Dj Fetty'z 5 Best Rappers/ MC Kutoka Bongo

Fid q, Ngosha the swagga don, leo hii amethibitisha ukubwa wa kazi zake na heshima kubwa anayoipata kutoka katika jamii inayofatilia burudani nchini.katika rappers/Mc bongo amethibitisha kuwa namba moja kupitia mtandao wa kijamii wa facebook na twitter, kwa kupata asilimia zaidi ya 90 ya kura zote, na kumfanya kuwa best of the best rappers / mc..huku akifatiwa na Stamina, Roma, Nikki Mbishi na Joe makini..list hii imetokana na comments za mashabiki kupitia mitandao ya jamii

Stamina

Roma

Nikki mbishi

Joe Makini
Kibanda Atawala Kurasa za Mbele
Kauli ya Kibanda kuhusu kutekwa kwake na kuumizwa...
"Baada ya kutoka kwenye gari, nahisi nilikanyaga sehemu mbaya, nikateleza na kuanguka wakanifuata...niliona kama watu watatu hivi wakaanza kunishambulia. Sikuwa nafahamu kilichojiri, lakini nilisikia mwingine akimwambia mwenzake afande 'mshuti... mshuti' huyo alipoelekeza mtutu na kujaribu 'kushuti' (kupiga risasi) ilikuwa kama vile imegoma.
“Nikiwa bado niko chini, wakanipiga kwa kitu cha ncha kali kwenye jicho la kushoto, wakaning’oa meno na kucha katika vidole vya mkono wa kulia, walinipiga sana na nilipata maumivu makali. Baada ya kunipiga na kunijeruhi waliniburuza hadi bembeni ya nyumba yangu na kunitupa na wakaondoka, baadaye majirani na wasamaria wema walikuja kuniokoa..."
Hata hivyo, Kamanda Kova amedai kuwa tukio hilo limetokana na chuki na kulipiziana visasi - Soma http://j.mp/ZhTotr
Vodacom Tanzania - Harlem Shake #BongoShake (Video)
Watch the Vodacom Executive team do the Harlem shake! See if you can spot anyone you recognize. Share with your friends and represent! #BongoShake
Los Angeles Judge Issues Arrest Warrants For Suge Knight
Suge Knight skipped out on a court date, Thursday and is now a wanted man in California. A Los Angeles County judged issued two bench warrants for the oft-in trouble former Death Row CEO after he missed a court date involving two driving violations, according to TMZ.
His scheduled day in court stems from two separate incidents where Suge was arrested for driving on a suspended license in 2011 and 2012. He was given three years probation for one of the charges while the other has yet to be settled.
Suge now faces two bench warrants totaling $35,000 and is to be apprehended on sight.
Shule za Mafunzo ya Qur'an Kufungwa Senegal
Rais wa senegal Macky Sall, anasema kuwa serikali itafunga shule zote za mafunzo ya dini ambazo zitakosa kutimiza mahitaji ya usalama kwa watoto.
Matamshi yake Rais Macky Sall, yanajiri baada ya watoto tisa kufariki katika ajali ya moto katika shule iliyo karibu na mji mkuu wa nchi hiyo Dakar.
Moto huo, ulizuka wakati watoto 45 wa shule wenye kati ya umri wa miaka sita na kumi na mbili, wakiwa ndani ya chumba kimoja katika eneo la Medina.
Inaarifiwa huenda mshumaa ndio ulisababisha ajali hiyo ya moto uliozuka Jumapili jioni.
Baada ya kuzuru eneo la ajali, bwana Sall, alisema kuwa shule za mafunzo ya kidini ambazo zinawadhulumu watoto na kukosa kuhakikisha usalama wao, lazima zifungwe.
''Watoto watarejeshwa kwa familia zao,'' aliongeza rais Sall
Mwandishi wa BBC Thomas Fessy mjini Dakar, alisema kuwa makundi ya kutetea haki za binadamu, yalionya dhidi ya mazingira mabovu ambamo watoto wanaishi kama makaazi yao kwenye shule za mafunzo ya dini na baadhi ya walimu wanawadhulumu watoto. Wanafunzi wengi wanajulikana kama "talibes" kwa lugha ya kiasili, na husihia kuomba omba chakula na pesa mitaani na kisha kuwapelekea

The Sporah Show on DSTV Channel 291.

Sporah Njau.
WE ARE NOW ON DSTV CHANNEL291.
YOU CAN NOW WATCH London's number one African talk show, on DSTV CHANNEL 291 - Every Friday 6:pm & Saturday 1:pm in all Africa.
AND every Monday ON UK's premier TV Channel for Africans and Caribbean, on SKY 182.
Simply means wherever you may be, you can watch
THE SPORAH TV SHOW!
Subscribe to:
Posts (Atom)