Pages

Huyu Hapa Victor Ambrose Calist,Dereva wa Bodaboda Mtuhumiwa Namba Moja wa Kanisa la Arusha!!

Victor Ambrose Calist
Mtuhumiwa mmoja kati ya tisa waliotiwa mbaroni na jeshi la polisi baada ya kutokea mlipuko wa bomu katika Kanisa la Mtakatifu Joseph Mfanyakazi amefikishwa mahakamani na kusomewa mashtaka 21 ya mauaji na kujaribu kuua.
Victor Ambrose Calist (20) ambaye ni dereva wa bodaboda na mkazi wa eneo la Kwa Mromboo jijini Arusha amesomewa mashtaka yake mbele ya Hakimu mkazi, Devotha Kamuzora.

Mtuhumiwa huyo anakabiliwa na mashtaka matatu ya mauaji ya watu watatu waliofariki dunia katika tukio ambalo
lililotokea Mei 5, mwaka huu.
Mawakili wa serikali, Haruna Matagane na Zachariah Elisaria wanadai Calist pia anatuhumiwa kwa makosa 18 ya kujaribu kuua. Hata hivyo makosa mengine bado hayajatajwa..
Pia polisi imewaachia huru raia wanne wa kigeni waliokuwa wakishikiliwa kwa tuhuma za kuhusika katika tukio hilo baada ya uchunguzi uliofanywa na jeshi hilo kwa kushirikiana na FBI na polisi wa kimataifa (Interpol), kubaini hawakuhusika kurusha bomu katika kanisa hilo.
Kwa Hisani ya .

WINNIE MANDELA ORDERED TO SELL HER POSSESSIONS TO PAY DEBT

Madikizela-Mandela JOHANNESBURG, May 14 – A South African magistrate has ordered Winnie Madikizela-Mandela to auction off scores of paintings, sculptures and a silver tea set to pay off her debts, according to a court document seen on Tuesday.
Household goods belonging to the once revered anti-apartheid campaigner and ex-wife of Nelson Mandela, will go under the hammer next Tuesday to cover fees she owes to an upmarket Johannesburg private school, according to the order released by a Soweto sheriff.
A dining table set, 50 paintings, sculptures and a “room with books” are listed in the sale.
Madikizela-Mandela owes the school around 40,000 rand (Sh363,000) in accommodation fees for a family member, the Sowetan newspaper reported.
She earns around 900,000 rand (Sh8.1 million) a year as a member of South Africa’s parliament.
Mandela married Winnie five years before he was jailed for sabotage during his opposition to apartheid in 1963. The pair separated shortly before he became the country’s first black president after the end of minority rule in 1994. Mandela married Graca Machel, widow of Mozambican president Samora Machel, in 1998.
Controversy has followed Madikizela-Mandela closely in recent years.
She was convicted a decade ago for using her position as the ruling African National Congress women’s league leader to defraud a bank.
In March this year investigators said they were probing the “Mother of the Nation” for the murder of two men she accused of being apartheid spies in the 1980s.
Source: The Raw Story

Pata Kusikilza Stori ya Maisha ya Lady Jaydee (Audio)

Maisha ya Lady Jaydee

Three Little Birds | Bob Marley | LEGEND REMIXED (Video)

The fourth track on the album, "Three Little Birds," was remixed by Stephen Marley and DJ/producer Jason Bentley. This iconic Marley track will serve as the worry-free anthem for Hyundai's new Assurance Connected Care program, a new suite of features that allows drivers to feel safe and secure and enjoy a stress-free ownership experience. Prior to its television debut, "Three Little Birds" will be available starting May 14 for free download to the first 15,000 fans through Hyundai's Facebook and YouTube channels and also available for sale through all digital retailers.

Mjengo Anaoishi Babu wa Loliondo kwa Sasa

Babu wa Loliondo Babu wa Loliondo Babu wa Loliondo Babu wa Loliondo
Hii ni nyumba aliyokuwa anaishi Babu Ambi kabla Dozi ya Kikombe haijachanganya

Simba vs Yanga Jumamosi, Soma Viingilio

Simba na Yanga Kiingilio cha chini kwenye mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kati ya Simba na Yanga itakayochezwa Jumamosi (Mei 18 mwaka huu) kitakuwa sh. 5,000. Kiingilio hicho kwa viti vya rangi ya kijani ambavyo ni 19,648.
Kwa upande wa viti vya rangi ya bluu kiingilio ni sh. 7,000, viti vya rangi ya chungwa itakuwa sh. 10,000, VIP C kiingilio ni sh. 15,000, VIP B itakuwa sh. 20,000 wakati VIP A yenye viti 748 tu tiketi moja itapatikana kwa sh. 30,000.

Tiketi zitaanza kuuzwa siku moja kabla ya mchezo huo utakaoanza saa 10 kamili jioni.
Mwamuzi wa mechi hiyo atakuwa Martin Saanya kutoka Morogoro ambapo atasaidiwa na Samuel Mpenzu wa Arusha, na Jesse Erasmo kutoka Morogoro. Mwamuzi wa akiba ni Hashim Abdallah wa Dar es Salaam.
Kamishna wa mechi hiyo atakuwa Emmanuel Kavenga kutoka Mbeya wakati mtathmini wa waamuzi (referees assessor) ni Leslie Liunda.

GELLY WA RHYMES APIGWA ROBA NA VIBAKA

Gelly wa Rhymes
Star wa single ya mama ntilie Gelly wa Rhymes usiku wa jana haukuwa mzuri kwake baada ya kuvamiwa na vibaka akiwa njiani kuelekea club bilcanas kwenda kutoa support kwa Hemed aliyekuwa akizindua wimbo wake mpya wa rest of my life.
Taarifa zinasema kuwa vibaka hao walimkaba na kumsababishia majeraha maeneo ya usoni na hawakumfanyia madhara makubwa na hilo lilipelekea kushindwa kufika kwenye show ya mshikaji wake Hemed,na taarifa hii ni kwa mujibu wa mc wa show hiyo iliyofanyika usiku wa juzi club bilcanas ambapo kabla haijafika zamu ya Gelly kuperfome mc alitoa taalifa hizo,TEENTZ inaendelea kufuatilia kujua undani wa mkasa huo.

BBall Kitaa Day One At Gymkhana Dar Es Salaam Tanzania

BREAKING NEWS: ZAIDI YA WANAFUNZI 30 WA SHULE YA SECONDARI MANZESE WANAANGUKA HOVYO NA KUZIMIA

SECONDARI MANZESE
Wanafunzi wa shule ya secondari manzese zaidi ya 30 muda huu wanaanguka hovyo hovyo na kusema a mane no yasiyoeleweka kutokana na kinachohisiwa kuna nguvu za Giza zimetanda shuleni hapo huku wakijibamiza kwenye miti:
MANZESE SECONDARI
Mmoja wa wanafunzi wa shule ya Sekondari Manzese aliyeanguka na kuweweseka.Mpaka sasa haijafahamika chanzo cha wanafunzi wa shule hiyo kukimbia ovyo,kuanguka na kuweweseka.
Picha:Zainab Chondo wa ITV

SIASA na MAPENZI, Angalia Tweets za Diva Zinazomuhusu Zitto Kabwe, Dharau tupu

Diva