KATIBU Mkuu mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bw. Yusuf Makamba, amesema baadhi ya vyombo vya habari nchini vinamchonganisha na chama chake.
Alisema pamoja na kustaafu nafasi hiyo, hawezi kusimama katika majukwaa na kukisema chama chake vibaya kwani kabla hajawa Katibu Mkuu, alipitia ngazi nyingine kama Katibu wa Tawi.
Mzee Makamba aliyasema jana wakati anazungumza na waandishi wa habari nyumbani kwake mjini Korogwe, mkoani Tanga wakati akikanusha taarifa zilizoandikwa na gazeti moja (si Majira).Alisema katika gazeti hilo ukurasa wa mbele, lilikuwa na kichwa
cha habari kinachosema “Mzee Makamba anena: Mungu ataiadhibu CCM” na kudai habari hiyo imepotosha ukweli wa alichozungumza kwenye uzinduzi wa Halmashauri Mpya ya Bumbuli, wilayani Lushoto Februari 23 mwaka huu.
“Mimi sikusema Mungu ataiadhibu CCM, rasilimali yangu ni jina langu, mwandishi alitaka kuchafua jina langu wakati mimi ni...