Pages

After Earth Trailer 2013 Will Smith Movie - Official [HD]

After Earth Trailer 2013 - Official movie teaser trailer in HD - starring Will Smith, Jaden Smith and Isabelle Fuhrman - directed by M. Night Shyamalan - after a crash landing, a father and son explore a planet that was evacuated by humans a thousand years earlier.
"After Earth" movie hits theaters June 7, 2013.
One thousand years after cataclysmic events forced humanity's escape from Earth, Nova Prime has become mankind's new home. Legendary General Cypher Raige returns from an extended tour of duty to his estranged family, ready to be a father to his 13-year-old son, Kitai. When an asteroid storm damages Cypher and Kitai's craft, they crash-land on a now unfamiliar and dangerous Earth. After Earth trailer 2013 is presented in full HD 1080p high resolution.

Yanga Mabingwa VPL 2012/13

Yanga
Na Prince Akbar, Tanga
YANGA bingwa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara 2012/2013. Habari ndiyo hiyo. Yanga ya Dar es Salaam imetwaa ubingwa wa Ligi Kuu jioni hii, kufuatia sare ya 1-1 katika mchezo wa ligi hiyo baina ya wenyeji Coastal Union na Azam FC ya Dar es Salaam, Uwanja wa Mkwakwani, Tanga jioni ya leo.
Matokeo hayo yanamaanisha, Azam FC waliokuwa washindani wakuu wa Yanga SC yenye pointi 56, hawawezi tena kufikisha pointi hizo ambazo wanazo mabingwa hao wapya, kwani hata wakishinda mechi zao nyingine mbili zilizobaki, watamaliza na pointi 54.
Mchezaji aliyepeleka shangwe na vigelegele Jangwani leo ni Danny Lyanga, ambaye aliifungia Coastal bao la kusawazisha dakika ya 72.
Lyanga ambaye ilibaki kidogo asajiliwe Yanga msimu huu kutoka Toto Africans, kama si kuzidiwa kete na Coastal, alifunga bao hilo katika mpira wake wa kwanza kuugusa tangu aingie kuchukua nafasi ya Suleiman Kassim ‘Selembe’ dakika ya 71.
Alifunga bao hilo, baada ya kupokea pasi nzuri ya mshambuliaji wa zamani wa Yanga SC, Pius Kisambale, ambaye ni mdogo wa kiungo wa Wana Jangwani hao, Athumani Iddi ‘Chuji’.
Azam ndiyo waliokuwa wa kwanza kupata bao katika mchezo wa leo, lililofungwa na beki Aggrey Morris kwa penalti dakika ya 60, baada ya mshambuliaji wa zamani wa Yanga SC, Gaudence Mwaikimba kuchezewa rafu kwenye eneo la hatari na beki Yussuf Chuma- na refa Andrew Shamba wa Pwani akaamuru pigo hilo.
Baada ya bao hilo, Coastal walionekana kufanya jitihada za wazi kusawazisha na ndipo Lyanga aliyetokea benchi akawapa ubingwa Yanga.
Matokeo haya yanakuwa sawa na Coastal kulipa fadhila kwa Yanga, kwani hata wao, ubingwa wao pekee wa Ligi Kuu waliochukua mwaka 1988 ulitokana na ‘msaada’ wa wana Jangwani huo.
Msimu huo, mshindani wa Coastal katika mbio za ubingwa alikuwa Simba SC ambaye ili kutwaa taji hilo, alihitaji kushinda mechi ya mwisho dhidi ya African Sports mjini Tanga huku akiomba Wagosi wa Kaya walale mbele ya Yanga Uwanja wa Taifa.
Lakini Yanga wakacheza ‘kichovu’ na Athumani China akaenda kupiga penalti ‘kiviivu’ akakosa, Coastal ikishinda 2-0 na kusherehekea taji pekee la ubingwa wa Ligi Kuu, licha ya Simba pia kushinda 3-0 dhidi ya Sports Tanga.
Hili linakuwa taji la 24 kwa Yanga, tangu watwae kwa mara ya kwanza mwaka 1968.
Aidha, huu unakuwa msimu wa pili mfululizo, Azam wanaukosakosa ubingwa wa Ligi Kuu, baada ya msimu uliopita pia kuzidiwa kete na Simba SC.

Daily Positive Thoughts – Useful Things.

Remember only useful things and there will be no need to even think about forgetting anything painful. The method to stay in constant enthusiasm and to keep others enthusiastic is to see specialities in others.
Many times while I am sincerely working towards my task, I find myself losing my enthusiasm. I also might find people not very happy with me or my work.
 I do make an attempt to understand their feelings but fail to do so Such negative responses further reduce my enthusiasm.
 I need to develop the art of looking at specialities in people.
The more I am able to see their positive qualities, the more I am able to relate to them with that speciality. This encourages the other person further to use that speciality. This will naturally keep me constantly enthusiastic
Serving Though The Subtle Body Of Light
Apart from our physical form (body), each one of us also has a form of light – a subtle light body. It is referred to as the aura, and can be seen by some sensitive souls. All of us might not be able to see it, but we can become aware of the aura of others’ through the vibrations they emit. The purity of our subtle, light form is dependent on the purity of our thoughts or mental vibrations.
 Given below are some thoughts for a meditation to help experience your subtle form and serve through it. Think and visualize each thought alongside:
I become detached from my physical surroundings… I consciously create only the..

Sikiliza U Heard ya Isha Mashauzi Kuiba Pochi Lenye Zaidi ya Laki 7

Msanii aliewahi kuchukua tuzo mwaka jana kwa umahiri wake wa kuimba vizuri mziki wa taarabu, Isha Mashauzi, leo hii kupitia u heeeeard na Gossip Cop Sudy Brown, ametuhumiwa kuiba pochi la mwenye duka maeneo ya Kariakoo, na huku ikisemekana pochi hiyo ilikuwa na mkwanja wa mauzo, shilingi 758,000.

Adam Mchomvu Kutambulisha Single 2 Mpya Ndani ya Maisha Club

 Baba Jonii Mtangazaji wa Clouds Fm ambae pia ameamua kujiingiza katika mziki "Adam Mchomvu" A.K.A Baba Jonii, siku ya jumapili atatambulisha ngoma zake mbili mpya ndani ya Maisha Club.Siku hiyo Adam atatambulisha ngoma ambayo siku za nyuma aliwaonjesha kidooogo mashabiki wake kupitia kipindi cha XXL ikiwa kama demo, lakini kwa hivi sasa imeshakamilika "Unaakili wewe", pamoja na pini lingine alilolifanya na wasanii kutoka Rada entertainment, ambapo chini ya Rada kuna Ngwea, TID, Romy Jones na wengineo. Wasanii hao pia kutoka Rada entertainment wakuwepo kwa ajili ya kutoa perfomace, kumbuka ni jumapili hii ndani ya Maisha Club
Adam Mchomvu
ok jumapili @ club bilicanas BABA LA BABA (BABA JONII) ntazindua track zangu mbili ... ebu dondoka pale uone utofauti ya mimi na wao, ofcuz nimepika na mzee mnya ma T.i.D, ZAMBADA M2 MBAYA KAIZA SOSA BABUU WA KITAA, ROMMY JONES its rader ent baby... miss dar indian ocen watapiga show fupi.. so watu wabaya tukutane ubayani... mzee amesema!!!!!!

Wabunge Mmeridhika na Kanga Moko?

AHLANWASHLAN mpenzi msomaji wa safu ya Busati la Wikiendi, inayokujia kila siku kama ya leo.
Au baada ya salaam, msomaji wangu ikiwa waheshimiwa wabunge la Jamhuri ya Muungano wanaendelea na mikutano yao huko Dodoma, wakizungumzia mambo mbalimbali yanayohusu mustakabali wa nchi, nina ujumbe kwa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo. Ikiwa ndiyo wizara mama ya masuala yanayohusu michezo, utamaduni na vijana, nawaomba kwa mara nyingine tena, watupie macho makundi ya sanaa yanayovunja maadili ya utamaduni wa Mtanzania.

Uvunjwaji wa maadili unaofanywa na makundi hayo, hivi sasa unazidi kuota mizizi na kunawiri kila kukicha, huku wahusika wakionekana kufumbia macho licha ya vilio vingi kutaka hatua zichukuliwe.
Makundi kama Khanga Moko ‘Laki Si Pesa’, Kitu K na mengine yanazidi kujizolea ‘sifa’ kuvunja maadili ya Kitanzania katika maonesho yao mbalimbali. Waheshimiwa wetu mnapokutana mjengoni, burudani nyingi tunatarajia zitaletwa huko, lakini kuna..

Kigwema ft Laus na Khary-Freemanson (Audio)

Freemason

Walio Chaguliwa Kilimanjaro Tanzania Music Awards 2013

Majina ya wasanii, waandaaji muziki na vikundi 
WIMBO BORA WA MWAKA
Dear God - Kala Jeremiah
Leka dutigite - Kigoma all star
Mapito - Mwasiti Feat Ally Nipishe
Me n U - Ommy Dimpoz Feat Vanessa Mdee
Pete- Ben pol

MSANII BORA WA KIUME
Ben Pol
Diamond
Linex
Mzee Yusuf
Ommy Dimpoz

MSANII BORA WA KIKE

Isha Mashauzi
Khadija Kopa
Lady Jaydee
Mwasiti
Recho

MSANII BORA WA KIKE - TAARAB
Isha Mashauzi
Khadija Kopa
Khadija Yusuph
Leila Rashid

MSANII BORA WA KIUME - TAARAB
Ahmed Mgeni
Hashim Said
Mzee Yusuf

MSANII BORA WA KIUME - BONGO FLAVA
Ally Kiba
Ben Pol
Diamond
Linex
Ommy Dimpoz

MSANII BORA WA KIKE - BONGO FLAVA
Linah
Mwasiti
Recho
Shaa

MSANII BORA WA HIP HOP
Fid Q
Joh Makini
Kala Jeremiah
Profesa J
Stamina

9. Msanii Bora wa Kiume - Bendi
Chalz Baba
Dogo Rama
Greyson Semsekwa
Jose Mara
Khaleed Chokoraa

Msanii Bora wa Kike - Bendi
Anneth Kushaba
Luiza Mbutu
Mary Lucos
Vumilia

Msanii Bora anayechipukia
Ali Nipishe
Angel
Bonge la Nyau
Mirror
Vanessa Mdee

Video Bora ya Wimbo ya Mwaka
Baadae - Ommy Dimpoz
Kamili gado - Professor J Feat Marco Chali
Marry Me - Rich Mavoko 

Endelea Kusoma >>>

Young Killa ft Stamina na Quick Rocka - Jana na Leo (Audio)

Young Killa ft Stamina na Quick Rocka - Jana na Leo

Consequences - Filamu (Swahili Version)

Rita ana sifa nyingi nzuri -- ni mwerevu, ana kipaji na ana mpenzi wa muda mrefu. Anategemea kumaliza elimu ya Sekondari muda mfupi ujao na ana mpango wa kujiunga na Chuo Kikuu. Akiwa na miaka 16, inaonekana kuwa maisha yake yanamuendea vizuri sana -- hadi pale anapogundua kuwa ni mjamzito. Matokeo yake ni ya kushangaza.