Paris Jackson Wants to Move out of Grandmother’s Home and Move in with Biological Mother
There are reports that Michael Jackson’s daughter, Paris, wants to move out of the home she has been living in with her grandmother, Katherine, and her two brothers, Prince and Blanket, since her father passed away almost four years ago and move in with her biological mother, Debbie Rowe. Paris and Debbie were first seen together in public last month celebrating her 15th birthday, since then, they have been photographed shopping and on Debbie’s horse farm. Sources say Paris thinks her 84-year-old grandmother is too old fashion but the straw that broke the camel’s back was when Kathe... more »
Taarifa ya Wizara Kuhusu Kupitia Upya Matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Nne 2012
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Mnamo tarehe 03 Mei, 2013 Serikali kupitia Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Mheshimiwa Wiliam Lukuvi (Mb) ilitoa Kauli ya Serikali Bungeni Kuhusu Taarifa ya Awali ya Tume ya Taifa ya Kuchunguza Sababu za kushuka kwa ufaulu wa Mtihani wa Kidato cha Nne Mwaka 2012.
Kauli ya Serikali ilielekeza kuwa matokeo ya Mtihani wa Taifa wa Kidato cha Nne mwaka 2012 yafutwe na yaandaliwe upya kwa kutumia utaratibu uliotumika mwaka 2011 ili Wanafunzi hao wawe katika mazingira yanayofanana na ya wenzao wa miaka iliyopita kwa kuwa mfumo uliotumika mwaka 2012 katika kupanga matokeo na madaraja ni tofauti na ule uliotumika mwaka 2011 na miaka iliyotangulia.
Kwa kuzingatia mapendekezo ya Tume na Maelekezo ya Baraza la Mawaziri, Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, kwar mamlaka aliyonayo chini ya Sheria ya ...

YANGA KULAMBA MILLIONI 70 ZA UBINGWA WA VODACOM
Mdhamini wa Ligi Kuu ya soka Tanzana Bara, Kampuni ya Vodacom imetangaza kutumia kiasi cha Shilingi Mil 200 kwa ajili ya kutoa zawadi ya fedha taslimu katika ligi inayomalizika mei 18 ambapo sasa Machampioni wa msimu huu watajinyakulia Shilingi Milioni 70.
Mbali ya bingwa, Vodacom pia itatoa fedha kwa timu inayomaliza nafasi ya pili, ya tatu na ya nne katika msimamo wa ligi ambazo ni Sh. 35 Milioni, huku Sh. 25 Milioni na Sh. 20 Milioni zote zikiwa na ongezeko ikilinganishwa na zawadi za fedha zilizotolewa katika msimu wa 2012 / 2013.
Zawadi hizo zimetangazwa kwa waandishi wa habari jijini Dar es Salaam na kampuni hiyo kupitia Meneja Uhusiano wa Mambo ya Nje wa Vodacom Salum Mwalim, ikiwa ni pamoja na kuainisha zawadi za washindi wa mchezaji mmoja mmoja pamoja na timu iliyoonyesha nidhamu kwa msimu huu.
"Mwaka huu tutatumia kiasi cha Shilingi Milioni 200 kwa ajili ya zawadi za...

Lady JayDee Amefunguliwa Kesi Mahakamani

Kupitia moja ya kurasa za kijamii ya mwanamuziki Lady JayDee ameandika kuwa amepata taarifa kuwa amefunguliwa kesi mahakamani ila hajasema ni nani aliemfungulia kesi hiyo na ni mashtaka yanayohusu nini ...
Rescuers in Bangladesh Have Found a Survivor in the Rubble of a Clothing Factory that Collapsed 17 Days Ago!!
"No one heard me. It was so bad for me. I never dreamed I'd see the daylight again," she said.
"There was some dried food around me. I ate the dried food for 15 days. The last two days I had nothing but water. I used to drink only a limited quantity of water to save it. I had some bottles of water around me," she said.
She was discovered in the wreckage of a Muslim prayer room in the building and army officials immediately ordered the cranes and bulldozers to stop work.
Once Reshma finally got their attention, the crews ordered the cranes and bulldozers to immediately stop work and used handsaws and welding and drilling equipment to cut through the iron rod and debris still trapping her.Rescuers have been using diggers to move debris from the site
They gave her water, oxygen and saline as they worked to free her, using handsaws to cut through the rubble, as hundreds of people who had been engaged in the grim job of removing decomposing bodies from the site, raised their hands together in prayer.
"Allah, you are the greatest, you can do anything. Please allow us all to rescue the survivor just found," said a man on a loudspeaker leading the prayers. "We seek apology for...

MALCOLM SHABAZZ, -GRANDSON OF MALCOLM X DIES

Malcolm Shabazz, the troubled grandson of civil rights icon Malcolm X, has been killed in Mexico, the U.S. Embassy there confirms.
The Amsterdam News reports that Shabazz, 28, was thrown off a rooftop after being shot during an attempted robbery on Thursday, May 9.
“I’m confirming, per U.S. Embassy, on behalf of family, the tragic death of Malcolm Shabazz, grandson of Malcolm X. Statement frm family 2 come,” tweeted Shabazz family friend Terrie M. Williams on twitter earlier today.
Shabazz was the son of Qubilah Shabazz, the second daughter of Malcolm X and Betty Shabazz. He was 12 years old in 1997 when he torched Betty Shabazz’s New York apartment, killing her.
Shabazz pled guilty to arson and was sentenced to 18 months in a juvenile detention center. Shabazz’s sentence was extended due to discipline problems and he was released four years later.
Shabazz later claimed he didn’t set the fire that killed his grandmother.
At the time of his death Shabazz was studying Criminal Justice at John Jay College in New York. It isn’t known why Shabazz was in Mexico. He leaves behind 2 daughters.
MAJINA 9 YA WATUHUMIWA WALIOLIPUA BOMU KANISANI ARUSHA
Imeripotiwa kuwa jumla ya watu 12 wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Arusha kwa kutuhumiwa kuhusika na mlipuko wa bomu lililorushwa katika eneo la Kanisa la Mt Joseph Mfanyakazi katika parokia teule ya Olasiti siku ya Jumapili, Mei 5, 2013 na kusababisha vifo vya watu watatu na kujeruhi wengine zaidi ya 60.
Ripota wa WAPO FM radio alisema majina ya watuhumiwa hao yametajwa kuwa ni:-
Abu Dhabi ni mji mkuu wa Imarati (UAE), ambazo zina imirati saba -- Abu Dhabi, Dubai, Sharjah, Fujairah, Ras al Kaimah, Ajman na Umm a Quwain. Nchi jirani na UAE ni Qatar, Saudi Arabia na Oman.
Ripota wa WAPO FM radio alisema majina ya watuhumiwa hao yametajwa kuwa ni:-
Victor Ambrose Calist (20, mkazi wa Kwa Mrombo, Arusha)
Joseph Yusuph Lomayani (18, mkazi wa Kwa Mrombo, Arusha)
George Bartholomeo Silayo (26, mkazi wa Olasiti, Arusha)
Mohammed Suleiman Said (38, mkazi wa Ilala, Dar es Salaam, aliyewafuata kwa gari binafsi washukiwa wa ugaidi kutoka kiwanja cha ndege na kuwepeleka hadi hoteli ya Aquiline iliyopo Arusha)
Said Abdallah Said (28, mkazi wa Abu Dhabi, Nchi za Falme za Kiarabu)
Abdelaziz Mubarak (30, Nchi za Falme za Kiarabu)
Jassini Mbaraka (29 mkazi wa Bondeni, Arusha)
Foud Ahmad (28, Nchi za Falme za Kiarabu)
Said Mohsen (Najran, Saudi Arabia)
Hata hivyo, himaya ya Imarati, Nchi za Falme za Kiarabu (UAE - United Arab Emirates) inasema maafisa wake wamekanusha kuhusu raia wake watatu kuhusika na mlipuko wa bomu la Olasiti, Arusha.Joseph Yusuph Lomayani (18, mkazi wa Kwa Mrombo, Arusha)
George Bartholomeo Silayo (26, mkazi wa Olasiti, Arusha)
Mohammed Suleiman Said (38, mkazi wa Ilala, Dar es Salaam, aliyewafuata kwa gari binafsi washukiwa wa ugaidi kutoka kiwanja cha ndege na kuwepeleka hadi hoteli ya Aquiline iliyopo Arusha)
Said Abdallah Said (28, mkazi wa Abu Dhabi, Nchi za Falme za Kiarabu)
Abdelaziz Mubarak (30, Nchi za Falme za Kiarabu)
Jassini Mbaraka (29 mkazi wa Bondeni, Arusha)
Foud Ahmad (28, Nchi za Falme za Kiarabu)
Said Mohsen (Najran, Saudi Arabia)
Abu Dhabi ni mji mkuu wa Imarati (UAE), ambazo zina imirati saba -- Abu Dhabi, Dubai, Sharjah, Fujairah, Ras al Kaimah, Ajman na Umm a Quwain. Nchi jirani na UAE ni Qatar, Saudi Arabia na Oman.
Lil Wayne Launches Spectre by Supra Sneakers After PepsiCo Split

Weezy signed a partnership deal with the skating brand due to his love for skateboarding. At the launch party, the MC was joined by his manager Cortez Bryant, Young Money president Mack Maine, fellow rhymer Bun B, and pro skateboarder Stevie Williams.
Weezy will oversee the design of the shoes. “I’ve been rocking this shoe before I even knew what it was, so for me to start skating now and shoe lines start coming at me, it would’ve been only right to mess with the people I been rocking with,” he told MTV.
Weezy was dropped as representative for PepsiCo over disrespectful lyrics about the death of civil rights icon Emmett Till. The rapper issued an apology, but it was not favorably received by the Till family.
Aceshowbiz
Subscribe to:
Posts (Atom)