Pages

Gozzo ft JCB - Shika (Audio)

Gozzo ft JCB ,Shika

Fresh Be Heard Freestyle Climax (Video)

Ile Katuni ya Bunge la Tanzania Iliyochorwa na Mkenya

Tweets za Mchezaji wa Chelsea Adam Nditi Akiiponda Show ya Diamond Uingereza

Bongo Fleva Diamond Platnumz
Msanii wa Bongo Fleva Diamond Platnumz kwa wiki kadhaa sasa amekuwa nchini Uingereza akifanya maonyesho yake ya kimuziki, usiku wa jana jijini London alikuwa akifanya show na mmoja ya wahudhuriaji alikuwa mchezaji wa kikosi cha pili cha Chelsea Adam Nditi ambaye ni mzaliwa wa Tanzania Visiwani. Kwa mujibu wa tweets za Adam Nditi amesema hakupenda hata kidogo kitendo alichofanya Diamond katika show yake kwa kufanya show mbovu ambayo ilichelewa kuanza baada ya msanii kuingia ukumbini asubuhi badala muda halisi uliopangwa.

Times FM Kupiga Bongo Flava Mwanzo Mwisho, Soma Tweet Hapa

Clouds FM Times FM
Kwa Kutumia Kilicho chetu , Asili yetu na Muziki wetu leo katika vipindi vyote utaskikia muziki wa nyumbani wa BONGO FLEVA kwa asilimia Kubwa.

Dramatic footage: Vintage Stunt Plane Crashes Outside Madrid at Aerobatics Show

An air show featuring aerial acrobatics and vintage aircraft has ended in tragedy near Madrid as a stunt plane crashed into buildings. A pilot sustained severe injuries and reportedly died in hospital

Video za Mlipuko Uliotokea Arusha na Lema Akiongea na Vyombo vya Habari Baada ya Tukio

Pigo Jingine kwa Babu Seya na Papii Kocha!!

Babu Sea na Papii KochaNguza Vicking ‘Babu Seya’ na Johnson Nguza ‘Papii Kocha’. Na Imelda Mtema.
MAMA mzazi wa mkongwe wa muziki wa dansi Bongo, Nguza Vicking ‘Babu Seya’ aitwaye Bernadeta, amefariki dunia ghafla mwishoni mwa wiki iliyopita ikiwa ni pigo lingine kwa mwanamuziki huyo na mwanaye, Johnson Nguza ‘Papii Kocha’ wanaotumikia kifungo cha maisha jela.
Kifo hicho kimetokea wakati Babu Seya na Papii Kocha wakiendelea kutumikia kifungo hicho katika Gereza la Ukonga, Dar.
Kwa mujibu wa mtoto wa Babu Seya, Nguza Mbangu, mama huyo alifariki ghafla akiwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) baada ya kusumbuliwa na presha.
Kwa mujibu wa Mbangu, mama wa Babu Seya ambaye ni bibi yake alianza kusumbuliwa na presha baada ya mwanaye na wajukuu zake kutiwa hatiani kwa ubakaji wa wanafunzi wa Shule ya Msingi Mashujaa, Sinza, Dar hadi ugonjwa huo ulipomuondoa ghafla mwishoni mwa wiki iliyopita.
Mbangu alisema kuwa wameumizwa na kifo hicho kwa kuwa marehemu alikuwa tegemeo kubwa kwa ushauri na kifo chake kimezidisha uchungu kwa familia yao.
Mbangu aliongeza kuwa baba yake, Babu Seya na ndugu yake, Papii Kocha waliposikia taarifa hizo walilia kwa uchungu wakiwa gerezani.
Taarifa zaidi zinasema kuwa wanandugu waishio Dar walikutana Kimara, kwa ajili ya kumchagua mwakilishi wa kwenda Kongo kuwahi mazishi.

Msikilize Ruge Akijibu Tuhuma za Jaydee na Kuamrisha Clouds Isipige Bongo Fleva Siku Nzima!!(Audio)