A revised version of David Bowie's Space Oddity, recorded by Commander Chris Hadfield on board the International Space Station.
Msikilize Huyu Mburula Yuko Tayari Kuua Ndugu Yake Kwaajili ya Freemason
Haya ni maongezi ambayo yamerekodiwa ili kutaka kuongelea tatizo kwa uwazi, kama ukisikiliza jinsi ambavyo jamaa akiulizwa kwanini anataka kujiunga na chama hicho akajibu ni ugumu wa maisha ndio maana anaona bora aingie huko na kwamba alishapeleka barua za maombi ya kujiunga ofisini kwao
Amini Mungu wako omba sana nae atakuonesha njia!
A Man Caught Eating Grass Like a Cow!
IN A RATHER BIZARRE CASE, A MAN HAS CAUSED QUITE A BUZZ AT KARATINA TOWN IN NYERI COUNTY AFTER HE WAS CAUGHT EATING GRASS LIKE A COW WITH ALLEGATIONS THAT A SPELL HAD BEEN CAST ON HIM
Walemavu Wawli Wameomba Waruhusiwe Kujinyonga Uingereza
Mmoja wa watu hao, Pail Lamb amekuwa na ulemavu mbaya kwa miaka mingi pamoja na kupitia uchungu mwingi, hawezi kujitoa uhai wake na anataka madaktari waruhusiwe kumuua bila ya kukabiliwa na kosa la mauaji baadaye.
Mwanamume mwingine anayejulikana kama Martin, anataka uamuzi utakaowaruhusu madaktari wamsaidie kujiua ingawa waweze kulindwa kutokana na sheria za kuweza kuwashtaki kwa kufanya kitendo cha mauaji.
Wakosoaji wanasema kuwa ikiwa mahakama itaruhusu wawili hao wajiue, itakuwa na athari kubwa kwa watu wazee na wenye ulemavu kutaka kujinyonga ili kuzuia kuwahangaisha jamaa zao kuwahudumia.
Wapiganaji wa Tanzania Wamewasili Goma
Mashirika. Wapiganaji wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) wamewasili mji wa Goma, Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kujiunga na mpango wa Umoja wa Mataifa wa kulinda amani.
Wiki iliyopita, Amiri Jeshi Mkuu, Rais Jakaya Kikwete alikabidhi Bendera kwa Kiongozi wa Bataliani ya wapiganaji wa JWTZ wanaokwenda nchini humo, kwenye hafla iliyofanyika Msangani Kibaha, Mkoa wa Pwani.
Machi mwaka huu, Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, lilipitisha mpango wa kupeleka wanajeshi Mashariki mwa Congo, lengo likiwa ni kulinda amani kwa kushirikiana na majeshi ya Serikali kuwaondoa waasi wa M23 walioko Mashariki mwa nchi hiyo.

Bomu Arusha Lmezua Utata Kidiplomasia
Dar es Salaam/Arusha. Utata wa kidiplomasia ulioibuka kuhusu raia wa kigeni kukamatwa wakituhumiwa kwa mlipuko wa bomu katika Kanisa Katoliki umemlazimu Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe kutua jijini Arusha kusawazisha mambo. Membe alisema jana kuwa atakwenda huko kufuatilia suala hilo na hasa kwa kukamatwa raia wa kigeni wakihusishwa na tukio hilo, wakiwa ni miongoni mwa watu 12 wanaoshikiliwa na polisi wakituhumiwa kuhusika na shambulio hilo lililoua watu watatu na wengine zaidi ya 60 kujeruhiwa.
“Ninakwenda Arusha kesho (leo) ili kufahamu undani wa suala hili. Baada ya kwenda ndiyo nitakuwa katika nafasi ya kuongelea mambo haya,” alisema Membe wakati alipoulizwa jana kuhusu malalamiko ya nchi za Saudi Arabia na Falme za Kiarabu (UAE) kuhusu kukamatwa kwa raia wao.
Watu wanaoshikiliwa na polisi kwa tuhuma hizi ni pamoja na...
Chris Brown's Scary Curbside Art
LOS ANGELES (AP) — Grammy-winning musician Chris Brown's neighbors are unhappy with what some are calling frightening art he's chosen to have painted along the curb of his Hollywood Hills home.
A neighborhood group said the grimacing, sharp-toothed, red-eyed goblins painted along a retaining wall have been scaring children, and is an eyesore to boot, according to the Los Angeles Times
A neighborhood group said the grimacing, sharp-toothed, red-eyed goblins painted along a retaining wall have been scaring children, and is an eyesore to boot, according to the Los Angeles Times

"There are lots of babies, lots of children, and they're literally frightened. It's like devils on the wall — big scary eyes and big scary teeth, and just the whole vibe is not what we're used to," Patti Negri, president of the Hollywood Dell Civic Association, told the newspaper.
L.A. city code officials responded to complaints about the monster art and cited the "Run It!" singer $376 for unpermitted and excessive signage.Under city ordinances, it's illegal to create murals on most private properties. Though that didn't stop Madonna from painting her Hollywood Hills home in red and yellow stripes in the 1990s.
Brown has been ordered to remove the goblin paintings within 30 days, but his attorney Mark Geragos said the musician is not backing down.
"They are trying to suspend the First Amendment," Geragos said.
Geragos alleges neighbors are harassing Brown and have also made parking complaints about him and called animal control.

In a telephone interview with The Associated Press on Saturday, Negri said all she wants is for Brown to "tone it down and be a better neighbor."Brown's tumultuous relationship with singer Rihanna and foul-mouthed Twitter presence have given him a bad boy reputation.
Brown won a Grammy in 2011 for Best R&B Album with "F.A.M.E." and was arrested shortly after the 2009 awards ceremony for assaulting Rihanna.
"I know a $300 fine is probably pocket change. But hopefully and maybe, he'll just see the light and decide to be a good neighbor," Negri told the Times. "We're happy to have him — if he just tones it down."

Subscribe to:
Comments (Atom)