Pages

Angalia Sehemu Alipokua Analazwa Yule Binti Alietekwa kwa Miezi 4


 Huyu ni mmoja wa vijana watatu waliokamatwa, walitoka Kigoma kuja Kibaha kufanya kazi ya ulinzi kwenye mashamba, huyu mkazi wa kibaha kijiji cha kidimu anashikiliwa na polisi kwa kosa la kumteka msichana wa hapo kijijini kwa miezi minne kabla ya ishu kufumuka february 26 baada ya binti kupata upenyo na kutoroka.

Kwenye hayo matofali hapo ndipo alipokua analazwa binti alietekwa na kutumika kingono, mwanaume alikua akimaliza haja yake ndio anamrudisha humo ndani, vijana waliohusika ni watatu na wanashikiliwa na polisi tayari kwa kufikishwa mahakamani, stori itaendelea leo kwenye Leo Tena ya Clouds Fm.


Huyu ndio binti mwenyewe wa miaka 16 alietekwa, alipata ujauzito wa miezi miwili lakini vijana hao wakautoa kwa kutumia majani ya cha.
Akionyesha sehemu aliyokua analazwa.

Huyu binti alipotea toka novemba 2012 na alishatafutwa kila sehemu ikiwa ni pamoja na waganga kutumika, wazazi walishaomba sana kanisani na kukata tamaa wakijua binti yao ameshakufa mpaka wakaweka msiba kabisa.

Account Feki ya Tanesco Twitter, Matusi Kibao

Tanesco Twitter,
Tanesco Twitter,

Hotuba ya Rais Kikwete ya Mwisho wa Mwenzi Februari 2013

Mtendaji Mkuu TAZARA Ameachia Ngazi

TAZARA) Bw. Akashambatwa Mbikusita-Lewanika,
Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA) Bw. Akashambatwa Mbikusita-Lewanika, hatimaye ameachia ngazi baada ya kuendesha kampeni kali ya miezi kadhaa kutaka aendelee kuongoza Mamlaka hiyo kwa miaka mingine mitatu.
Hatua hiyo ya kuachia ngazi imekuja baada ya Bodi ya Wakurugenzi na Baraza la Mawaziri la Mamlaka hiyo kuonyesha dhahiri kutotaka Mzambia huyo aendelee na uongozi wa TAZARA kutokana na utendaji wake mbovu na uongozi mbaya uliowabagua wafanyakazi wa Mamlaka hiyo kwa misingi ya utaifa wao.

Habari za ndani za Mamlaka hiyo zimesema Bw. Akashambatwa ambaye kipindi chake cha uongozi kiliisha tarehe 22 Januari, 2013 kiliongezwa kwa maombi maalum ya Serikali ya Zambia kwamba Serikali hiyo ilihitaji muda mrefu kidogo kumpata mbadala wake, licha ya Serikali ya Tanzania kutoridhishwa na utendaji wake.
Katika kikao chake cha tarehe 20 Februari, 2013 jijini Lusaka, Zambia, Baraza la ...

Sema Wewe


African Monkey Impersonating a Soldier

Morgan Heritage - She's Still Loving Me

Soggy Doggy Kutua Redio Ebony FM ya Iringa

Soggy Doggy,Redio Ebony FM ya Iringa
Msanii/Mtangazaji Soggy Doggy ameacha mzigo pande za redio Uhuru na leo rasmi ameondoka Dar es salaam nakwenda Iringa ambapo atakuwa akifanya kazi katika kituo kingine cha Redio kinachoenda kwa jina la Ebony Fm.
Soggy Doggy ashawahi kufanya kazi katika vituo vya redio mbalimbali hapa nchini kama Arusha na Mwanza.

Kutana na Mwanamke Mzee Kuliko Wote Duniani

Masao Okawa ni bibi mwenye umri wa miaka 114, ambapo jumanne ya wiki ijayo atakuwa anafikisha miaka 115, na tayari kitabu cha Guiness World Records wamemtaja kama mwanamke mzee kuliko wote duniani pichani anaonekana akiwa na mjukuu wake wa kike na kitukuu chake.
Masao ambae alizaliwa mwaka 1898, amesema siri ya yeye kuishi muda wote huo, si tu kwamba anakula kitu chochote, bali chochote lakini cha kijapani tu na si vingine.
Wajapani wanapenda kula mbogamboga na samaki na kuepuka kula vyakula vya mafuta ukilinganisha na nchi zingine. Pia mwanaume mwenye umri mkubwa ni Mjapan jina lake ni Jiroemon Kimura anamiaka 115.
Guiness World Records

Tanzanian Journalist Harassed, Suspected of 'Selling State Secrets'

(RSF/IFEX) - Reporters Without Borders wrote to Tanzanian minister of home affairs Emmanuel Nchimbi last week to call for an end to the harassment of the journalist Erick Kabendera and his family by representatives of the state.
“Tanzania's ranking in the 2013 Reporters Without Borders press freedom index is 36 places lower than last year,” the 18 February letter said. “No journalists had been killed until September 2012, but thereafter two were killed in the space of four months and this has had a big impact on the Tanzanian news environment.
“Harassment by officials of such a respected journalist as Mr. Kabendera can only exacerbate the current sense of helplessness among Tanzanian journalists, especially when everything indicates that it is not random. These intimidation attempts are targeting a talented journalist and seem designed to protect a senior official who was affected by his testimony.”
Signed by secretary-general Christophe Deloire, the letter added: “Reporters Without Borders urges you to call the Immigration Department to order so that this disgraceful harassment stops. We also urge you to tell the police that they must do whatever is necessary to guarantee the safety of Mr. Kabendera and his family.” A former employee of the Dar es Salaam-based Guardian newspaper, Kabendera was...