Pages

ASKOFU MKUU NORBERT MTEGA AMEKUBALIWA KUSTAAFU

Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Songea, Norbert Mtega
Mtakatifu Francis, amekubali ombi la Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Songea, Norbert Mtega (68),pichani, kustaafu katika utume wa kuongoza jimbo hilo.Taarifa iliyotolewa leo kwa vyombo vya habari na Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Anthony Makunde, kutoka kwa Balozi wa Papa nchini, Askofu Mkuu Frascisco Padilla, ilieleza kuwa, Papa amekubali ombi hilo.
Kwa mujibu wa taarifa hiyo, ombi la Askofu Mtega kwa Papa, lilitokana na kuwa na matatizo ya kiafya, hivyo kushindwa kuwahudumia waumini inavyopaswa. Hata hivyo, kikanisa ni siri ya mtu mwenye hadhi ya Askofu, anapoomba kwa Papa kustaafu.
“Baba Mtakatifu Francis amekubali ombi la Mhashamu Askofu Mkuu Norbert Mtega, kustaafu kutoka majukumu ya utawala wa kichungaji wa Jimbo Kuu la Songea, kwa sababu ya..

FA ft NJENJE,MANDOJO NA DOMOKAYA - KAMA ZAMANI (Audio)

FA ft NJENJE,MANDOJO NA DOMOKAYA - KAMA ZAMANI

Video ya Mazungmzo Kati ya Gadner,Linah na Barnaba Kuimba MIAKA 13 ya LADY JAYDEE

Kanye West's $750,000 Lamborghini is CRUSHED as it's Trapped by Girlfriend Kim Kardashian's Electric Gates

 Los Angeles
It's just not his month! Kanye West's $750,000 Lamborghini Aventador was seen being crushed by Kim Kardashian's electric gates as it was delivered to her Los Angeles house following a service on Tuesday
Kanye West's $750,000 Lamborghini
He's not been having the most successful of months.
And just days after his stumble into a New York street sign was caught on camera, Kanye West's stunning $750,000 Lamborghini has been crushed after getting trapped in Kim Kardashian's electric gates.
The matte black vehicle was being delivered back to Kanye's pregnant girlfriend's Los Angeles house by a driver following a service when the incident occurred.
 Kim Kardashian's Electric GatesTaking things too slow: The car could be seen heading into the property when the gates began to close
It hurts: Kanye clutched his head in pain as Kim tried to assess the damage while standing outside the restaurant Heavily pregnant Kim also looked on with deep concerned after her man hit his head, grabbing his arm, trying to coax him.
However, after going into the restaurant to nurse his wounds, Kanye did not calm down. Instead, the rapper came back out of the eatery and started yelling at a photographer.
Caught on video by TMZ Kayne screams: 'Don't take another photo man. All you stop it.'
Kanye looked equally grumpy as he left Kim's house on Saturday morning in Los Angeles sporting a giant protrusion just below his hairline.
The proud rapper strode manfully down the Manhattan sidewalks with his eyes fixed firmly ahead of him

VUVUZELA - COMEDY 13/MAY/2013 B

Lipumba: Kuna Njama za Kumwongezea JK Muda

Baraza Kuu la CUF, Profesa Lipumba Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahimu Lipumba amedai kuwa amenasa taarifa za siri za kuwapo kwa mipango ya kuongeza muda wa Serikali ya sasa kukaa madarakani.
Profesa Lipumba alisema hiyo inatokana na wasiwasi kuwa mchakato wa Katiba Mpya hautaweza kukamilika mwaka 2014 hivyo kutokuwa rahisi kwa uchaguzi kufanyika mwaka 2015.

Akizungumza Dar es Salaam jana, wakati akifungua kikao cha Baraza Kuu la CUF, Profesa Lipumba alisema kuwa Serikali inataka kuongezewa muda wa kukaa madarakani kwa miaka miwili ikimaanisha kuwa Serikali ya Awamu ya Nne chini ya Rais Jakaya Kikwete itakaa madarakani hadi mwaka 2017.
Hata hivyo, madai hayo ya Profesa Lipumba yamepingwa vikali na Serikali na viongozi wake watatu waandamizi ambapo walijibu walipoulizwa kwa maandishi na mwandishi wetu mjini Dodoma wanakohudhuria kikao cha Bunge.
Waziri wa Katiba na Sheria, Mathias Chikawe alijibu: “Mchakato wa Katiba upo ‘on track’ (unakwenda vizuri) hatuna sababu ya kufanya hivyo.”

Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema alijibu” “Njooni ofisini kwangu nitasema ni...

MAGAZETI YA UDAKU HATARINI KUFUNGIWA , NI KUTOKA BUNGENI

MAGAZETI YA UDAKU
MAGAZETI yanayochapisha picha zenye kukiuka maadili hususan za wanawake kwa kuwageuza malighafi ya kujiingizia kipato, yamemulikwa bungeni huku Serikali ikihojiwa sababu za kutoyachukulia hatua.
Mbunge wa Konde, Khatib Saidi Haji (CUF) alihoji hayo kwenye swali la nyongeza baada ya kujibiwa swali la msingi ambalo alitaka kufahamu ni aina gani ya makosa yanaweza kusababisha Serikali kuyafungia magazeti kama ilivyotokea kwa gazeti la Mwanahalisi.
Katika majibu ya msingi, Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Amos Makalla alitaja sababu mbalimbali za kufungia magazeti hayo.
HabariLeo

OMOTOLA JALADE JOINS HALLE BERRY AND OTHERS TO SUPPORT WOMEN WITH BREAST CANCER

 OMOTOLA JALADE Ekeinde is taking time out while she’s in Los Angeles to attend and support a very pertinent cause to Women Breast Cancer. Photo’s of her from the red carpet for EIF Revlon Run/Walk For Women. Omotola was among celebrities like Halle Berry, Andy Garcia and Julie Bowen from ‘Modern Family’.
The nationally acclaimed EIF Revlon Run/Walk For Women has touched the lives of millions of people by raising money to increase awareness, education, research, and diagnostic treatment services in the fight against women’s cancers.Created in 1994 by Lilly Tartikoff, Ronald O. Perelman and the Entertainment Industry Foundation, the EIF Revlon Run/Walks (Los Angeles & New York)
Lilly Tartikoff, Ronald O.

KICHAPO KWA RAIA WALIOKUWA WANAPINGA NYONGEZA YA POSHO ZA WABUNGE KENYA

Kenya 
Polisi nchini Kenya wametumia gesi ya kutoa machozi kuwatawanya waandamanaji waliokusanyika nje ya Majengo ya Bunge mjini Nairobi kupinga matakwa ya wabunge ya kutaka waongezewe mishahara yao.
Makundi ya kijamii yamesema kuwa, maandamano hayo yanaakisi hasira za Wakenya kuhusu wanasiasa ambao wanataka mishahara mikubwa baada ya kuchaguliwa katika uchaguzi wa Machi 4.

Waandamanaji waliwapa nguruwe hai damu kama nembo ya wabunge walafi, wanaojitakia makuu na wasiojali wananchi na ambao wanafyonza damu ya walipa kodi Kenya.
Hivi karibuni Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya alitoa wito kwa wabunge kutafakari kuhusu kuwahudumia wananchi badala ya kufikiria kujishughulisha na mkakati wa kujiongezea mishahara.
Rais Kenyatta amesema Kenya haiwezi kumudu
gharama kubwa za mishahara. Amesema huenda Kenya ikapoteza nafasi yake ya kiuchumi barani Afrika kutokana na bajeti kubwa ya mishahara.
Tume ya Mishahara Kenya SRC ilipunguza mishahara ya wabunge kutoka Shilingi 851,000 hadi 532,400 jambo ambalo limewakasirisha wabunge wapya.
Tume hiyo imeshikilia msimamo wake na kusema wabunge kamwe hawatapa nyongeza ya mishahara kwenye kipindi hiki kigumu katika uchumi wa Kenya.

Wabunge wa Kenya ni kati ya wabunge wanaopata mshahara mkubwa zaidi duniani.
Chanzo Idhaa ya Kiswahili ya Redio Tehran.

HABARI NJEMA KWA WASANII WA TANZANIA

Sheria ya Hakimiliki
Waziri wa Viwanda na Biashara ameagiza mabadiliko ya kanuni katika Sheria ya Hakimiliki ili kuhakikisha kwamba wasanii wa muziki hapa nchini wanapata mapato stahiki katika biashara ya “Ring Back Tones” (RBT). Mirahaba katika biashara ya miito ya simu na matangazo ya televisheni na radio. Ni mapato muhimu sana kwa wasanii. Angalau sasa tunaona mwanga. Tutaendelea kuishinikiza serikali kulinda wasanii na hakimiliki zao. Kabwe Z. Zitto, Mb