SILAHA ZILIZOPATIKANA KWENYE FAINALI YA COPPA ITALIA KATI YA LAZIO VS AS ROMA
Fainali ya mwaka huu ya Coppa Italia kwa mara ya kwanza imezikutanisha timu kutoka Rome, Lazio vs AS Roma hivyo timu zote zikacheza kwenye uwanja wake wa nyumbani (Stadio Olimpico ambao unatumiwa na timu hizo zote). Kutokana na mechi hiyo kuhusisha timu zenye upinzani mkali tena zikigombania kombe mamalaka za usalama walihisi kungeweza kutokea vurugu kubwa hivyo wakaimarisha ulinzi mkubwa kwenye mji huo na viunga vyote vya uwanja wa Stdio Olimpico.
Kufuatiwa ulinzi huo Polisi jijini Roma walikamata silaha nyingi ambazo zingeweza kutoa uhai wa mashabiki ambao wenye upinzani mkali kutokana na mapenzi yao kwa vilabu hivyo viwili vya mji huo - ilipatikana mishale na visu ambazo vingeweza kuharibu mchezo huo wa kihistoria.
Mchezo huo ulifanyika kwa amani na mwishowe Lazio walifanikiwa kubeba kombe la Coppa Italia kwa kuwafunga Roma 1-0, likiwa kombe la 7 la Coppa na la kwanza tangu mwaka 2009.

MACAULAY CULKIN OF HOME ALONE MOVIE, BEFORE AND AFTER

The Roma Gipsy Beggars of Park Lane: 30 Romanians Camp Out With Soiled Duvets and Cardboard Boxes in Exclusive London Street

Scene of squalor: Birds peck their way between the beggars sleeping rough in Park Lane - one of London's most expensive addresses

Sleeping it off: A Romanian uses duvets and a mattress to turn a park bench into a bed. 'We're waiting for your Government to give us jobs and somewhere to live,' says their leader

Rise and shine: The women prepare to spend the day begging for money and scavenging for food

First cigarette of the day: A gipsy lights up while another huddles in blankets among the camp's detritus
Bagged up: It is the women's job to put theduvets in plastic sacks to keep dry
*A group of 30 Romanians are camped out near Marble Arch in London
*Leader of Westminster Council says it's 'a source of absolute frustration'
*A group of 30 Romanians are camped out near Marble Arch in London
*Leader of Westminster Council says it's 'a source of absolute frustration'
Using a rusting pair of scissors to trim his greying beard, Vasile declares his love for the Queen.
‘It is the Queen who helps and protects her people,’ he says, brushing the hair clippings from the duvet under which he has been sleeping rough.
‘The Queen cares for her people — everyone knows that. That is why we came from Romania, so she can help us, too.’
The 52-year-old Roma gipsy is one of about 30 Romanians sleeping on a now grubby patch of grass on a central reservation in London’s Park Lane near Marble Arch.
The rag-tag encampment with rows of soiled duvets, battered suitcases and cardboard boxes is in stark contrast to the nearby luxury car showrooms and pristine Georgian terraces.
As the city comes to life shortly after dawn, bare feet are thrust into grimy trainers and flip-flops, and lighters flare as the first cigarettes of the day are sparked up.
The younger women are dispatched to get coffee from a café while the..

Waziri Membe Aelezea Umuhimu wa AU Kwa Nchi za Afrika
Wakati nchi za Afrika zikiadhimisha miaka 50 tangu kuwepo kwa umoja wao Tanzania imesema uwepo wa umoja huo umekuwa ni nguzo muhimu ya ustawi wa mataifa ya afrika ambapo viongozi walipo madarakani wameingia kwa njia ya demokrasia.
Akizungumza na mabalozi na viongozi mbalimbali waliohudhuria maadhimisho hayo yaliyofanyika jijini Dar es salaam ,waziri wa Mambo ya nje ya nchi Mh Bernard Membe amesema miaka ya nyuma Waafrika wengi walipoteza maisha kutokana na kuwepo kwa viongozi waliotaka madaraka kwa njia ya mtutu

SHUHUDIA JINSI MWANAMKE ALIVYOKUTWA JUU YA PAA LA NYUMBA NA KUHUSISHWA NA IMANI YA USHIRIKINA.

Tukio hilo lililochukua saa kadhaa lilitokea katika Kanisa la Yesu Kristo la Huduma ya Maombezi na Uponyaji linaloongozwa na Nabii Flora Peter lililopo Mbezi Beach Salasala, Dar hivi karibuni. Taarifa kutoka kwa mashuhuda wa tukio hilo ambao ni waumini wa kanisa hilo inadai kuwa mwanamke huyo, mkazi wa Bunju, Dar alifika kanisani hapo saa 4:45 asubuhi huku akiwa amebeba Biblia na pochi lake akionekana kuwa sawa waumini wengine.

Ilidaiwa kuwa muda mfupi baada ya maombi kuanza, katika hali isiyo ya kawaida, mwanamke huyo aliruka kupitia dirishani akapotea na kuacha waumini vinywa wazi.
Habari zilidai kuwa kuna baadhi ya watu walimuona kwenye paa ya nyumba ya watu waliojenga karibu na kanisa hilo, hali iliyozidi kusababisha mkusanyiko mkubwa wa watu wakiwemo askari wa Jeshi la Wananchi (JWTZ) waliokuwa wakimshangaa.
Wakati taharuki hiyo ikiendelea, mwanahabari wetu alitonywa kuwepo kwa tukio hilo ambapo aliwasha ‘tukutuku’ yake na kuwahi eneo la tukio.

Akizungumzia tukio hilo, mmoja wa viongozi wa kanisa hilo aliyejitambulisha kwa jina la Octavian Mahembe alikuwa na haya ya kusema:
“Nakumbuka kulikuwa na waumini wengi kanisani, walikuja kwa ajili ya maombi, huyo mwanamke naye alikuja hapa kama waumini.
“Ilipofika saa 5:00: asubuhi watu wakawa wanasubiri maombi, baadaye nabii naye akawa amefika na kuanza kutoa maombi. Baada ya maombi kuanza, yule mwanamke alianza kuhangaika, akawa anahamahama, hatulii sehemu moja.
“Watu waliokuwa wanataka kuombewa waliambiwa wapite mbele.
“Yule mwanamke alikurupuka na kurukia ukuta wa futi sita na nusu, akadondoka nje.
“Nabii alisema afuatwe ili aombewe, alidai kwa kuwa si mtu mwema ni hatari na...
Tanzania Illivyowakilishwa Kwenye Africa Day 2013-Golden Jubilee Gala Dinner
Rais wa Jumuiya ya Watanzania DMV Bw. Iddi Sandaly kiwa na Abdul (katikati) pamoja na Mwana Mitindo mbunifu wa (Kwetu Fashion Design) Khamisa a.k.a Missy Temeke.
Kaimu Balozi wa Tanzania nchini Marekani na Mexico Mhe.Lily Munanka, akiwa na baadhi ya...
Subscribe to:
Posts (Atom)