Taifa Stars Kutokurejea Makosa Dhidi ya Uganda Julai 13.
Wachezaji wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa stars wametakiwa kutokurejea makosa katika mchezo dhidi ya timu ya taifa ya Uganda utakaochezwa Julai 13 jijini Dar es Salaam.
SABASABA 2013 IMEAANZA RASMI LEO ktk VIWANJA vya MWL NYERERE JIJINI DAR (PICHA Zaidi)
Wakazi wa Jiji la Dar Wakiwa kwenye foleni tayari kwa kuingia kwenye viwanja vya Sabasaba vilivyopo katika barabara ya kilwa Jijini Dar Es Salaam Mapema leo Asubuhi.Ambapo leo maonyesho hayo ndio yameanza rasmi
Baadhi ya wakazi wa jiji la Dar na vitongoji vyake wakisubiri kuingia kwenye viwanja vya sabasaba vilivyopo katika barabara ya kilwa jijini Dar Mapema leo.Tayari Maonyesho yameshaanza na wakazi wa jiji la Dar na vitongoji vyake washaanza kutembelea baadhi ya sehemu
Baadhi ya wakazi wa jiji la Dar wakishauriana jambo kabla ya kuingia kwenye viwanja vya Sabasaba mapema leo Asubuhi
Baadhi ya wafanyakazi wa makampuni mbalimbali wakielekea kwenye lango la Viwanja vya sabasaba tayari kwa maonyesho hayo ya 37 ya kibiashara yanayofanyika Jijini Dar
Baadhi ya wakazi wa jiji la Dar wakimiminika katika viwanja vya Sabasaba
AFRIKA KUSINI ktk MAANDAMANO YA KUPINGA KUJA kwa OBAMA wkt ALIPOTUA JIONI YA LEO KATIKA JIJI LA PRETORIA!
Waandamaji Nchini Afrika Kusini wakiwa wamebeba mabango yanayopinga kuja Kwa Raisi Obama nchini Humo wakati wa maandamano ya Amani ya Kupinga Kuja Kwa Obama Katika Jiji la Pretoria Nchini Afrika Jioni ya leo wakati Raisi Obama alipotua Katika Jiji Hilo leo Jioni Juni 28
Waandamaji Nchini Afrika Kusini Wakisali mbele ya Bango linalopinga Kuja kwa Raisi Obama Nchini Humo wakati Raisi Obama alipotua Nchini Afrika Kusini Jioni ya Leo Juni 28
Waandamaji wa Nchini Afrika Kusini wakiwa wanasali mbele ya Ubalozi wa Marekani wakati wa maandamano ya kupinga kuja kwa Raisi Obama Nchini Humo Mapema leo wakati Raisi Obama alipotua Nchini Humo Kwa Ziara ya Siku 2 ametokea Nchini Senegali na Kutua Nchini Afrika Kusini huku Akihitisha Ziara Yake Nchini Tanzania wiki ijayo.

Mmoja wa waandamaji nchini Afrika Kusini ambaye jina lake halikuweza kupatikana mara moja akiwa amebeba moja ya Bango ambalo Linamwita Raisi OBAMA kuwa ni Mpishi wa Ikulu ya Marekani kama linavyosomekana na kuendelea kuelezea kuwa sera za Marekani ni tatizo.Mwandamaji huyu amebeba bango leo Juni 28 wakati wa maandamo ya amani kuelekea mbele ya Ubalozi wa Marekani Nchini humo kwa kupinga Kuja Kwa OBAMA Nchini Mwao.
Picha na REUTERS/AFP
SPAIN 7-6 ITALIA KWA PENATI, SASA KUIVAA BRAZIL "Confederations Cup final"
Antonio Candreva akifunga penati yake kwa staili ya 'Panenka' ambayo kipa wa Hispania, Iker Casillas hakuweza kuokoa. (Habari kamili iko chini ya picha hizi).
Xavi akimtungua Gianluigi Buffon aliyeanguka upande wa kushoto (kama anavyoonekana), huku mpira ukienda kulia.
Kipa wa Hispania, Iker Casillas hakuwa akiangalia upigaji wa penati za nchi yake, Hapa akiziba uso ili asione nyota wa Hispania akipiga penati yake
Mautundu ya Daniele De Rossi, yakimpeleka sokoni Casillas kama anavyoonekana.
Gerard Pique akimpoteza Buffon. Chini nyota wa muziki wa Pop, Shakira (mpenzi wa Pique), akimshangilia.
Top 10 Nelson Mandela Quotes Of All Time
- 1.“It always seems impossible until it’s done.”
- 2.“I am fundamentally an optimist. Whether that comes from nature or nurture, I cannot say. Part of being optimistic is keeping one’s head pointed toward the sun, one’s feet moving forward. There were many dark moments when my faith in humanity was sorely tested, but I would not and could not give myself up to despair. That way lays defeat and death.”
- 3.“For to be free is not merely to cast off one’s chains, but to live in a way that respects and enhances the freedom of others.”
- 4.“No one is born hating another person because of the color of his skin, or his background, or his religion. People must learn to hate, and if they can learn to hate, they can be taught to love, for love comes more naturally to the human heart than its opposite.”
- 5. “After climbing a great hill, one only finds that there are many more hills to climb.”
- 6.“The greatest glory in living lies not in never falling, but in rising every time we fall.”
- 7.“There is nothing like returning to a place that remains unchanged to find the ways in which you yourself have altered.”
- 8.“If you want to make peace with your enemy, you have to work with your enemy. Then he becomes your partner.”
- 9.“I learned that courage was not the absence of fear, but the triumph over it. The brave man is not he who does not feel afraid, but he who conquers that fear.”
- 10.“Education is the most powerful weapon which you can use to change the world.”
"Be brave!" -DarSlam-
Britain Set to Be First Country to Allow ‘Three Parent’ Babies.
The technique will use DNA from a second "mother" for the first time, allowing the altering of minor genetic strands.
New regulations to fertility law allowing the procedures will be issued for public consultation later this year and then debated in Parliament.
If MPs find them ethically acceptable the first patients could be treated within months. It is envisaged that between five and 10 “three parent” babies would be born each year.
Allowing the currently illegal techniques would mark a turning point because it means, for the first time ever, altering the “germ line” made up of inherited DNA.
Experts point out that only the tiny amount of DNA in a cell’s “battery packs”, the mitochondria, would be changed. DNA in the nucleus, which determines individual characteristics such as facial features and eye colour, would remain intact.
But some critics believe the move would mark a slippery slope leading to “designer babies” and eugenics.
Draft regulations making the UK the first country in the world to offer the treatments to women with a family history of mitochondrial disease will be published later th
is year, the Department of Health said today.
Tanzania tour operators opposed to VAT on tourist services
“It is high time state organs realized that tourism products, including game viewing in national parks, luxury accommodation in tourists hotels and similar packages should be treated as ‘exports.’ That is why we charge foreigners in dollars,” stated the TATO Executive Secretary, Mr Mustafa Akonaay.
Mr Akonaay said it was wrong to impose VAT on goods meant for export, including tourist services, pointing out that usually tourists do not take anything out of the country; they just come to gaze at wildlife and leave.
The TATO executive warned that VAT on tourism products will make Tanzania a very expensive destination and foreigners may start opting for other countries where prices for safaris are much cheaper.
Tourism-related segments that will be subject to Value Added Tax include tour guided game viewing, water and sea sports, animal and bird watching, accommodation, park fees, tourist chatter services, ground transport or transit services.
For the operators, however, the move will make the Tanzania tourism Industry to be hard hit, making the destination uncompetitive.
The Deputy Minister for Natural Resources and Tourism , Mr Lazaro Nyalandu, reacting to the operators’ concern, said here recently that the VAT issue was still open for debate and suggestions from players in the industry.
“Ours is a democratic country and the issue can be tabled for discussions,” said Mr Nyalandu, adding that he was aware that Tanzania was an expensive destination already even before VAT was slammed on the industry.
Daily News
SOMA KILICHOMFUKUZISHA KASEJA SIMBA SC

Simba ilipokea kipigo hicho, katika mchezo wa funga dimba wa Ligi Kuu Bara uliopigwa Mei 18 kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam ambapo Kaseja Ndiye aliyekaa langoni.
Sports Lady Blog imezinyaka habari za kuaminika toka ndani ya uongozi wa Simba zinaeleza kwamba, kitendo kile kimewaudhi sana viongozi kwani mabao aliyofungwa yalionbekana dhahiri kuwa yalitokana na uzembe wake.
Kiongozi mmoja wa Simba aliliambia gazeti hili kwamba, pamoja na mapungufu yote aliyonayo Kaseja lakini walikerwa zaidi na kufungwa kwake.
“Hivi unavyomfahamu wewe Kaseja anaseweza kufungwa mabao kama yale, kwa kweli hilo limetacha na maswali mengi kichwani, imetkera sana mwache aende zake,”alisema
Akienda mbali zaidi, kiongozi huyo ingekuwa vizuri zaidi kama Kaseja angeweza kuonesha umahiri wake na kuondoa dhana mbovu dhidi yake, lakini kitendo cha kukubali nyavu zake kutikiswa kilitoa jawabu juu ya maswali walitokuwa nayo.
Hivi karibuni kumekuwa na utata juu ya Kaseja kusajiliwa tena kwenye kikosi cha Simba baada ya mkataba wake kumalizika huku baadhi wakitaka aongezwe na wengine wakipinga.
Hata hivyo, Mwenyekiti wa klabu hiyo Alhaj Ismail Aden Rage, Kaimu Makamu Joseph Itang’are ‘Kinesi’ na Mwenyekiti wa kamati ya usajili, zakaria Hanspoppe kwa nyakati tofauti walisema Kaseja hawezi kuongezwa mkataba.
Viongozi hao walitoa kauli hizo bila ya kueleza wazi sababu za kumuacha kipa huyo namba moja wa timu ya Taifa ‘Taifa Stars’ ambaye ameitumikia klabu hiyo karibu miaka 10.
Huku hayo yakiendelea, Kaseja mwenyewe ameendeklea kukaa kimya na hata alipotafutwa kuzungumzia hilo hakuwa tayari.
Na Dina Ismail
Subscribe to:
Posts (Atom)