MWANA FA AFUNGUKA KUHUSU BIFU LAKE NA LADY JAYDEE (Audio)
Baada ya kutibuana na Lady Jaydee, Mwana FA ameamua kuvunja ukimya na kuwataka mashabiki wachukulie poa maana ni hali ya kawaida tu katika maisha ya kibinadamu..... Ugomvi wa wasanii hawa ulianza baada ya Mwana FA ku re -tweet post moja ya shabiki wake ambayo ilikuwa ikiiponda show ya Lady Jaydee...
Lady jaydee alijaribu kumuonya mara kadhaa lakini FA hakusikia na badala yake aliretweet post ya shabiki mwingine ikimponda Lady Jaydee....
Uvumilivu ulimshinda Lady Jaydee na kuamua kujibu mashambulizi kwa kumuita Mwana Fatuma na na mengine mengi.....
Wasikilize hapo chini wakifunguka
Mahojiano na Balozi wa Umoja wa Afrika (AU) Nchini
Karibu katika sehemu ya kwanza kati ya mbili za mahojiano kati ya Jamii
Production na Balozi wa Umoja wa Afrika (AU) nchini Marekani Mhe. Amina
Salum Ali.
Katika sehemu hii, Mhe Amina ameeleza mengi ikiwemo...
1: Historia ya maisha yake.
2: Aliingia vipi kwenye kazi ya diplomasia?
3: Ni nini wajibu wake? Anawajibika kwa nchi ya Marekani ama na mashirika ya kimataifa kama IMF na World Bank?
4: Ni wapi ulipo mpaka kati ya majukumu ya mabalozi wa nchi wanachama wa AU na yeye anayewakilisha Umoja?
5: AU ina mikakati gani katika kufunda ama kuwalea viongozi wa afrika?
6: Kuna MAFANIKIO GANI ya Umoja wa Afrika hasa ukizingatia kuwa tangua kuanzishwa kwake tumeshuhudia nchi zikizidi kugawanyika badala ya kuungana kama Ethiopia na Eritrea na hata Sudan na Sudan ya Kusini?
7: Ni nini kinachokwamisha Umoja wa Afrika katika migogoro kama ya Kongo?
8: Nchi zetu ziko huru, zinajitawala, lakini ni kwa MANUFAA YA NANI?
9: Ni kweli kuwa Umoja wa Afrika unaendelea kuwepo si kwa mafanikio yake, bali kwa kukosekana kwa UMOJA M'BADALA?
10: Ni kweli kuwa kuna mamluki wanaokwamisha harakati za Umoja wa Afrika toka nje ya bara letu?
11: Tofauti ya mifumo ya utawala na nguvu za kijeshi na uchumi zinaathiri vipi UMOJA WA AFRIKA?
KARIBU UUNGANE NASI

Rasimu ya Katiba Chadema Waitisha Kikao cha Dharura
Chama cha demokrasia na maendeleo Chadema kimeitisha kikao cha dharura
cha kamati kuu kujadili na kutoa msimamo wa rasimu ya katiba mpya na
kuwataka Watanzania kutokua na haraka kuendelea kuichambua rasimu kwa
makini ili kuiboresha.
World’s Oldest Man Ever Dies in Japan Aged 116.
Jiroemon Kimura, who was also the world’s oldest living person, was admitted to a Kyoto hospital for pneumonia in May but passed away in the early hours of Wednesday morning.
The Guinness World Records said Mr. Kimura was crowned the world’s oldest person on December 17, 2012, after the death of former title holder, a 115-year-old US woman.
He was asked about the secret to his long life on his 115th birthday.
He said “I don’t know exactly,”.

“Maybe it’s all thanks to the sun above me. I am always looking up towards the sky, that is how I am.”
He was born on April 19, 1897 the same year as former British prime minister Anthony Eden, Nazi propagandist Joseph Goebbels and children’s writer Enid Blyton.
Mr Kimura worked at his local post office and also did some farming at his home after retiring.
He leaves seven children, 14 grandchildren, 25 great-grandchildren, and 15 great-great-grandchildren.
Japan has more than 50,000 people who are aged 100 and over, 2011 government data showed, reinforcing its reputation for longevity.
The world’s longest living woman, 115-year-old Misao Ookawa, also comes from Japan and is now set to gain the title of the oldest person on the planet.
Mo

Kali TV Online: Meet Sierra Leone's Refugee Band
Kali TV sat down with Sierra Leone Refugee All Stars band to discuss
their journey from a refugee camp in guinea to performing in big stages
all around the world. The band is a potent example of the redeeming
power of music and the ability of the human spirit to persevere through
unimaginable hardship and emerge with optimism intact. From their humble
beginnings in West African refugee camps, Sierra Leone's Refugee All
Stars have performed on some of the world's most prestigious stages and
matured into one of Africa's top touring and recording bands.
Subscribe to:
Posts (Atom)