Pages

BREAKING NEWS: ZAIDI YA WANAFUNZI 30 WA SHULE YA SECONDARI MANZESE WANAANGUKA HOVYO NA KUZIMIA

SECONDARI MANZESE
Wanafunzi wa shule ya secondari manzese zaidi ya 30 muda huu wanaanguka hovyo hovyo na kusema a mane no yasiyoeleweka kutokana na kinachohisiwa kuna nguvu za Giza zimetanda shuleni hapo huku wakijibamiza kwenye miti:
MANZESE SECONDARI
Mmoja wa wanafunzi wa shule ya Sekondari Manzese aliyeanguka na kuweweseka.Mpaka sasa haijafahamika chanzo cha wanafunzi wa shule hiyo kukimbia ovyo,kuanguka na kuweweseka.
Picha:Zainab Chondo wa ITV

SIASA na MAPENZI, Angalia Tweets za Diva Zinazomuhusu Zitto Kabwe, Dharau tupu

Diva

Madai ya Flora Lyimo Kubakwa na Mbunge

Bunge la Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaSifael Paul na Erick Evarist
BINTI mrembo aitwaye Flora Bahati Lyimo anamtuhumu mbunge mmoja ‘mtata’ wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linaloongozwa na Spika Anne Makinda (jina tunalo) kuwa amembaka, Uwazi lina kisa cha aibu ya karne.

Flora Bahati Lyimo.
Katika uchunguzi wake, hivi karibuni gazeti hili lilielezwa kuwa kuna habari ya kashfa nzito inayomtafuna mbunge huyo anayetokea Kanda ya Kaskazini lakini haikufafanua kwamba inahusu nini.

VYANZO
Baada ya kutulia na kupekua kwenye vyanzo vyake, Uwazi lilibaini kuwa kashfa inayomlenga mheshimiwa huyo ni ya ubakaji na tayari imefikishwa mahakamani huko London nchini Uingereza.
Habari hiyo ilielezwa ‘kijuujuu’ hivyo gazeti hili likamtafuta Flora ambaye ni Mtanzania anayetokea mkoani Kilimanjaro ambaye anaishi katika Jiji la London kikazi.

MAZITO
Alipopatikana Flora alibanwa kisawasawa ndipo akaibua mazito huku akieleza tukio zima lilivyofanyika kwa data na vielelezo vya kila aina ikiwemo barua ya Mahakama ya Crown ya London.
“Ni kweli mheshimiwa … (anamtaja jina) alinibaka Agosti, mwaka jana. Yeye na makada wenzake wa chama chake walikuja hapa London kwa ziara ya kichama na kwa kuwa mimi sina chama nilikwenda kuhudhuria mkutano wao kwa kuwa nina mtandao wangu (blog) hivyo nilitaka kupata habari za kuingiza kwa sababu ni za watu wa nyumbani (Tanzania).
Spika Anne Makinda. MAZOEA YAANZA
Akiendelea kuweka wazi kisa hicho, Flora anasema: “Nikiwa kwenye mkutano….(jina la mbunge) alinifuata akaniuliza nimeandika watu wangapi waliohudhuria mkutano huo, nikamjibu 50 akaniambia niongeze idadi hiyo ili ionekane mkutano ulikuwa na watu (Watanzania waishio Uingereza) wengi.
“Hapo ndipo alipoanza kunizoea. Alitaka kunipa kadi ya...

Cat Knocks On Door At Machine Gun Rate - Gatto che Bussa la Porta

Muslim Footballer Franck Ribery Runs The Length of The Pitch to Avoid Beer During Title Celebrations!! (Video)

Muslim Franck Ribéry was left “p****d off” after Bayern Munich teammates ignored pleas to soak him with beer during the Bundesliga champions’ title celebrations.
Former Manchester City defender Jerome Boateng proved to be the Frenchman’s bête noire when he poured a large glass of Bavarian beer over Ribéry. Ribéry said after the celebrations: “I won’t talk to Boateng again, he knows that I’m Muslim. I’m p*** off.”
A notorious prankster, Ribéry’s best act involved pouring water on former Bayern goalkeeper Oliver Kahn from the rooftop.
Manuel Neuer also got carried away when he threw beer on an unassuming girl who had laid out the celebratory beverages. The Germany goalkeeper wheeled away in celebration.
Bayern are on course for a unique debut, as they face Borussia Dortmund in the Champions League final in London next week before taking on Stuttgart in the DFB-Pokal final in June.

Zitto Kabwe Amempa Afande Sele Dollar 1,000 Kwaajili ya Kurekodi Video!!

Mfalme wa Rhymes Selemani Msindi a.k.a Afande SeleMfalme wa Rhymes Selemani Msindi a.k.a Afande Sele wakati alipo hudhuria kwenye uzinduzi wa msimu mpa wa Clouds fm ulioenda sawa na semina kuhamasisha vijana kujitambua kwa kutumia fursa za kiuchumi zilizopo nchini, Lakini pia kulikua na uzinduzi wa kampeni kubwa ya kupinga Uharamia wa kazi za kisanii / Anti Piracy, Afande alibahatika kupata ahadi ya dola elfu moja kutoka mbunge wa kigoma kaskazini Zito Kabwe, mh zito alisema anatoa kiasi hicho cha pesa ili afande aka shoot musiq video ya ngoma yake aliyoitoa hivi karibuni inaitwa "Dini tumeletewa" Mbunge Zito Kabwe amesema kutokana na ubora wa ngoma hiyo anatoa mchango huo ili ikafanyike video bora itakayodumu muda mrefu na kuwafikia watu wengi, ili ikawa elimishe watanzania na vijana kwa ujumla umuhimu wa kupendana na kuacha kubaguana katika misingi ya dini.
Ngoma hii "Dini tumeletewa" imekuja baada Kutokea mauaji ya viongozi wa dini pamoja na shambulizi la bomu lililofanywa hivi karibuni katika kanisa moja huko Arusha na kuua watu kadhaa. zaidi Sikiliza sauti Afande akifunguka kuhusu ishu hiyo:

SIKILIZA Dini tumeletewa by Afande Sele

Mcheki Mwakilishi wa Tanzania Ndani ya Old Trafford Akimuaga Sir Alex


Old Traford

Kilichotokea Leo Mchana Kuhusiana na Kesi ya Lady Jaydee Mahakamani

Bongo Fleva, Judith Wambura 'Lady Jaydee
MWANAMUZIKI Mahiri wa Bongo Fleva, Judith Wambura 'Lady Jaydee' leo alifika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam
kufuatia kufunguliwa kesi ya madai katika mahakama hiyo.
Katika hati ya madai hayo, mwanamuziki huyo anashitakiwa na viongozi wa Clouds Media Group ambao ni Ruge Mutahaba na Joseph Kusaga. Tuhuma za kesi hiyo zinatarajiwa kusomwa mahakamani hapo na Hakimu, Athuman Nyamrani Mei 27 mwaka huu.
Jaydee aliwasili mahakamani hapo akiwa na mumewe Gadner G. Habash mishale ya saa 6 mchana na kuongoza moja kwa moja chumba cha makarani wa mahakama hiyo ambao aliwakabidhi hati ya mashitaka hayo

REGINALD MENGI AMETANGAZA DAU LA MILIONI MOJA KWA MTU ATAKAEMTUMIA TWEET NZURI

IPP, Reginald Mengi
Upo kwenye Twitter? Kama haupo fanya haraka ujiunge sababu kuna ulaji huko!! Mwenyekiti mtendaji wa makampuni ya IPP, Reginald Mengi amesema kuanzia mwezi huu, atakuwa akitoa shilingi milioni 1 kwa kila tweet itakayomfurashia.
Mengi anataka ulikune jicho lake kwa tweet yenye akili ambayo inaweza kuchangia kwa namna moja ama nyingine kupunguza umaskini uliokithiri nchini.

“Umaskini umekuwa sugu. Kwa mwaka 1 anzia Mei ntatoa sh 1m kila mwezi kwa tweet nitakayochagua kuwa bora kushinda vita na umaskini,” ametweet leo.
Ameongeza kuwa Tweet hiyo iende kwake, yaani mtu akiandika tweet afanye kummention ili aione.

One Of UK's Most Wanted Captured as He Relaxed by a Swimming Pool in Spain

Footage showing the moment armed police swooped on Andrew Moran as he relaxed by a swimming pool with his girlfriend in a southern Spain.
One of Britain's most wanted fugitives has been arrested in Spain in a dramatic raid while he was relaxing by a swimming pool with his girlfriend.
Armed police officers swooped on Andrew Moran at a luxury villa in the Calpe area of Alicante in a joint operation between UK and Spanish forces.