
Making of Fast and Furious 6 - Racing/Stunt Scene - Behind The Scenes
Vin Diesel, Paul Walker and Dwayne Johnson lead the returning cast of all-stars as the global blockbuster franchise built on speed races to its next continent in Fast & Furious 6. Reuniting for their most high-stakes adventure yet, fan favorites Jordana Brewster, Michelle Rodriguez, Tyrese Gibson, Sung Kang, Gal Gadot, Chris "Ludacris" Bridges and Elsa Pataky are joined by badass series newcomers Luke Evans and Gina Carano. Since Dom (Diesel) and Brian's (Walker) Rio heist toppled a kingpin's empire and left their crew with $100 million, our heroes have scattered across the globe. But their inability to return home and living forever on the lam have left their lives incomplete.
HOTEL KWA WAGENI WA SHEREHE YA MIAKA 3 NA TAMASHA LA UTAMADUNI WA KISWAHILI
Hii ndio Country Inn & Suites Vijimambo iliyojiandikisha kwa ajili ya Wageni wanaotoka nje ya DMV. Nyumba hii ya kulala wageni haiko mbali na ukumbi utakaofanyikia sherehe ya miaka 3 ya Vijimambo itakayoambatana na tamasha la utamaduni wa kiswahili Marekani. Unachotakiwa kufanya ni kupiga simu 301 350 8088 na ulizia unapiga kwa ajili ya SWAHILI CULTURE IN USA na wao watakubukia chumba kwa bei nafuu.
Siku tulizojiandikisha ni kuanzia Ijumaa Julai 5 na Jumamosi Jualai 6, 2013.
Anuani yao ni
Country Inn & Suites By Carlson,
8850 Hampton Mall Drive North,
Capitol Heights, MD 20743
Juu na chini ni vyumba vinavyoonekana.
Chumba cha mazoezi
Asante na Karibuni sana
Skuli ya Uweleni Yafungwa Siku ya Pili Sasa Baada ya Wanafunzi Kuchagawa
Vituko hivyo vinajiri baada ya skuli hiyo kufanyiwa ukarabati mkubwa na tokea wanafunzi waanze kuyatumia madarasa ‘mapya’ wamekuwa wakikumbwa na mkasa huo na kusababisha tafrani kubwa kiasi kwamba walimu wanashindwa kufundisha kwa utulivu.
Kutokana na tafrani hiyo, Kamati ya Uongozi ya skuli hiyo ilikutana na wazazi wa wanafunzi jioni ya juzi na kuamua wanafunzi hao waendelee kubaki majumbani mwao huku ufumbuzi wa kadhia hiyo ukitafutwa.
Baadhi ya wazazi na wanafunzi wa skuli hiyo, wameihusisha hali hiyo na imani za kishirikina, ambapo wamesema kabla ya kufunguliwa tena skuli, ilibidi kutolewe kafara kwa kuchinjwa ngo’mbe.
Hata hivyo kuna tetesi kuwa, matukio hayo yana mkono wa baadhi ya wananchi, ambao walitaka kabla ya skuli hiyo kufunguliwa achinjwe ng’ombe kwanza kitendo ambacho hakikufanyika.
Mwenyekiti wa kamati ya skuli hiyo, Maalim Hemad Ali alisema hali ya wanafunzi kuchagawa iliyojitokeza skulini hapo ni ya kutisha na inaweza kuhatarisha maisha ya wanafunzi, walimu na skuli kwa ujumla.
“Hali ni ngumu, wanafunzi wanapiga makelele ya kutisha, wanajirusha na....
Indiana Pacers Vs Miami Heat -Game 5 | Full Game Highlights | NBA East Finals 2013
LeBron James scores 30 points, 6 assists & grabs 8 rebounds as the
Heat defeat the Pacers,90-79 to take a 3-2 series lead in Game 5 of the
Eastern Conference Finals.
Subscribe to:
Posts (Atom)