Pages

Jinsi Wapinzani Walivyoteswa Enzi za Mwalimu Nyerere

Wadau, hapo zamani za kale, ukiwa mpizani wa Chama Kimoja, Ujamaa, Serikali, basi unakamatwa, unafunikwa macho, unaingizwa kwenye gari na kuzungunshwa, una minywa mapumbu au maziwa hadi useme. Usalama wa Taifa walikuwa wakali, maana kila kona moja alikuwepo. Nafahamu wengi waliokamatwa. Wengine walikuwa wanafunzi wa UDSM.

Someni Mkasa wa Ludovick S. Mwijage, utashangaa majina yaliotajwa huko!
http://zanzinet.org/files/darkside.txt
L-R Sam Nujoma (Nambia), Kenneth Kaunda (Zambia), Samora Machel (Mozambique) Mwalimu Nyerere (Tanzania), Robert Mugabe (Zimbabwe) & ?
Endelea kusoma habari kamili > Swahli Time
Zaidi

Mjadala Ughaibuni, Kushuka kwa Elimu Tanzania. Sehemu ya Pili

Kim Kardashian Gets Vampire Facial, An Age-Defying Facelift Using Her Bblood

Kim Kardashian went through an age-defying procedure called a "Vampire Facial" which involved the use of her 'blood' and it was filmed for her reality show - Kourtney and Kim Take Miami. 
 Vampire Facial
The vampire facial is a designer procedure that uses cutting edge technology in which the body's own blood is applied topically to the skin and then pounding it with needles to re-energize cells for a youthful appearance.
Kim already looks great...but in Hollywood, it's never enough. See more photos after the cut...

BBC Documentary Ya Albino Killings in Tanzania!

In the Shadow of the Sun 
Ndugu zangu wapendwa nawasalimu katika jina la alie juu yeye atupae uzima. Naomba niwajulishe watz wote waishio UK kuwa ndugu yetu Josephat Torner alieshiriki katika BBC Documentary ya albino killings in Tanzania iliyoonyeshwa mwaka jana ameshawasili tokea jana tayari kushiriki katika film nyingine itakayoonyeshwa siku ya Ijumaa tarehe 15 Mach 2013.

Josephat Torner angependa sana kukutana na Watanzania waishio huku nje ili atueleze uzito wa hili swala Na jinsi tutakavyoweza kisaidiana. Tunawaomba watanzania tujitokeze kwa wingi tumuunge mkono huyu ndugu yetu kwa jitihada zake na ujasiri wake kwani ni kazi inauohitaji moyo sana na inaumiza roho sana kusikia mateso wanayoyapata hawa wenzetu wenye ulemavu wa ngozi.
In the Shadow of the Sun
Filmed over six years, In the Shadow of the Sun tells the story of two men with albinism in Tanzania, Josephat Torner and 15-year-old Vedastus, who are pursuing their dreams in the face of virulent prejudice. Through his intimate portrait, filmmaker Harry Freeland reveals a story of deep-rooted superstition, heartfelt suffering, and incredible strength.

Please note: All Human Rights Watch Film Festival screenings will start promptly at the advertised time.
SHOWING AT:
SOHO CURZON
FRIDAY 15 MARCH 2013
TIME: 18:30
ADVISED 16

T.I.D Apewa Kichapo Kikali na Mtangazaji wa Clouds TV

 TID
Mwanamuziki nyota wa Bongo flava ambaye kwa sasa amejikita kwenye muziki wa dansi, Khalid Mohammed ‘TID’, wiki iliyopita alionja joto ya jiwe baada ya kudundwa hadi kutolewa nundu puani na mtangazaji wa Clouds TV, Cedou Ayoub a.k.a Babuu.
Tukio hilo la aina yake lililotokea wiki iliyopita kwenye kiota cha burudani Bongo pale Club Maisha na kushuhudiwa na watu kibao ambapo chanzo chake kikidaiwa ni kudaiana hela.

Chanzo chetu kilimwaga umbea kuwa, siku ya tukio hilo TID alikuwa amealikwa kwenye uzinduzi wa albamu ya mwanamuziki Country Boy iliyokuwa inafanyika mjengoni humo, ambapo baada ya onesho hilo kuisha ndipo TID akiwa ‘mitungi’ alimfuata Babuu na kuanza ‘kumzingua’.
Hata hivyo, chanzo chetu kiliendelea kueleza kuwa, baada ya walinzi wa ukumbi huo kuona hali tete ya uvunjifu wa amani waliwasihi watu hao kutoka nje kabisa ya ukumbi, huku mtangazaji huyo akiwaomba walinzi hao wawaache wapimane ubavu kidogo na walipotoka nje wakaachiwa ‘ulingo’ ndipo...

India Police: Gang Rape Suspect Killed Self (Video)

Police in India say the main suspect in a brutal gang rape committed suicide in prison. Ram Singh was on trial for a crime that set off protests across India. (March 11)

Justin Bieber Attacks Paparazzi/ Cameraman in London [Full Video]

LONDON — Justin Bieber's week just got worse. Following a brief hospital stay after fainting backstage, the 19-year-old pop star's preparation for a final concert in London on Friday hit a speed bump. Bieber got into an altercation with insult-hurling paparazzi, lashing out at a photographer with a stream of expletives as he was restrained by minders.
The singer quickly took to Twitter to address the incident, which was captured by Channel 5 news, and pledged to channel his "adrenaline" into his Friday show.
"Ahhhhh! Rough morning. Trying to feel better for this show tonight but let the paps get the best of me," he posted on the social networking site.
"Sometimes when people r shoving cameras in your face all day and yelling the worst thing possible at u...well I'm human. Rough week."
The scuffle came just hours after Bieber said he was "getting better" after struggling to breathe during the previous night's concert at the O2 arena, and pledged the show would go on as planned.

Wamiliki wa Vyombo vya Utangazaji Waomba Analogia Iruhusiwe kwa Muda (Video)

Wamiliki wa vituo vya utangazaji nchini wameomba kuruhusiwa kwa muda matumizi sanjari ya mfumo wa utangazaji wa analojia na digitali ili wananchi wasio na uwezo waendelee kupata habari kupitia luninga kama zamani.

Barnaba Official Website

Mjadala Ughaibuni, Kushuka kwa Elimu Tanzania. Sehemu ya Kwanza

Sehemu ya kwanza ya WanaDMV wafanya mjadala wa kushuka kwa kiwango cha Elimu na matokeoa mabaya ya kidato cha Nne wakianza kuelezea Elimu zamani ilikuwaje na nini kimesababbisha kuporomoka kwa Elimu Je nani alaumiwe na nini kifanyike kuokoa janga hili, by Luke Joe