Pages

Try This..!

Illusions

10 Fun Facts You Didn’t Know About Google

“Google is not a conventional company. We do not intend to become one.” So began the “letter from the founders” penned by Sergey Brin and Larry Page in the company’s securities registration form in 2004. Despite ever-increasing commercial success since that date, Brin and Page have kept to their word.

Google is an unconventional company with a huge stake in our online lives. It is a source of fascination for many, including us, but what really happens in the Googleplex? And what cool factoids and stats exist from the company’s relatively short past?

Here we bring you 10 fun facts about Google to quench our own thirst for Google knowledge as well as hopefully offer you a distracting diversion from your daily life.

1. The First Google Doodle
Google,Google’s famous homepage “Doodles” (the changing Google logo graphics) are well known and enjoyed by millions around the world as a way to mark an event or anniversary. But did you know that the very first Google Doodle was designed as a kind of “out of office” message?

In 1998 Brin and Page took the weekend off to go the Burning Man festival in Nevada. The Burning Man doodle (shown above), was designed by the Google guys and added to the homepage to let their users know they were out of office and couldn’t fix technical issues like a server crash.

2. Interesting Figures from the Google IPO

Google,While the initial price for Google’s stock at its Initial Public Offering in August 2004 is an interesting stat in itself, there’s more to the story. The opening price for Google’s stock was $85 per share. At the time of writing, the stock price was $483 but has soared as high as $600 in the past year, making GOOG a rather nice investment for many.

A bonus factoid from Google’s IPO process is the value Google stated it hoped to raise on its S-1 form — as much as $2,718,281,828. It may just look like a..

It Was Just An Incredibly Violent Accident

Rally driver Jeremy Foley has spoken to Eurosport about the incredible crash last year which he somehow survived.
Foley and his navigator Yuri Kouznetsov were taking part in the legendary Pike's Peak International Hill Climb in the Rocky Mountains in Colorado, the second oldest motor race in America.
But Foley misjudged one of the turns on top of a cliff in his Mitsubishi Evo, and the car flew off the road and down the side of the boulder-strewn, 14,000ft mountain.
The 500-horsepower car rolled over 20 times as it flew down the mountainside, leaving spectators fearing that they had just witnessed a fatal accident.
Incredibly, however, the car's steel roll cage held firm - and both men walked away. They were both airlifted to hospital for checks, but later released.

Maziku ft Y-Tony - Masonic Age (Audio)

Mazku ft Y-Tony - Masonic Age

WAFUASI 52 WA PONDA WAHUKUMIWA KIFUNGO CHA MWAKA MMOJA JELA

Mahakama ya Hamimu Mkazi Kisutu
Washitakiwa 52 kati ya 54 katika kesi ya kula njama na kufanya maandamano isivyo halali wamehukumiwa kwenda jela kila mmoja baada ya kukutwa na makosa matatu huku mmoja akiachiwa huru baada ya kukutwa hana hatia na mwingine kufariki dunia kabla ya hukumu iliyotolewa leo na hakimu Sundi Fimbo wa Mahakama ya Hamimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam.

Washtakiwa hao walidaiwa kutenda kosa Februari 15 mwaka huu.
Baada ya pande zote kusikilizwa na washtakiwa kutoa hoja za utetezi, hatimaye hakimu Fimbo alitoa hukumu hiyo leo ambapo aliwatia hatiani washtakiwa 52 kwa makosa matatu kati ya manne na..

Nyota wa Bollywood Sunjay Dutt Ahukumiwa Miaka 5 Gerezani kwa Kesi ya Mwaka 1993

India
.Mahakama ya juu kabisa nchini India leo imemhukumu mwigizaji filamu za Kihindi maarufu kama Bollywood, Sanjay Dutt, kifungo cha miaka mitano gerezani kwa kupatikana hatia ya kukutwa na silaha ambazo zilikuwa sehemu ya shehena ya silaha zilizotumiwa katika shambulio la mjini Mumbai mwaka 1993.

Mahakama hiyo ilishikilia hukumu ya Dutt iliyotolewa na mahakama ya kupambana na ugaidi mwaka 2007, lakini ikapunguza kifungo chake cha miaka sita na kuwa mitano. Mahakama hiyo ya juu kabisa India pia imeshikilia hukumu ya kifo iliyotolewa kwa Yakub Abdul Razzak Memon, ambaye ni... Endelea kusoma>>>

Molly Ft. Wiz Khalifa & Mally Mall - Tyga Behind the Scenes Video

Msanii Matumaini Anahitaji Msaada, Kwa Siku Anameza Vidonge 39

Matumaini Mchekeshaji na muigizaji wa Tanzania Tumaini Martin ‘Matumaini’ amevunja ukimya kuelezea maendeleo ya afya yake akidai kusumbuliwa na maumivu makali ya miguu kwasasa.

Akiongea na BK Cop leo Matumaini amesema kuwa anaendelea kutumia dozi ingawa hali ya afya yake bado si shwari kutokana na kugulia maumivu makali ya miguu hali inayomfanya ashindwe kutembea.
Msanii huyo ameeleza kuwa kwa siku moja huwa anameza vidonge zaidi ya 39 lakini hapati lishe nzuri kwababu ya kutokuwa na pesa na kujinunulia chakula.
Aidha amedai kuwa wakati alipokuwa msumbiji alipata misaada ya kifedha kutoka kwa wasanii mbalimbali lakini hasaidiwi tena tangu alipofika Tanzania.
‘Niliomba msaada kwenye magazeti ambapo niliacha namba zangu za tigo pesa lakini meseji nyingi nazopokea ni za pole; hata hivyo kuna watu wanadai wametuma kwa namba ya Michael Sangu (Mkt Chama cha waigizaji) ambayo alitoa gazetini lakini mimi sikuwahi kuonana tena na Michael tangu aliponililipia matibabu wakati natoka hospitali’. Alisema Matumaini
Mnamo Februari 9 mwaka huu Matumaini aliruhusiwa kutoka hospitali ya Amana jijini Dar es salaam alipokuwa amelazwa kwa siku tatu tatizo kubwa likiwa ni miguu na alitakiwa kurudi tena hospitali baada ya kumaliza dozi aliyoandikiwa na daktari.

Awali Matumaini alikwenda kuishi nchini msumbiji na kuripotiwa kusumbuliwa na maradhi, lakini alishindwa kutibiwa akiwa huko ambako Naibu Waziri wa Habari vijana na utamaduni na michezo Bw Amos Makalla akishirikiana na baadhi ya wasanii alichukua jukumu la kutoa nauli ya kumrudisha nchini

Gulo

Gulo

Wanafnzi Jijini Dar Wanashinda Kwenye Danguro Hili

Danguro
Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Majani ya Chai, Yasinta Assey akionyesha baadhi ya nguo na viatu vya wanafunzi vilivyokutwa katika eneo linalodaiwa kuwa danguro linalotumiwa na wanafunzi wa shule hiyo, jana. Picha na Pamela Chilongola

Kwa ufupi
Mkuu wa Sekondari hiyo, Jasinta Assey alikiri na kusema kwamba vitendo vya uvutaji bangi na biashara ya ukahaba kwa wanafunzi wake, vinachangiwa na askari wa Kituo kidogo cha Stakishari ambao alidai wanachukua rushwa kwa wauzaji wa bangi na nyumba bubu za wageni.
Dar es Salaam. Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Kata ya Majani ya Chai iliyopo Kipawa jijini Dar es Salaam, wametajwa kujiingiza katika kashfa ya ngono, kuvuta na kuuza bangi katika moja ya nyumba zinazozunguka shule hiyo.
Hilo ni tukio lingine jipya, kwani mwishoni mwa mwaka jana, kuliibuka matukio ya ajabu kwa wanafunzi wa Shule ya Msingi, Ruaruke, Rufiji mkoani Pwani ambao walielezwa kujihusisha na uvutaji bangi hata kukonyeza na kubaka walimu wao.
Mkuu wa Sekondari hiyo, Jasinta Assey alikiri na kusema kwamba...