Pages

Mcheki Mwakilishi wa Tanzania Ndani ya Old Trafford Akimuaga Sir Alex


Old Traford

Kilichotokea Leo Mchana Kuhusiana na Kesi ya Lady Jaydee Mahakamani

Bongo Fleva, Judith Wambura 'Lady Jaydee
MWANAMUZIKI Mahiri wa Bongo Fleva, Judith Wambura 'Lady Jaydee' leo alifika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam
kufuatia kufunguliwa kesi ya madai katika mahakama hiyo.
Katika hati ya madai hayo, mwanamuziki huyo anashitakiwa na viongozi wa Clouds Media Group ambao ni Ruge Mutahaba na Joseph Kusaga. Tuhuma za kesi hiyo zinatarajiwa kusomwa mahakamani hapo na Hakimu, Athuman Nyamrani Mei 27 mwaka huu.
Jaydee aliwasili mahakamani hapo akiwa na mumewe Gadner G. Habash mishale ya saa 6 mchana na kuongoza moja kwa moja chumba cha makarani wa mahakama hiyo ambao aliwakabidhi hati ya mashitaka hayo

REGINALD MENGI AMETANGAZA DAU LA MILIONI MOJA KWA MTU ATAKAEMTUMIA TWEET NZURI

IPP, Reginald Mengi
Upo kwenye Twitter? Kama haupo fanya haraka ujiunge sababu kuna ulaji huko!! Mwenyekiti mtendaji wa makampuni ya IPP, Reginald Mengi amesema kuanzia mwezi huu, atakuwa akitoa shilingi milioni 1 kwa kila tweet itakayomfurashia.
Mengi anataka ulikune jicho lake kwa tweet yenye akili ambayo inaweza kuchangia kwa namna moja ama nyingine kupunguza umaskini uliokithiri nchini.

“Umaskini umekuwa sugu. Kwa mwaka 1 anzia Mei ntatoa sh 1m kila mwezi kwa tweet nitakayochagua kuwa bora kushinda vita na umaskini,” ametweet leo.
Ameongeza kuwa Tweet hiyo iende kwake, yaani mtu akiandika tweet afanye kummention ili aione.

One Of UK's Most Wanted Captured as He Relaxed by a Swimming Pool in Spain

Footage showing the moment armed police swooped on Andrew Moran as he relaxed by a swimming pool with his girlfriend in a southern Spain.
One of Britain's most wanted fugitives has been arrested in Spain in a dramatic raid while he was relaxing by a swimming pool with his girlfriend.
Armed police officers swooped on Andrew Moran at a luxury villa in the Calpe area of Alicante in a joint operation between UK and Spanish forces.

Space Oddity, Video ya Muziki Iliyorekodiwa Angani Imekua Gumzo!

A revised version of David Bowie's Space Oddity, recorded by Commander Chris Hadfield on board the International Space Station.

Msikilize Huyu Mburula Yuko Tayari Kuua Ndugu Yake Kwaajili ya Freemason

Haya ni maongezi ambayo yamerekodiwa ili kutaka kuongelea tatizo kwa uwazi, kama ukisikiliza jinsi ambavyo jamaa akiulizwa kwanini anataka kujiunga na chama hicho akajibu ni ugumu wa maisha ndio maana anaona bora aingie huko na kwamba alishapeleka barua za maombi ya kujiunga ofisini kwao

Amini Mungu wako omba sana nae atakuonesha njia!

A Man Caught Eating Grass Like a Cow!

IN A RATHER BIZARRE CASE, A MAN HAS CAUSED QUITE A BUZZ AT KARATINA TOWN IN NYERI COUNTY AFTER HE WAS CAUGHT EATING GRASS LIKE A COW WITH ALLEGATIONS THAT A SPELL HAD BEEN CAST ON HIM

Walemavu Wawli Wameomba Waruhusiwe Kujinyonga Uingereza

WalemavuWanaume wawili wenye ulemavu mbaya zaidi wanakwenda mahakamani kukata rufaa katika kesi inayoonekana kuwa moja ya kesi inayotaka mageuzi makubwa ikitaka kubadilisha sheria za serikali kuhusu haki ya mtu kufa.

Mmoja wa watu hao, Pail Lamb amekuwa na ulemavu mbaya kwa miaka mingi pamoja na kupitia uchungu mwingi, hawezi kujitoa uhai wake na anataka madaktari waruhusiwe kumuua bila ya kukabiliwa na kosa la mauaji baadaye.

Mwanamume mwingine anayejulikana kama Martin, anataka uamuzi utakaowaruhusu madaktari wamsaidie kujiua ingawa waweze kulindwa kutokana na sheria za kuweza kuwashtaki kwa kufanya kitendo cha mauaji.
Wakosoaji wanasema kuwa ikiwa mahakama itaruhusu wawili hao wajiue, itakuwa na athari kubwa kwa watu wazee na wenye ulemavu kutaka kujinyonga ili kuzuia kuwahangaisha jamaa zao kuwahudumia.

Kipanya Leo

Kipanya Leo

Wapiganaji wa Tanzania Wamewasili Goma

GomaMashirika. Wapiganaji wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) wamewasili mji wa Goma, Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kujiunga na mpango wa Umoja wa Mataifa wa kulinda amani.
Wiki iliyopita, Amiri Jeshi Mkuu, Rais Jakaya Kikwete alikabidhi Bendera kwa Kiongozi wa Bataliani ya wapiganaji wa JWTZ wanaokwenda nchini humo, kwenye hafla iliyofanyika Msangani Kibaha, Mkoa wa Pwani.
Machi mwaka huu, Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, lilipitisha mpango wa kupeleka wanajeshi Mashariki mwa Congo, lengo likiwa ni kulinda amani kwa kushirikiana na majeshi ya Serikali kuwaondoa waasi wa M23 walioko Mashariki mwa nchi hiyo.