo Mini-Kabaang Mwanza.
Tigo Mini Kabaang
Umati wa mashabiki wa Mwanza waliofika katika tamasha la Tigo Mini Kabaang katika viwanja vya CCM Kirumba.
Tigo Mini Kabaang
Nje ya Mwanza wanamfahamu kama Fid Q lakini kwao jijini Mwanza washamzoea kama Farid Kubanda. Hapa alikuwa aki-rock city ya Mwanza ndani ya tamasha la Tigo Mini Kabaang.
Tigo Mini Kabaang
Kikundi cha Jackson 5 kutoka Mwanza wakipafomu nyimbo yao ‘Maishani’ inayotamba jijini humo.
Tigo Mini Kabaang
Msanii Ney wa Mitego (katikati) akishuka kutoka kwenye gari la Tigo tayari kwa kuwaburudisha mashabiki wa Mini Kabaang jijini Mwanza.
Tigo Mini Kabaang
‘Kidole cha mwisho juu’ hiyo ndiyo ilikuwa sauti ya umati mzima pale msanii Roma Mkatoliki alivyopanda jukwaani kuwaburudisha maelfu ya mashabiki waliofurika katika tamasha la Tigo Mini Kabaang viwanja vya CCM Kirumba.
Rich Mavoko
Rich Mavoko akipafomu nyimbo ya ‘Mapenzi Sukari’ katika tamasha la Tigo Mini Kabaang.

Snoop Lion feat. Rita Ora - Torn Apart (Official Audio HD)