Pages

Floyd Mayweather Jr. vs. Canelo Alvarez: 'Money' Deserves Credit for Demanding Risky Fight

Floyd Mayweather Jr., who has sat atop the boxing heap for better than a decade, has had more than his share of critics. But he got to stick it to those critics on Wednesday when Mayweather announced he's going to fight Canelo Alvarez on Sept. 14 for the WBA/WBC super welterweight titles at the MGM Grand Garden on Showtime pay-per-view.
Mayweather isn't facing an old, faded fighter. Alvarez, despite 43 pro fights, won't turn 23 until July and is 13 years younger than Mayweather.
Floyd Mayweather JrFloyd Mayweather Jr. poses for photos with his father after beating Robert Guerrero. (AP)
He won't be fighting a guy moving up in weight, like he did when he bested Robert Guerrero on May 4. Alvarez is a natural super welterweight, and the two-pound concession worked into the contract won't have much of an impact on the bout. Though the super welterweight limit is 154 pounds, the fighters agreed that the limit at the weigh-in will be 152. To his credit, Alvarez said the two pounds were no problem and readily agreed.
By taking on Alvarez, Mayweather isn't facing a soft touch. Alvarez is 42-0-1 and, as he showed in an outstanding performance against Austin Trout on April 20, is not only one of the sport's biggest draws, he's one of its best fighters. He's a top 20 pound-for-pound fighter, at worst, and some think he belongs near the bottom of the top 10.
Leonard Ellerbe, the chief executive officer of Mayweather Promotions and Mayweather's biggest cheerleader, was a little over the top Wednesday when he said it is impossible for any active fighter to defeat Mayweather.
Mayweather is the best fighter in the world, though super middleweight Andre Ward is gaining ground quickly. But it is hardly impossible for Mayweather to be beaten.
Yahoo

Kamati ya Maadili na Uongozi Imerejesha Amani Bungeni.

Lile sakata lililosababisha bunge kuahirishwa mara mbili mfululizo na kusababisha bajeti ya wizara ya mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa kushindwa kuwasilishwa kutokana na baadhi ya wabunge kurushiana maneno ya kashfa na matusi na kutishiana kupigana ngumi limemalizika baada ya pande mbili zilizokuwa zikishutumiana kuombana radhi bungeni sambamba na kuundoa kurasa zilizosababisha kadhia hiyo.

The Team Sehemu ya Kumi na mbili ( Episode 12 )

Mabadiliko ya Ratiba Kuhusu Mwili wa Ndugu Yetu Albert Mangwea Kuwasili TZ

Kama kamati tunaomba kutoa taarifa kwamba mwili wa Ndugu yetu Albert Mangwea utafika siku ya jumapili ya tarehe 2/06/2013 saa nane mchana na sio siku ya jumamosi kama ilivyotaarifiwa hapo awali , Sababu za Mwili wa Albert Mangweha kushindwa kufika jumamosi kama ilivyopangwa ni kutokana Watanzania wenzetu waishio Afrika Kusini kuomba na wao kutoa heshima zao za mwisho .
Kwa Maana hiyo basi taratibu zote za kuaga mwili wa Albert Mangwea kwa Wakazi wa Dar es Salaam na maeneo ya Jirani zitafanyika siku ya Jumatatu ya tarehe 03/06/2013 kuanzia saa mbili asubui mpaka saa sita mchana , ambapo baada ya hapo safari rasmi ya kuelekea Morogoro kwa ajili ya mazishi itaanza. Tunaomba radhi kwa usumbufu wote uliojitokeza Asante

Simu Zisizosajiliwa Mwishon ni Kesho: TCRA

TCRA:
Mamlaka ya Mawasilino Tanzania, TCRA, imesema watumiaji wa simu ambazo hazikusajiliwa, watakatiwa mawasiliano ifikapo Juni Mosi mwaka huu.
Tamko hilo lilitolewa jijiji Mbeya na Mkurugenzi wa Sheria na Leseni wa mamlaka hiyo, Elizabeth Nziga wakati wa semina kuhusu utekelezaji wa sheria mpya ya mawasiliano ya elektroniki na posta ya mwaka 2010 kwa wadau mbalimbali.
Hiyo ni awamu nyingine katika mipango ya TCRA, kwani awali ilikuwa na kampeni za kuzima mitambo ya analogia nchi nzima na kuwataka wananchi kuingia katika mfumo wa dijitali ulioanzia katika Mkoa wa Dar es Salaam Desemba 31, mwaka jana.
Mikoa mingine iliyoingia kwenye mfumo wa dijitali ni Arusha, Tanga, Dodoma, Mbeya na Mwanza. Nziga alisema mamlaka hiyo inasisitiza kuwa hatua hiyo ni utekelezaji wa makubaliano kati yake na watoa huduma za mawasilino ya simu na kufikia usiku wa Juni Mosi, namba za simu ambazo hazikusajiliwa zitakoma. Mmiliki wake hataweza kuitumia kupiga wala kupokea siku.
Alisema kuwa ni muda mrefu umepita ambao ulitolewa kwa ajili ya kusajili namba za simu lakini watu wengi hawakuweza kufanya hivyo kwa wakati na badala yake wamekuwa wakitumia simu vibaya ikiwa ni pamoja na kufanya uhalifu na kutoa lugha chafu.
Katika hotuba ya Mkuu wa Mkoa wa Mbeya,
Abbas Kandoro, ilisema vyombo vya mawasiliano vimesaidia kukua kwa sekta mbalimbali .

MATOKEO YA KIDATO CHA SITA YAMETOKA. YATAZAME HAPA KWA URAHISI ZAIDI

Matokeo ya kidato cha sita (ACSEE
BONYEZA KWENYE LINK HAPO CHINI KUYASOMA KIURAHISI
MATOKEO YA KIDATO CHA SITA
Matokeo ya kidato cha sita (ACSEE) 2013 - Link 1
Matokeo ya kidato cha sita (ACSEE) 2013 - Link 2

Serikali Yaomba Uraia wa Nchi Mbili Kwenye Katiba

 Benard Membe
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, imeomba suala la uraia wa nchi mbili liwekwe kwenye Katiba mpya ili kuwawezesha Watanzania wanaoishi nje ya nchi kuchangia maendeleo ya nchi yao.
Hayo yalisemwa jana bungeni na Waziri wa Wizara hiyo, Benard Membe, wakati akiwasilisha makadirio ya mapato na matumizi ya bajeti ya wizara yake.
Membe alisema Watanzania wanaoishi nchi za nje wanaathirika sana na suala la uraia wa nchini mbili kwa kuwa kutokuwa na uraia wa nchi mbili kunawafanya wakose ajira za kueleweka, huduma za afya, elimu na kushindwa kuchukua mikopo katika taasisi za fedha kama wenzao wa nchi mbalimbali.

Alisema Rais Jakaya Kikwete hivi karibuni alikutana na Watanzania wanaoishi Ufaransa na Uholanzi na kuwahakikishia kuwa serikali yake inatambua na kuthamini michango yao hivyo kuwahimiza wakumbuke nyumbani.Membe alisema katika mkutano huo, Rais Kikwete aliwahamasisha Watanzania hao wawekeze kadri ya uwezo wao na wavutie washirika wao kuja kuwekeza hapa nchini.

Kuhusu changamoto kwenye balozi zake, Membe alisema ni za kiutawala na zingine ni za kibajeti kama ilivyoelezwa hivi karibuni katika ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG),.Alisema ubalozi wa Tanzania nchini Abu Dhabi na Muscat zilipata hati zenye shaka kufuatia matumizi mabaya ya fedha zilizotokana na makusanyo ya maduhuli.
Membe alisema kwa upande wa Abu Dhabi, hati hiyo yenye shaka ilisababishwa na Mhasisbu wa Ubalozi mdogo Dubai kupeleka kiwango pungufu benki kwa kiasi cha Dola za Marekani 20,000 ambazo ni sawa na Sh. milioni 33.
Kwa upande wa Muscat, Waziri Membe alisema maduhuli ya kiasi cha fedha za Oman 20,965 hazikupelekwa benki ndani ya wakati uliostahili kama kanuni za fedha zinavyoelekeza.
Alisema katika kukabiliana na changamoto hizo, hatua za kinidhamu zimechukuliwa kwa mujibu wa sheria za UAE za kukata mshahara wa mhasibu huyo kila mwezi ili kulipa fedha zilizopotea.
NIPASHE

Wenye Divisheni Ziro 30,000 Wapeta

Divisheni Ziro
Dar es Salaam. Wanafunzi 30,063 waliopata daraja sifuri katika matokeo yaliyopita, wameula baada ya kupandishwa hadi daraja la nne kutokana na ukokotoaji upya wa matokeo ya mtihani wa kidato cha nne yaliyofanywa na Baraza la Mitihani la Taifa (Nacte) na kutangazwa jana.
Marekebisho hayo yalifanyika baada ya kufutwa kwa matokeo ya awali yaliyotangazwa Februari 18, mwaka huu.
Kufutwa kwa matokeo hayo, ilikuwa ni utekelezaji wa sehemu ya mapendekezo ya Tume iliyoundwa na Waziri Mkuu Mizengo Pinda, baada ya wanafunzi 240,909 kupata daraja sifuri kwenye matokeo yaliyotangazwa mara ya kwanza.
Akitangaza matokeo hayo jana, Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk Shukuru Kawambwa alisema sasa watakaokuwa na sifuri ni 210,846 sawa na...

Assad Warns Israel as 'Rebels Flood Qusayr'

Lebanon
Syria's President vows to respond to Israeli attack as more than 1000 rebels bolster fighters in key city near Lebanon.
Syrian President Bashar al-Assad has threatened Israel with retaliation over future military aggression, as more than 1000 rebels rushed to the besieged city of Qusayr, near the border with Lebanon. George Sabra, the interim president of the Syrian National Coalition said on Friday that opposition fighters were flooding into Qusayr, which had been under rebel control for months until government troops moved to retake the town in Homs province two weeks ago.
"More than 1000 fighters from the Free Syrian Army from all over Syria are now joining the resistance inside Qusayr to defend against the foreign terrorist invaders, who are infiltrating our country from Lebanon and other places," Sabra said.
Assad, whose forces were battling alongside fighters from the Lebanese Shia movement, Hezbollah, to recapture Qusayr, said earlier in an interview with Hezbollah's Al Manar television that he was confident of victory.
"There is a world war being waged against Syria and...

MISS Tanzania mwaka 2000 AMTAJA REGINALD MENGI KUWA NDIYE BABA WA WATOTO WAKE MAPACHA ALIO JIFUNGUA

SOMA ALICHOKIANDIKA
MISS Tanzania