Dereve wa Bodaboda Amekamatwa na Shortgun, Risasi sita
Na Rashid Nchimbi wa Jeshi la PolisiArusha. JESHI la Polisi Mkoani hapa limemkamata mtu mmoja aitwaye Ally Rashid Salimu (23) Mwendesha pikipiki za abiria maarufu kwa jina la “Boda Boda” mkazi wa kata ya Sombetini jijini hapa akiwa na bunduki aina ya shortgun Mossberg yenye namba T292166 ikiwa na risasi sita.
Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake leo saa 5:30 asubuhi Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Liberatus Sabas alisema kwamba, tukio hilo lilitokea juzi tarehe 28.04.2013 muda wa saa 3:00 asubuhi katika maeneo ya Shamsi yaliyopo jijini hapa.
Alisema siku ya tukio dereva huyo wa pikipiki akiwa katika eneo hilo alik
uwa anaendesha pikipiki aina ya Skymark yenye namba za usajili T. 615 BZL huku akiwa amebeba begi lilionekana kutuna sana, ndipo askari waliokuwa doria katika eneo hilo walimtilia shaka na kisha kumfuatilia na kufanikiwa kumsimamisha. “Mara baada ya kumsimamisha askari hao walipekua begi hilo na kukuta silaha hiyo ikiwa na risasi sita na kisha kumfikisha mtuhumiwa huyo katika kituo kikuu cha polisi cha hapa Arusha mjini”. Alifafanua Kamanda Sabas.
Kamanda Sabas alisema upelelezi juu ya tukio hilo bado unaendelea na mtuhumiwa atafikishwa mahakamani pindi utakapokamilika.
Tukio hilo la ukamataji wa bunduki hiyo limekuja wiki tatu tu baada ya jeshi hilo kukamata bastola moja pamoja na risasi 41 kutoka kwa watuhumiwa waliokuwa wanahusishwa na matukio ya kumjeruhi Sister Mary Shobana na kisha kumnyang’anya fedha taslimu Tsh 30,000,000/= (Milioni thelathini) eneo la Notre Dame Njiro lililopo jijini hapa, fedha ambazo alitoka kuchukua benki ya Exim tawi la Shoprite.
The Hidden Insight Beauty of Tanzania Revealed. Never Seen Before!!

I Will Not Let An Exam Result Decide My Fate -Spoken Word
"I Will Not Let An Exam Result Decide My Fate" picks up on the education topic but takes a different stance and angle from "Why I Hate School But Love Education". This poem talks about how we have been made to think about how education and getting university degrees can give us opportunities to have a better chance in making our dream careers a reality. It also touches on how as individuals we are judged and tested by how well we perform on exams, but not all people perform well in exams so why are they made out to feel like they're dumb? The inconsistencies of the education system are really peeled open to reveal a deep problem that needs to be addressed and how society's needs have changed to make this even more apparent.
When it boils down to it, why are we misled into thinking that education is the only way forward for successful means in our work and career lives? We need to open our minds and educate ourselves that exam results aren't the barometer of success and that we can't let them decide our fate. We are in charge of our own destinies!
When it boils down to it, why are we misled into thinking that education is the only way forward for successful means in our work and career lives? We need to open our minds and educate ourselves that exam results aren't the barometer of success and that we can't let them decide our fate. We are in charge of our own destinies!
Trinidad James Responds To Joey Badass’ Tweets

Trinidad James Responds To Joey Badass Tweets And Talks Rick Ross Rape Lyrics with Hot 93.7′s Jenny Boom Boom! watch the full interview below!
Alichokisema Roma Mkatoliki Baada ya Kutoswa Kili Awards
Rapper Roma Mkatoliki ni mshindi wa tuzo za KTMA 2012 lakini mwaka huu
2013 hajapata nafasi yoyote ya kuwa nominated kwenye list, ni miongoni
mwa mastaa wa hiphop ambao hawako kwenye list kabisa mwaka huu ambapo
moja ya vigezo vya msanii kushiriki kwenye tuzo za ni lazima wimbo wake
uwe umefanya vizuri kwa mwaka uliopita.
.
.
Picha za Mashine Mpya ya Jacky Wolper
Subscribe to:
Posts (Atom)