Pages

Hatimae Mbowe, Lema Wajisalimisha Polisi

 Mbowe, Lema
Mwenyekiti wa Chadema Mh Freeman Mbowe na Mbunge wa Arusha Mjini Mh Godbless Lema hivi sasa bado wanahojiwa na Polisi baada ya Kujisalimisha kutokana na Maagizo ya Polisi ya kutaka kuwahoji kuhusiana na Tukio la Mlipuko wa Bomu Arusha. Baada ya Mohojiano hayo wanatarajia kushiriki kuaga mwili wa Marehemu Judith Moshi aliyekuwa Mwenyekiti wa Bawacha Arusha, anayeagwa leo na kutarajia kuzikwa mjini Arusha leo.
Chadema blog

Usibonge - K Doo ft Chaba (Grandmaster) Audio

Usibonge - K Doo ft Chaba(Grandmaster

Maandalizi ya Sherehe za Miaka Mitatu ya Vijimambo

Washington DC, Maryland na Virginia Blog ya Vijimambo ikishirikiana na Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini, Washington, DC, Marekani na Jumuiya ya Watanzania waishio Washington DC, Maryland na Virginia wanapanga kusheherekea miaka 3 ya Vijimambo na kukuletea tamasha ni kuendeleza lugha na utamaduni wa Kiswahili hapa Marekani ili watoto wanaoishi huku waweze kuendeleza matumizi ya lugha hii na utamaduni wake kizazi hadi kizazi. Siku ya July 6, 2013 hapa DMV kwenye Hall la Hampton Conference Center lililopo 207 w Hampton Pl,Capitol Height, MD
 Vijimambo
Mambo mengi yatakuwepo, Vikundi mbalimbali vya utamaduni, wanamitindo ya mavazi mbalimbali kuwakilisha, vyakula vya Kitanzania, Wasanii kutoka nyumbani Shilole na Masanja wakishirikiana na hapa Marekani yote ni kudumisha utamaduni wetu wa kiswahili
HOTEL KWA WAGENI
Tumeongeza vyumba 35 Hotel ya Country Inn & Suites
Na unapopiga simu uliza SWAHILI CULTURE IN USA kusudi upate unafuu wa bei nambari ya simu ni 301 350 8088 na Addrees ni
8850 Hampton Malls Drive North
Capitol Heights, MD 20843

Hotel za jirani na hapa ni
Hampton Inn
9421 Largo Dr West,
Largo, MD 20774
simu ni 301 499 4600

Extended Stay American
9401 Largo Drive West,
Largo, MD 20774
simu ni 301 3339139

Confort Inn
56 Hampton Park Blvd
Capitol Heghts, MD20743
Simu ni 301 336 8900

A Town Girls - Beautfull (Audio)

A town Girls - beautfull

MAONYESHO YA 37 YA SABA SABA 2013, TAN TRADE YATOA SEMINA KWA WASHIRIKI MBALI MBALI

Washiriki mbali mbali kutoka katika mashirika na vyama mbali mbali vya ujasiriamali  kutoka nje na ndani ya Tanznia leo wamepatiwa semina yenye  mafunzo mbali mbali katika maandalizi ya  maonyesho ya 37 ya saba saba  yatakayoanza hivi karibuani  katika viwanya vya Mwalimu nyerere vilivyopo kilwa road jijini  Dar es salaam.

Akifungua semina hiyo  iliyofanyika leo mkurugenzi wa Tan Trade  bi Anna F.Bulando ameelezea maonyesha haya ya 37 kuwa yatakuwa maonyesho makubwa ya kimataifa na ya kipekee kufanyika jijini Dar es salaam ukilinganisha na maonyesho ya miaka mingine kwani maonyesho haya yatashirikisha nchi nyingi zaidi  kuliko miaka  yote.
Nchi zitakazoshirkia katika maonyesho ya mwaka huu  zimeongezeka kutoka nchi 11 zilizoshiriki mwaka jana na kuongezeka hadi kufikia nchi 32  ambazo zitashiriki katika maonyesho hayo mwaka huu.
mada zipatazo sita zimeweza kujadiliwa na kutolewa mafunzo kwa washiriki ili kuhakikisha kuwa wanafuata na kuzingatia  hatua hizo ambazo kama wakifuata na kuheshimu basi watapata mafanikio makubwa katika biashara zao na pia kuzidi kuwa vutia washiriki wengine ambao bado hawajaonyesha nia ya kushirikia maonyesho ya saba saba.

baadhi ya mada au masomo yaliyotelewa kati ya sita ni elimu juu ya wajibu wa kila mshiriki  kuhusu afya,usalama wa vyakula  na usafi wa mazingira uliotolewa  na afisa afya wa manispaa ya  Temeke bwana William muhemu.

Ambapo alikazia zaidi kuhusu kila mshiriki kuhakikisha kuwa wakati wa maonyesho h ayo kila moja anakuwa msafi na kufuata kanuni za afya  ili kuhakikisha kuwa shughuli zote za  maonyesho ya 37 ya saba saba yanakwenda vizuri bila kutekea kwa maambuzi ya magonjwa ya mlipuko ambayo mara nyingi hutokea katika mikusanyiko mikubwa ya watu ambao hawafuati  sheria na taratibu za afya  pindi waendapo na watokapo katika maliwat na pia katika ulaji mbaya ambao mara nyingi  watu hujikuta wakilishwa kinyesi cha binadamu bila wao kujua  kutokana na kula katika magenge  ya watu wanaotoa huduma bila kuwa wasafi na hivyo kusabisha kulipuka kwa magongwa ya milipuko kama kipindu pindu.

  mada nyingine iliyopata wasaa wa kujadiliwa ni pamoja na mada ya  upakiaji  au auandaa na usafishaji wa bidhaa  ambao  uanatakiwa uwe na viwango madhubiti unaokubalika na mamlaka  ya  viwango Tanzania TBS kwa kuhakikisha kila mjasirialamali anafuata  njia sahihi za uandaa na usindikaji wa bidhaa yake katika  viwango vinavyokubalika na Tbs mada hiyo ilitolewa na  bi Mary Meela kutoka TBS.

Mada nyingine ni masoko ya ndani na nje  na  mfumo wa  ufuatiliaji  na masoko ya kimataifa  iliyotolewa na Bwana Pius Mikingoti  wa GS1  Tanzania, mada nyingine ni madaraja na viwabgo vya bidha  vinavyotengezwa na kusafirisha  au kuuzwa kwa mteja /mlaji au mtuamiaji  iliyotolewa na Bwana kiteka na  mada nyingine ni kuhusu kodi  ambayo mada hii imeandaliwa na kutolewa na bi. Rose Mahendeke  kutoka TRA.

IDD SIMBA NA WENZAKE WAACHIWA HURU KATIKA KESI YA KUHUJUMU UCHUMI

KESI Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam leo hii imemwachiria huru Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Usafiri Dar es Salaam (UDA), Idd Simba pamoja na Mkurugenzi wa Bodi hiyo ambaye alikuwa Diwani wa Kata Sinza (CCM), Salum Mwaking’inda vile vile Meneja Mkuu wa shirika hilo Victor Milanzi na Mkurugenzi wa Kampuni ya Simon Group , Simon Kisena waliokuwa wakikabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi wa shirika hilo.
Mahakama imewaachia huru washitakiwa kwa sababu Mkurugenzi wa Mashitaka (DPP), Dk Eliezer Feleshi alliwasilisha hati ya kutokuwa na haja ya kuendelea kuwashitaki washitakiwa hao chini ya kifungu cha 91(1) cha Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai ya mwaka 2002.

Simba anayetetewa na wakili maarufu nchini Alex Mgongolwa walifikishwa na mahakamani hapo kwa mara ya kwanza Mei 27 28 mwaka jana wakikabiliwa na makosa ya kula njama, matumizi mabaya ya madaraka na kughushi na hujumu uchumi.
Hivyo kuanzia sasa, washitakiwa hao wapo huru.
Happiness Katabazi

Viongozi wa Chadema na Wananchi Waachiliwa Huru kwa Dhamana.. (Video)

Jeshi la polisi nchini limewaachilia kwa dhamana viongozi wa Chadema na wananchi wote waliokuwa wanashikiliwa na limemtaka mwenyekiti wa Chadema Mh. Freeman Mbowe kuwasilisha ushahidi wa mtu aliyelipua bomu kwenye mkutano kwa Mh. Rais kama hana imani na jeshi la polisi.

Madam Rita na Water Chilambo Wakizindua Bongo Star Search 2013 (Video)

Shindano la kusaka vipaji vya uimbaji muziki la Epiq Bongo Star Search, EBSS, leo limezinduliwa rasmi jijini Dar es Salaam. Uzinduzi huo uliofanyika makao makuu ya Zantel umehudhuriwa na Mkurugenzi wa Benchmark Production, Rita Paulsen a.k.a Madam Rita ambaye ni mwanzilishi na mmoja wa majaji shindano hilo, Afisa Biashara Mkuu wa Zantel, Sajid Khan pamoja mshindi wa shindano hilo mwaka jana, Walter Chilambo.

POETRY ADDICTION Ya FidQ Na CheusiDawaTV Ni Mwezi Huu..!

Poetry Addiction ni kitu kipya kitakachoanaza hivi karibuni chini ya uangalizi wa Fid-Q na CheusiDawaTV … Wameandaa kitu TAREHE 29 JUNE kwa ajili yako … Itahusisha wasanii na activities zingine in it … Wanna know more???? … Check hapa chini;
Poetry Addiction

Did You Know? CRACKING YOUR KNUCKLES DOES NOT ACTUALLY HURT YOUR BONES OR CAUSE ARTHRITIS.

FACTS THE SOUND YOU HEAR IS JUST GAS BUBBLES BURSTING.
Cracking your knuckles (or any of your joints) can have therapeutic benefits. When you crack one of your joints you are pulling the bones that are connected at the joint apart from each other. This process stimulates your tendons, relaxes your muscles, and loosens your joints. Chiropractors do this for spinal joints when your back is sore and stiff, but you can do this on your own for your knuckles, toes, knees, neck, etc.

Unfortunately, there can be too much of a good thing. Cracking your knuckles will never lead to arthritis (despite what your mom keeps telling you), but scientists have discovered that it can cause tissue damage in the affected joints. Knuckle-cracking pulls your finger bones apart which stretches your ligaments. Too much stretching of your ligaments will cause damage to your fingers akin to the arm injuries sustained by a baseball pitcher who throws too many pitches. In addition to making your hand really sore, this ligament damage can also result in reduced grip strength.
How does this work? Your joints, the places in your body where you can bend, are where your bones intersect and are held together by ligaments. These joints are surrounded by a liquid called synovial fluid. When you stretch your ligaments by pulling the bones apart to crack your knuckles a gas in the synovial fluid escapes and turns into a bubble. This process is called cavitation. Cavitation ends when the bubble eventually bursts, producing that popping sound we know and love. After that, your joints won't be able to crack for another 25-30 minutes while the gas gets reabsorbed into the synovial fluid.
OMG FACTS