Pages

HOTEL KWA WAGENI WA SHEREHE YA MIAKA 3 NA TAMASHA LA UTAMADUNI WA KISWAHILI

SWAHILI CULTURE IN USA
Hii ndio Country Inn & Suites Vijimambo iliyojiandikisha kwa ajili ya Wageni wanaotoka nje ya DMV. Nyumba hii ya kulala wageni haiko mbali na ukumbi utakaofanyikia sherehe ya miaka 3 ya Vijimambo itakayoambatana na tamasha la utamaduni wa kiswahili Marekani. Unachotakiwa kufanya ni kupiga simu 301 350 8088 na ulizia unapiga kwa ajili ya SWAHILI CULTURE IN USA na wao watakubukia chumba kwa bei nafuu.
Siku tulizojiandikisha ni kuanzia Ijumaa Julai 5 na Jumamosi Jualai 6, 2013.
Anuani yao ni
Country Inn & Suites By Carlson,
8850 Hampton Mall Drive North,
Capitol Heights, MD 20743
Country Inn & Suites By Carlson,
Juu na chini ni vyumba vinavyoonekana.
TAMASHA LA UTAMADUNI WA KISWAHILI
TAMASHA LA UTAMADUNI WA KISWAHILI
Chumba cha mazoezi
Asante na Karibuni sana

One Incredible - Get Em (Video)

Arvind Mahankali wins 2013 Scripps National Spelling Bee (Video)

Hapo Vipi Mdau?! (Video)

Mo Plus Ft Defxtro - Sixteen (Video)

Skuli ya Uweleni Yafungwa Siku ya Pili Sasa Baada ya Wanafunzi Kuchagawa

Skuli ya Uweleni
Na Habiba Zarali, Pemba  -- UONGOZI wa skuli ya sekondari ya Uweleni Pemba, umelazimika kuwazuiya wanafunzi wote wasiende skuli kwa siku ya pili sasa baada ya wanafunzi kuendelea kuchangawa mashetani.
Vituko hivyo vinajiri baada ya skuli hiyo kufanyiwa ukarabati mkubwa na tokea wanafunzi waanze kuyatumia madarasa ‘mapya’ wamekuwa wakikumbwa na mkasa huo na kusababisha tafrani kubwa kiasi kwamba walimu wanashindwa kufundisha kwa utulivu.
Skuli ya UweleniJuzi Jumatano (jana), uongozi wa skuli ulilazimika kuwarejesha makwao, wanafunzi wote baada ya hali ya hali kuwa mbaya huku wanafunzi wakianguka na kupiga kelele hovyo huku wengine wakitimua mbio.
Kutokana na tafrani hiyo, Kamati ya Uongozi ya skuli hiyo ilikutana na wazazi wa wanafunzi jioni ya juzi na kuamua wanafunzi hao waendelee kubaki majumbani mwao huku ufumbuzi wa kadhia hiyo ukitafutwa.
Baadhi ya wazazi na wanafunzi wa skuli hiyo, wameihusisha hali hiyo na imani za kishirikina, ambapo wamesema kabla ya kufunguliwa tena skuli, ilibidi kutolewe kafara kwa kuchinjwa ngo’mbe.
Hata hivyo kuna tetesi kuwa, matukio hayo yana mkono wa baadhi ya wananchi, ambao walitaka kabla ya skuli hiyo kufunguliwa achinjwe ng’ombe kwanza kitendo ambacho hakikufanyika.
Mwenyekiti wa kamati ya skuli hiyo, Maalim Hemad Ali alisema hali ya wanafunzi kuchagawa iliyojitokeza skulini hapo ni ya kutisha na inaweza kuhatarisha maisha ya wanafunzi, walimu na skuli kwa ujumla.
“Hali ni ngumu, wanafunzi wanapiga makelele ya kutisha, wanajirusha na....

Indiana Pacers Vs Miami Heat -Game 5 | Full Game Highlights | NBA East Finals 2013

LeBron James scores 30 points, 6 assists & grabs 8 rebounds as the Heat defeat the Pacers,90-79 to take a 3-2 series lead in Game 5 of the Eastern Conference Finals.

Snoop Lion - Ashtrays and Heartbreaks ft. Miley Cyrus (Video)

Ile Video ya Wabunge Nusura Warushiane Makonde na Matusi Kibao Bungeni.. Hii Hapa!

Almanusura baadhi ya wabunge wa bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania warushiane makonde bungeni, hali iliyomlazimu naibu spika wa bunge hilo Mh Job Ndugai kuliahirisha bunge isivyo utaratibu na kuamuru kamati ya maadili ya bunge kukutana huku baadhi ya waheshimiwa wakitupiana maneno ya kashfa pamoja na matusi.

50 Cent - Many Men (Video)

"you can't read between the lines , in the bible it says ' what goes around comes around. '
almost shot me , 3 weeks later; he got shot down. now it's clear that i'm here for a real reason. 'cause he got hit like I got hit but he ain't f**n breathing." -simply amazing2003